silent lion
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 1,162
- 1,541
Ndio nini sasa, wakati picha zimeshasambaa kwenye mitandaoBoti hiyo ilikuwa ikitokea Zanzibar majira ya sita mchana.
May God have mercy on his soul.
Kutokana na maadili na miiko ya kiuandishi sitaweka video ya tukio hilo la kusikitisha.View attachment 1020053
So whatNdio nini sasa, wakati picha zimeshasambaa kwenye mitandao
°°ᴶᵉᵃˡᵒᵘˢˢʸ ⁱˢ ᵖʳᵒᶜᵉˢˢ ʸᵒᵘ ᵍᵒ ᵗʰʳᵒᵘᵍʰ ᵇᵉᶠᵒʳᵉ ᵇᵉᶜᵒᵐⁱⁿᵍ ᵃ ʷⁱᵗᶜʰ°°
Wacha zisambae ila hii JF sio group la whatsapp au Facebook. Vizuri ukilijua hilo.Ndio nini sasa, wakati picha zimeshasambaa kwenye mitandao
°°ᴶᵉᵃˡᵒᵘˢˢʸ ⁱˢ ᵖʳᵒᶜᵉˢˢ ʸᵒᵘ ᵍᵒ ᵗʰʳᵒᵘᵍʰ ᵇᵉᶠᵒʳᵉ ᵇᵉᶜᵒᵐⁱⁿᵍ ᵃ ʷⁱᵗᶜʰ°°
So what! He has to provide more photos, inorder if here's anybody who knows the deceased or neighbur of the deceased to be informed. I stand to be corrected if I'm wrong!So what
Nalijua hilo. Ungefunika uso, ili hata kama kuna mtu anaemfahamu au jamaa wapate kumtambua ndugu yao.Wacha zisambae ila hii JF sio group la whatsapp au Facebook. Vizuri ukilijua hilo.
Yap ni kweli. Halafu kwa mujibu wa video mabaharia wa Azam walichukua muda mrefu kumuokoa ni kama vile hawakua na ujuzi au uzoefu na matukio ya dharura. Kumbuka pia kuna siku watu karibia ya 15 walifariki baada ya boti ya Azam iliyokua ikitokea Pemba kupigwa na dhoruba ya wimbi. Na inasemekana boti haikusimama.Uchunguzi Ufanyike apumzike kwa amani.
Kwani umesikia Wanamtafuta ndugu wa marehemuSo what! He has to provide more photos, inorder if here's anybody who knows the deceased or neighbur of the deceased to be informed. I stand to be corrected if I'm wrong!
°°ᴶᵉᵃˡᵒᵘˢˢʸ ⁱˢ ᵖʳᵒᶜᵉˢˢ ʸᵒᵘ ᵍᵒ ᵗʰʳᵒᵘᵍʰ ᵇᵉᶠᵒʳᵉ ᵇᵉᶜᵒᵐⁱⁿᵍ ᵃ ʷⁱᵗᶜʰ°°
Picha zilizosambaa ni kuwa bado hajafahamika so wenye ndugu yao ni rahisi kumtambua.Kwani umesikia Wanamtafuta ndugu wa marehemu
Pekenyua kidogo mkuu, tuone kwa ndani.Yap ni kweli. Halafu kwa mujibu wa video mabaharia wa Azam walichukua muda mrefu kumuokoa ni kama vile hawakua na ujuzi au uzoefu na matukio ya dharura. Kumbuka pia kuna siku watu karibia ya 15 walifariki baada ya boti ya Azam iliyokua ikitokea Pemba kupigwa na dhoruba ya wimbi. Na inasemekana boti haikusimama.
Hakuna dua kwenye kujiua hapo Mungu harehemu wenye kujitakiaMwenyezi Mungu amrehemu
Ndio maana anaitwa Mungu ni mwingi wa huruma
Nakubaliana kidogo nawe then marehemu anaonekana kama ana athariNdio maana anaitwa Mungu ni mwingi wa huruma