Ansbert Ngurumo: Taifa linaelekea pabaya sana

Ansbert Ngurumo: Taifa linaelekea pabaya sana

Ningependa kujua kutoka kwa mwandishi

Umeandika haya kwa masilahi ya taifa au kwa masilahi ya chama chako?
 
Pole baada ya siri kufichuka mko uchi.Halafu kuna watu wanafikiria Mnyeti hajatumwa kuongea alichooumba maajabu na kweli
Mnyeti anatekeleza maagizo ya mkuu wake wa kazi. Kamwe hatakemewa!
 
Mmeanza drama!

Fictional short story mixed with propaganda!

Ukiisoma habari yenyewe utagundua ni habari iliyojaa uwongo ambao kama hutumii fikra pana huwezi kugundua.

Ukiangalia kwa jicho la pili utagundua kuna uwezekano CHADEMA wanataka kufanya maovu au kumteka/kumficha mgombea/wagombea wao ili waseme, mmeona tuliwaambia mapema kuwa haya yatatokea.

Baadhi ya viongozi wa CHADEMA wameanza kuwajenga kisaikologia ''makamanda'' katika mipango yao.

Wajumbe aliowataja ni wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama ambayo ni kawaida kukaa ili kutathmini hali ya usalama katika mkoa.

Tokea mwaka 1996 mmnatuambia taifa linaelekea kubaya! huko kubaya ni wapi ambako hatufiki?

Ninajua baada ya uchaguzi mtakuja na nyimbo zilezile za kuibiwa kura.
kama hamutaki nyimbo hizo hizo za kuibiwa kura wekeni tume huru ya uchaguzi sio hao makada wa ccm
 
Pamoja na Ngurumo kukuta mada hii, ni vizuri akapeleka ushahidi polisi na vyombo vingine vya usalama ili vifanye kazi zinazowahusu.
Apeleke ushahidi POLISI wakati mkutano huo wa kupanga njama za uhalifu walikuwemo POLISI? You can't be serious mkuu.
 
Apeleke ushahidi POLISI wakati mkutano huo wa kupanga za njama uhalifu walikuwemo POLISI? You can't be serious mkuu.

Hahahhaah apeleke USHAHIDI halafu wamDaniel John
 
Hivi Mayalla pamoja na kijielimu mbuzi ulichonacho unadhani kuna mjinga yeyote humu JF unayeweza kumpotosha ? Kama wapo si kwenye jukwaa hili.

Unaandika as if ni binadamu asiye na aibu kabisa , yaani ni kama msela wa Tandika aliyevuta puli mbili za bangi , ni kitu gani usichokijua kuhusu shambulio la Lissu ? Yaani kweli mtu mzima bila aibu unaleta uongo hapa ? Huna wazazi wakukanye ? Ni bora usiandike chochote kuhusu Lissu utaheshimiwa .
Pascal Mayalla haamini jambo hili , bila shaka atakuwa karogwa au yeye mwenyewe ni mchawi .
Kwanza nakiri kajielimu kangu, ni kajielimu Mbuzi, ila kiwango cha uelewa, hakitokani na kiwango cha kajielimu Mbuzi, ndio maana mababu zetu, hawakwenda shule kupata elimu hii ya darasani tuliopata sisi, lakini walikuwa waelewa sana tuu!, hivyo hata uwezo wako Prof. Erythrocyte, ni levels tuu za uelewa, kutoka kiwango cha Prof, kumwelewa mtu mwenye kijielimu Mbuzi!.

Tangu Lissu ameshambuliwa, nimepandisha nyuzi kadhaa humu kumhusu Lissu na shambulio lile, ikiwemo hii nyuzi mahsus ya kuomba watu tuache ramli chonganishi kuhusu waliomshambulia Lissu
Tuacheni Ramli Chonganishi: Tusihukumu, Tusije Tukahukumiwa!. "Karma Ndio Pekee Hutoa Hukumu ya Haki Hapa Duniani!.

Kisha nikawazungumzia Wasiojulikana waliomshambulia Lissu.
Shambulio la Lissu: Wajue Wasiojulikana Watakaojulikana na 'Wasiojulikana' Ambao Kamwe, Hawatajulikana!.

Hivyo anapotokea mtu wa kuaminika kama Ansbet na kuwataja wazi wazi, wasiojulikana hawa, tena mchana kweupe, sisi tuliojiuliza sana kuhusu tukio hili, lazima tutaendelea kujiuliza na hapa ndipo huu u Tomaso wa kuhoji, na sikuishia hapa, bali pia nimehoji Taifa linahangaika na wasiojulikana waliomshambulia Tundu Lissu! Je, ni hawa?! Mhe. Mwigulu, IGP, anzieni hapa!

Na kumhusu Lissu, nimeishamuanzishia threads kibao miongoni mwake ni hizi
Siku ya Sheria: No mention of Tundu Lissu!, Je ni amesahaulika tu kutajwa, amepuuzwa au ameepukwa?!.
Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? ...Ameonyesha Uwezo Zaidi ya Magufuli!
Vurugu za Bungeni: Mhe.Tundu Lissu, Anastahili Adhabu Kali?!. Ni Mtundu Toka Shule!.
Hoja ya Udikteta wa Magufuli: Tundu Lissu isn't Right. Haupingwi kwa kupaza sauti kupiga tu Kelele!
Mhe. Tundu Lissu, Please Acha Kumsulubu Spika Wetu!, Unammaliza Kabisa Hadi Ameshindwa Kazi!.

P.
 
Bado nakumbuka maneno niliyowahi kuambiwa na mtu muhimu, 'Nawaambieni huyu Bwana ni kichaa, anaweza kuua, kufunga na hata kufanya kitu ambacho hakuna anayetarajia kuwa anaweza kufanya. Amesema hawa wawili ni lazima wafungwe'; tukauliza, 'kwani alisema wamefanya nini?'; Akajibu, 'amesema hawawezi kushindana naye'.

Nayakumbuka maneno haya kila ninaposikia taarifa za ajabu. Haya yalikuwa ni maneno kutoka kwa mtu anayekutana naye ana kwa ana, kila mara. Wapo watakaokejeli, lakini wale wenye imani, wasiokuwa akina Thomaso, aminini na iweni wenye utayari wa kisaikolojia.

Wapo wanaoehangilia leo lakini wanasahau kuwa kichaa hana rafiki, kuna siku tutalia sote.
 
Anaandika Ansbert Ngurumo

Very important Tip:

CCM na polisi jana usiku kuanzia saa 2:37 walijifungia katika ukumbi wa BoT Mwanza kupanga wizi wa kura.

1. Kikao kilianza saa 2:37
2. Washiriki walikuwa 36.
3. Kiliongozwa na John Mongela, mkuu wa mkoa.
4. Miongoni mwa washiriki ni hawa wafuatao:

1. Mkiti CCM Wilaya ya Nyamagana, Zebedayo Athumani

2. Mkuu wa mkoa, John Mongela

3. Mkuu wa Wilaya Nyamagana, Mary Tesha

4. OCD Nyamagana, Ochieng Aiago

5. OCS wa kituo cha Mirongo, Ayub Khaji

6. Wajumbe wa Kamati ya Ulinzi ya Mkoa

7. Mbunge wa Nyamagana, Stanislaus Mabula

9. Mkiti wa UVCCM Taifa, Heri James

10. RPC wa Mwanza, Ahmed Msangi

Mbunge wa Ilemela (Naibu Waziri Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi), Angelina Mabula, HAKUWA KIKAONI

Kinondoni

Walijadili Kinondoni kwa kifupi sana, kwamba:

- Dalili zinaonyesha kuwa Salum Mwalimu atashinda. Hivyo, CCM wameamua kutumia mbinu waliyotumia kwenye Kata za Arumeru mwezi Novemba 2017. Kuzuia au kuondoa mawakala wa UKAWA.

Siha haikujadiliwa kabisa.

Lakini waliambizana kuwa serikali imeamua kufanya chaguzi ndogo kwa awamu ili wapinzani wenye kiherehere wapate fursa ya kukusanyika mahali pamoja, washughulikiwe mmoja mmoja. Kufikia 2020 upinzani utakuwa umekosa watu wa kuuamsha kwa sababu wenye nguvu watakuwa wameondolewa.

Pili, walikiri kwamba mgomo wa Chadema kutoshiriki uchaguzi uliopita umewaonyesha kwamba wapinzani wana nguvu, wanaungwa mkono na umma, kwa kuwa wapigakura walipungua sana.

Kwa hiyo, shabaha ya CCM sasa ni kuwashugulikia kijeshi ili viongozi wa upinzani wapotee.

Tatu, walilaumiana kwamba kuna watu wanapewa majukumu makubwa yanawashinda kukamilisha.

Wakatoa mfano wa shambulizi dhidi ya Lissu (Dodoma) na mgombea wa Muleba; kwamba walipaswa kufa, lakini waliotumwa walifanya makosa.

