Antivirus

Unatakiwa kufanya bootscan ,

1- Fungua antivirus yako

2 - Click sCAN COMPUTER THEN CLICK ON BOOTTIMESCAN

3 - CLICK ON SCHEDULE NOW HALAFU RESTART NOW

-----------------------------------------------------------------
ITAZIMA HALAFU ITAWAKA ITAANZA KUSCAN IKIKAMATA VIRUS UTAONA MAELEZO UNAKUPA MFANO DELETE ALL NI NAMBA 2 , SO UTAFUTA MAELEZO HIYO BOOTSCAN NI WAKATI PC YAKO INAPOWAKA HIYO NDIO NJIA RAHISI ZAIDI

NAKUTAKIA MAFANIKIO

Thanks Nimefanya kawa ulivyo elezea ime restar nakuanza kazi yake but haija prompt Kurusi nilipi login nikakuta RIcycler na System Volume Information bado yupo

Pia ninasoftware inayoweza kewa delete unlock er watoka ukiweasha anaonekane

please njia mbadala
 
Unatakiwa kufanya bootscan ,

1- Fungua antivirus yako

2 - Click sCAN COMPUTER THEN CLICK ON BOOTTIMESCAN

3 - CLICK ON SCHEDULE NOW HALAFU RESTART NOW

-----------------------------------------------------------------
ITAZIMA HALAFU ITAWAKA ITAANZA KUSCAN IKIKAMATA VIRUS UTAONA MAELEZO UNAKUPA MFANO DELETE ALL NI NAMBA 2 , SO UTAFUTA MAELEZO HIYO BOOTSCAN NI WAKATI PC YAKO INAPOWAKA HIYO NDIO NJIA RAHISI ZAIDI

NAKUTAKIA MAFANIKIO


Mkuu Shy,
Nimefanya boot scan. Imekung'uta wengi sana ila sasa imefikia sehemu wengine hawakubali mpaka niweke command ya delete! Lakini sasa kuna files zingine ambazo antivirus inataka ku-delete ili hali zimeandikwa system files. Haitaleta madhara kama nikiendelea na hii command "delete all"? Nahisi kama itafika sehemu nitabakia na ganda la computer bila programs. Naomba ushauri mkuu.
 
Kuna kitu umekosea nadhani koz hiyo avast ndio yenye uwezo huo kwa uhakika wa asilimia 100 Utafiti wake ulifanywa kwenye toleo la 4.8 na kisha ndio ukaja kuongezwa kwenye toleo la sasa lakini pia hujasema kama ulitumia pia AVG ambayo nilisema hapo mwanzo pia , basi itakuwa balaa kubwa sana hiyo pengine kuna mambo mengine hutaki kusema kuwa muwazi zaidi , Tumia AVG mara hii unaweza ipata www.filehippo.com kisha nijulishe nitakupa maelezo mengine au nitaandaa mada fupi kuhusu kitu hichi
 
Ugonile

Ungeangalia chini kuna option ya repair all , unaweza repair au move to chest option hizo haziwezi kuharibu files zako kama unahisi chochote kinaweza kutokea lakini pia kama data zako umehifadhi vizuri usihofu mara nyingi hiyo haidelete data yenyewe ni hao virus na system files kama zimeharibiwa na virus hizo unaweza kurepair ikikataa ni delete
 
Ugonile

Ungeangalia chini kuna option ya repair all , unaweza repair au move to chest option hizo haziwezi kuharibu files zako kama unahisi chochote kinaweza kutokea lakini pia kama data zako umehifadhi vizuri usihofu mara nyingi hiyo haidelete data yenyewe ni hao virus na system files kama zimeharibiwa na virus hizo unaweza kurepair ikikataa ni delete

Yes. Nikiweka repair all inakataa. Nikiweka move to chest inasema file/folder is full. Option inayokubali ni delete tu. Hapa naendelea na delete. Inakung'uta hasa. Nilikuwa na wasi wasi tu nilipofika sehemu ikaanza kuonyesha system files ndizo zamu yake ya kuwa deleted! I hope itamaliza salama. Ila inachukua muda mrefu mno! Inahitaji uvumulivu na kusubiria hapo hapo
 
Nadhani mkuu una matatizo mengi sasa kama huwezi kudownload na net yako iko slow hata mtu akikutumia attached antivirus file itabidi uli download.

inawezekana zaidi ya tatizo la hizo HIV virus una tatizo la network.

Nakushauri jaribu kutumia Avast ni light weight lakini iko efeective. vile Vile angalia kwenye Subforum ya Downloads utakuta anvti Virus . Othewrise Nenda kwenye cafe yenye speed dowload file kwenye external drive then uinstall kwenye pc zako.

Asante sana mkuu. Nilikuwa na hilo wazo: kuwa labda ni network ndiyo shida. Maana nina ujuzi kidogo tu wa hivi vitu. Nilijaribu kwenda kwenye cafe nikapata baadhi ya antivirus lakini sasa zote zimekuwa zikitaka ni-update. Naweza ku-scan flash disc yangu hapa na ikasema OK, lakini nikienda kwenye computers za wengine naambiwa ina virus! Kuna namna yoyote ya ku-update bila kutumia network?

Thanks you in advance

kama utakuwa na network muda mwingi kwa ajili ya net basi nakushauri ununue Kaspersky 2010 internet security au Kaspersky antivirus 2010 hizi ndo kiboko ya virusi bei yake huko bongo sijui ila Nairobi bei ya internet security ni in between 2000-2500 KSH na kwa Kaspersky antivirus ni kati ya 1000-1500 zote times 17-17.5Tsh upate halisi bei ya bongo!

Thanks ndugu.

Nmenuna nayo hiyo Kapersky 2010. Bei yake ni USD 25 hapa kwangu. Imeandikwa single user, ila muuzaji aliniambia naweza tumia kwa PC mbili, nikafanya hivyo. Zilikubali kuingia. Ila sasa naona hazifanyi kazi kabisa. Nikichukua file hapa kupeleka kwenye PC nyingine viruses wanaibuka kibao. Nakosa nguvu.

ipeleke kwenye maombi, tehe tehe tehe!

Kwa kama unatumia AV zaidi ya moja kwa mpigo acha, zitaingiliana.

Kama una Windows Genuine, download Microsoft Security Essentials ni AV bure ya Microsoft, na sijawahi kutumia AV bora kuliko hii.

Kama tatizo lako ni kudownload updates then AV nyingi zinakuruhusu kufanya manual updates, so unaweza kwenda Cafe, ukadownload update kwenye flash halafu ukaenda kuiinstal nyumbani. Procedure inategemea na AV yenyewe.

Tembelea www.filehippo.com enda chini sehemu ya antivirus utaweza kupata option za antivirus karibu zote ulimwenguni na utaweza download na kujaribu kwa nafasi zako.

Huyo bwana kakudanganya manake kama ni one user basi haiwezi kwa two users labda kama ingekuwa ni kwa Kaspersky for WORK STATIONS hiyo ingewezekana. Ila pole sana mkubwa naona hawa virusi wamekubana dunia nzima. Ikishindikana kabisa na maumivu yakizidi basi waone wataalamu wa ict!

Mi naona hakuna antvirus inayoweza kuondoa virus kwenye pc kwasababu antivirus, nyngi hazna uwezo wa kuondoa worms,trojan na nk.kwa hyo mi nakushauri tafuta antivirus ya mult user ndio powa.

pole sana mkuu Mwanjelwa hawa wakuu wote wa humu ndani wamekueleza jinsi namna ya Ku Download Anti-Virus lakini hawaja kueleza ni jinsi gani ya kuondowa Virus kwenye Computer kisha ndio U Download Anti-Virus. Nina shangaa sana itawezekanaje kuweka Anti-Virus kwenye Computer yako wakati wewe kwenye Computer yako imeshaingia Virus? Ninavyoelewa mimi kwnza wangekueleza namna ya kuondowa hao Virus ndani ya Computer yako kisha ndio unaweza ku download Anti-Virus yoyote ile na ikaweza kufanya kazi kwa ushauri wangu ondowa virus kwa njia hii kwanza hebu fuata haya maelezo yangu kwa Lugha ya kiingereza.

To Remove Virus/Malware/Trojan,Fake Anti-Virus, Worm Pop pop up Advertising, Rougue Spyware and


Adware

in you Computer First Use Manual Steps to Turn Off on System Restore
Steps to turn off System Restore

1. Click Start, right-click My Computer, and then click Properties.
2. In the System Properties dialog box, click the System Restore tab.
3. Click to select the Turn off System Restore check box. Or, click to select the Turn off System Restore on all drives check box.
4. Click OK.
5. When you receive the following message, click Yes to confirm that you want to turn off System Restore.

Then After Restart you Computer Safe Mode with Networking How To Restart? To get into the Windows Safe Mode with Networking computer is booting press and hold your "F8 Key" which should bring up the "Windows Advanced Options Menu" as shown below. Use your arrow keys to move to Safe Mode with Networking and press your Enter key. Then Download
the following file to your Desktop and Scan

rkill
http://www.bleepingcomputer.com/forums/topic308364.html

Download Update and Scan by Using Malwarebytes' Anti-Malware Press This Link Malwarebytes Anti-Malware - Free software downloads and software reviews - CNET Download.com

Download and Scan By using Remove Fake Antivirus description
This application is used to remove fake Antiviruses from your computers press here Download Remove Fake Antivirus 1.65 Free - This application is used to remove fake Antiviruses from your computers - Softpedia

Download and Scan by Use Super Anti-spyware Press here SUPERAntiSpyware.com | Remove Malware | Remove Spyware - AntiMalware, AntiSpyware, AntiAdware!

Download and Use ATF Cleaner is my own personal Temp file removal tool.

After Finish Remove Virus/Malware/Trojan Fake Anti-Virus Worm and Rougue Spyware and


Adware

Restart You Computer To Be Normal Then After Turn On System Restore.Steps to turn on System Restore

1. Click Start, right-click My Computer, and then click Properties.
2. In the System Properties dialog box, click the System Restore tab.
3. Click to clear the Turn off System Restore check box. Or, click the Turn off System Restore on all drives check box.
4. Click OK.

After a few moments, the System Properties dialog box closes.
Restart you Computer to be Normal.

To make Sure you don't have Any Virus,Malware,Spyware, in you Computer Scan again By Using Norman Malware Cleaner Press here MajorGeeks.Com - Contacting Download Site

Please give me the feedback and Tell to me thanks.
 
Back
Top Bottom