Anusurika kifo baada ya kujirusha baharini akiwa kwenye boti ya Azam

silent lion

JF-Expert Member
Feb 28, 2012
1,155
1,503
Boti hiyo ilikuwa ikitokea Zanzibar majira ya sita mchana.

May God have mercy on his soul.

Kutokana na maadili na miiko ya kiuandishi sitaweka video ya tukio hilo la kusikitisha.
20190211_200137.jpg
IMG_20190211_205957.jpg

=======

Mtu mmoja ambaye jina lake halijafahamika mara moja amenusurika kifo baada ya kujirusha baharini kutoka kwenye Boat inayosemwa ni ya Azam iliyokuwa ikitoka Dar es salaam kwenda Unguja leo Februari 11, 2019 majira ya saa 6 mchana.
 
Boti hiyo ilikuwa ikitokea Zanzibar majira ya sita mchana.

May God have mercy on his soul.

Kutokana na maadili na miiko ya kiuandishi sitaweka video ya tukio hilo la kusikitisha.View attachment 1020053
Ndio nini sasa, wakati picha zimeshasambaa kwenye mitandao

°°ᴶᵉᵃˡᵒᵘˢˢʸ ⁱˢ ᵖʳᵒᶜᵉˢˢ ʸᵒᵘ ᵍᵒ ᵗʰʳᵒᵘᵍʰ ᵇᵉᶠᵒʳᵉ ᵇᵉᶜᵒᵐⁱⁿᵍ ᵃ ʷⁱᵗᶜʰ°°
 
So what! He has to provide more photos, inorder if here's anybody who knows the deceased or neighbur of the deceased to be informed. I stand to be corrected if I'm wrong!

Wacha zisambae ila hii JF sio group la whatsapp au Facebook. Vizuri ukilijua hilo.
Nalijua hilo. Ungefunika uso, ili hata kama kuna mtu anaemfahamu au jamaa wapate kumtambua ndugu yao.

°°ᴶᵉᵃˡᵒᵘˢˢʸ ⁱˢ ᵖʳᵒᶜᵉˢˢ ʸᵒᵘ ᵍᵒ ᵗʰʳᵒᵘᵍʰ ᵇᵉᶠᵒʳᵉ ᵇᵉᶜᵒᵐⁱⁿᵍ ᵃ ʷⁱᵗᶜʰ°°
 
Uchunguzi Ufanyike apumzike kwa amani.
Yap ni kweli. Halafu kwa mujibu wa video mabaharia wa Azam walichukua muda mrefu kumuokoa ni kama vile hawakua na ujuzi au uzoefu na matukio ya dharura. Kumbuka pia kuna siku watu karibia ya 15 walifariki baada ya boti ya Azam iliyokua ikitokea Pemba kupigwa na dhoruba ya wimbi. Na inasemekana boti haikusimama.
 
So what! He has to provide more photos, inorder if here's anybody who knows the deceased or neighbur of the deceased to be informed. I stand to be corrected if I'm wrong!

°°ᴶᵉᵃˡᵒᵘˢˢʸ ⁱˢ ᵖʳᵒᶜᵉˢˢ ʸᵒᵘ ᵍᵒ ᵗʰʳᵒᵘᵍʰ ᵇᵉᶠᵒʳᵉ ᵇᵉᶜᵒᵐⁱⁿᵍ ᵃ ʷⁱᵗᶜʰ°°
Kwani umesikia Wanamtafuta ndugu wa marehemu
 
Yap ni kweli. Halafu kwa mujibu wa video mabaharia wa Azam walichukua muda mrefu kumuokoa ni kama vile hawakua na ujuzi au uzoefu na matukio ya dharura. Kumbuka pia kuna siku watu karibia ya 15 walifariki baada ya boti ya Azam iliyokua ikitokea Pemba kupigwa na dhoruba ya wimbi. Na inasemekana boti haikusimama.
Pekenyua kidogo mkuu, tuone kwa ndani.

Ndio maana anaitwa Mungu ni mwingi wa huruma
Nakubaliana kidogo nawe then marehemu anaonekana kama ana athari

°°ᴶᵉᵃˡᵒᵘˢˢʸ ⁱˢ ᵖʳᵒᶜᵉˢˢ ʸᵒᵘ ᵍᵒ ᵗʰʳᵒᵘᵍʰ ᵇᵉᶠᵒʳᵉ ᵇᵉᶜᵒᵐⁱⁿᵍ ᵃ ʷⁱᵗᶜʰ°°
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom