deejaywillzz
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 637
- 224
Habari zenu wakuu, nilikuwa napitia kwenye net nikakumbana na list ya Best Top 10 Antiviruses in 2014 kama ilivyo hapo chini. ( Best Antivirus Software Review 2015 | Virus Protection )
1. Bitdefender Antivirus Plus 2.Kaspersky Anti-Virus 3. MacAfee AntiVirus Plus 4. Norton Security 5. Trend Micro Titanium Antivirus+ 6. Avira Antivirus Pro 7. BullGuard Antivirus 8. eScan Anti-Virus 9. ZoneAlarm Antivirus 10.G Data Antivirus
Kwa opinion yangu, unaweza kuwa na best antivirus lakini kama haufanyi regular updates computer yako bado ina uwezekano mkubwa wa kuwa attacked na virus hata wale wadogo. Nilishawahi kusikia mtu analalamika kuwa ana antivirus nzuri lakini laptop yake ina virus balaa, kuja kuangalia kumbe hajawahi hata ku connect internet kwenye hiyo laptop.
Ushauri wangu kwa wale wanaotumia PC ambazo hazina access ya internet tafuteni Antiviruses ambazo zina option offline updates, hapa ninamaanisha yakuwa unaweza ku download updates kwa kutumia computer nyingine kisha ku copy files na kwenda ku updates Antivirus kwenye PC yako ambayo haina internet.
+-----------------------------------------------------------------------
| Point ya msingi ni kuhusu updating of your Antivirus,
| hiyo list ya ranking isikutoe nje ya topic, inaweza kuwa vyovyote