Wajameni, virus vinakaribia kunimaliza. Vya computer. Nimetumia ARV zote naona CD4 haziongezeki, yaani sijaweza maliza tatizo. Naomba mwenye antivirus anitumie kama attached file niweze ku-instal kwenye PC zangu mbili. Mtandao hapa ni slow, noma. Kwa maana kwamba siwezi download kabisa. Nimejaibu free AVG lakini wapi!
Naamini sisi ni ndugu na undugu unaanza popote. Hapa leo ni nafasi tosha.
Asanteni sana.
Naamini sisi ni ndugu na undugu unaanza popote. Hapa leo ni nafasi tosha.
Asanteni sana.