cacutee
JF-Expert Member
- Apr 9, 2024
- 1,679
- 4,270
Habarini wanajamvi,
Ninasikitika kuwajulisha kwamba aliyekuwa mmoja wapo wa wakurugenzi huko PSSSF Bwana Ansgar Africanus Mushi ambaye pia ni muasisi wa kikokotoo cha mafao ya wastaafu ameaga dunia siku chache zilizopita humo Africa ya kusini na kesho atazikwa kwao Uru, Mawela - Moshi.
Kesho Moshi inasimama... Wachaga hawana Dogo boss amelala.
Bwana Alitoa na Bwana alitwaa jina lake lihimidiwe