Lindi: Afariki dunia baada ya kujirusha baharini akihofiwa kuwekwa lockup kwa tuhuma za kumpiga na kumtishia mpenziwe

Donnie Charlie

JF-Expert Member
Sep 16, 2009
15,167
16,256
Polisi Lindi wamethibitisha kifo cha Hassan Mbuyu (27) aliyejirusha baharini kwa kuhofia kuwekwa lockup Polisi baada ya Mpenzi wake Sharifa (22) kumshitaki kwamba amempiga na kumtishia, Hassan alikuwa akihojiwa na Askari kituoni kwa tuhuma za kumpga na kumtishia mpenzi wake kabla ya kukimbia na kujirusha.

ajirusha.jpg
 
Nilikua naiangalia hii habari kwa mujibu wa uchunguzi uliofa yeah na daktari ulibaini kua jamaa shingo ilikua imelegea na kutokwa na damu mdomoni na puani daktari hii hutokana na mpasuko unaotokea chini ya fuvu.

Na hakukua na dilili ya maji tumboni wala kwenye mapafu yanayoashiria kua huyu mtu kafa maji!!!azam tv news

Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
 
Lakini jana kwenye taarifa ya habari ITV mashuhuda walieleza tukio zima lilivyo tokea hadi ya jamaa anakimbia na kujitupa kwenye maji hadi wanajaribu kumuokoa kwa kutumia kamba lakini haikuwezekana kwakuwa alienda kwenye kina kirefu
 
Nilikua naiangalia hii habari kwa mujibu wa uchunguzi uliofa yeah na daktari ulibaini kua jamaa shingo ilikua imelegea na kutokwa na damu mdomoni na puani daktari hii hutokana na mpasuko unaotokea chini ya fuvu.

Na hakukua na dilili ya maji tumboni wala kwenye mapafu yanayoashiria kua huyu mtu kafa maji!!!azam tv news

Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
Mmhh
 
amejitosa baharini kutokea upande upi?
jeshi la polisi limeua
Polisi Lindi wamethibitisha kifo cha Hassan Mbuyu (27) aliyejirusha baharini kwa kuhofia kuwekwa lockup Polisi baada ya Mpenzi wake Sharifa (22) kumshitaki kwamba amempiga na kumtishia, Hassan alikuwa akihojiwa na Askari kituoni kwa tuhuma za kumpga na kumtishia mpenzi wake kabla ya kukimbia na kujirusha.

View attachment 2177608
 
Polisi wa 0 lini wataacha unyama?
Anyway. Damu ya BINADAMU haiendi bure. Karma is real. It is just a matter of time.
 
Polisi Lindi wamethibitisha kifo cha Hassan Mbuyu (27) aliyejirusha baharini kwa kuhofia kuwekwa lockup Polisi baada ya Mpenzi wake Sharifa (22) kumshitaki kwamba amempiga na kumtishia, Hassan alikuwa akihojiwa na Askari kituoni kwa tuhuma za kumpga na kumtishia mpenzi wake kabla ya kukimbia na kujirusha.

View attachment 2177608
Hakuwa yeye Bali ni Pepo la kifo ndio lilimvaa R .I .P brother
 
Polisi Lindi wamethibitisha kifo cha Hassan Mbuyu (27) aliyejirusha baharini kwa kuhofia kuwekwa lockup Polisi baada ya Mpenzi wake Sharifa (22) kumshitaki kwamba amempiga na kumtishia, Hassan alikuwa akihojiwa na Askari kituoni kwa tuhuma za kumpga na kumtishia mpenzi wake kabla ya kukimbia na kujirusha.

View attachment 2177608
Tujue umbali wa bahari kutoka kwenye kituo

Idadi ya askari waliokuwepo kituoni

Picha ya kituo

Mazingira ya kutoroka.
 
Kituo kiko umbali gani kutoka Baharini? Na wakati akikimbia ina Maana Askari walishindwa kumdhibiti?

Mashuhuda wanaweza kutengenezwa ili Polisi ijisafishe. Uchunguzi huru ufanyike juu ya hili suala.
 
Kuna siku nilikuwa mahabusu .wakaletwa vijana wawili kila mmoja Ana kesi ya kumpiga mpenzi wake.
Nikawaambia mkishaona mmefikia hatua ya kupigana Hadi mnaletana mahabusu hii sio ishara nzuri.kama mnaweza mkitoka mkaachane na hao wanawake.
Mwanamke akikupeleka kituoni kuna hati hati ya kukaa ndani
 
Back
Top Bottom