Isamilo, Mwanza

Kuhusu Kata ya Isamilo, wamekiri kwamba mgombea wao hauziki, na kwamba wakazi wengi wa kata hiyo ni washashi (watu wa Mara). Lakini wakasema amri imetoka juu kwamba lazima CCM washinde kwa kuwa kata hiyo ipo eneo na makazi ya mkuu wa mkoa na ndipo Ikulu ndogo inakohamishiwa, na kwamba rais hapendi kuishi kwenye kata inayoongozwa na wapinzani.

Waliazimia yafuatayo:

1. Kuteka mgombea wa Chadema wakati wowote kuanzia sasa, hasa nyakati za asubuhi.

2. Kuanza patrol za polisi usiku ili kukamata vijana wanaodhaniwa kuwa wanaunga mkono Chadema.

3. Kazi ya kuteka mgombea imekabidhiwa kwa mtu anaitwa Banny, mkazi wa Lucherere, ambaye sasa amepewa makazi ya muda katika kata hiyo, akiwa mgeni wa aliyekuwa mwenyekiti wa Kata ya Nyakabungo, ambaye sasa hivi ana uongozi katika ngazi ya kata.

4. Usiku wa tarehe 16 kuamkia 17, polisi na green guard watafanya doria maalumu kwa ajili ya kukamata wana Chadema na kuwatisha.

Magari matatu yamepangwa kutumika - Noah, na Landcruiser mbili.

Moja itakuwa maeneo ya Kwa Malisa, katika mpaka wa Nyamanoro na Isamilo. Nyingine itakuwa gengeni kwa Wahema. Nyingine itakaa kwenye makutano ya Isamilo na Thaqafa.

5. Noah itatumiwa kubeba sukari na sabuni kwa ajili ya kuhonga wapigakura (kipande cha sh. 300 na robo kilo ya sukari sh.650).

6. Land cruiser moja itabeba green guard ili kukamata watu wa Chadema watakaokuwa kwenye patrol usiku. Magari hayo yataegeshwa kwa Wahema na Mikoroshini.

7. Siku ya kupiga kura, green guard, ambao katika mikutano ya mgombea wamekuwa wanajitokeza kama wasanii, ndio watatumika kutisha, kupiga na kuzuia watu njiani wanaokwenda kupiga kura.

Kikundi hiki kinafadhiliwa na mbunge wa Nyamagana, Stanslaus Mabula. Na jana alitoa taarifa kikaoni kuwa kilikuwa kinakabiliwa na changamoto ya posho, lakini sasa amefaulu kuimaliza.

INFORMATION IS POWER. TUJIPANGE.

Ansbert Ngurumo
Makamu Mwenyekiti CHADEMA Kanda ya Victoria
14.02.2018
Mavi matupu, endelea kuibomoa nchi yako, kuna siku hii karamu yako utaijutia, kama si wewe kizazi chako
 
Pamoja na Ngurumo kukuta mada hii, ni vizuri akapeleka ushahidi polisi na vyombo vingine vya usalama ili vifanye kazi zinazowahusu.
Apeleke habari polisi na usalama ambao ndio wanayapanga hayo?! Wewe unaishi Tz hii kweli?

Unajua uchunguzi wa kesi ya kutekwa msanii Roma mkatoliki uliishia wapi. Pale oysterbay polisi, na aliwapa kila taarifa. Hakuna kesi wala updates zozote mpaka sasa.
Nakukemea wewe tumia akili yako yote ukiwa Tz. Koma kuwa legelege.
 
Mavi matupu, endelea kuibomoa nchi yako, kuna siku hii karamu yako utaijutia, kama si wewe kizazi chako
Nakukemea koma mara moja kutetea wabaguzi na wapanga uovu wewe Mnyeti.
Hicho ulichonacho ni cheo tu pumbavuuuu.
Mnyeti unaendesha watu kwa msingi wa vyama.
Nyie CCM mpatwe na laana kisawasawa.
 
Bado nakumbuka maneno niliyowahi kuambiwa na mtu muhimu, 'Nawaambieni huyu Bwana ni kichaa, anaweza kuua, kufunga na hata kufanya kitu ambacho hakuna anayetarajia kuwa anaweza kufanya. Amesema hawa wawili ni lazima wafungwe'; tukauliza, 'kwani alisema wamefanya nini?'; Akajibu, 'amesema hawawezi kushindana naye'.

Nayakumbuka maneno haya kila ninaposikia taarifa za ajabu. Haya yalikuwa ni maneno kutoka kwa mtu anayekutana naye ana kwa ana, kila mara. Wapo watakaokejeli, lakini wale wenye imani, wasiokuwa akina Thomaso, aminini na iweni wenye utayari wa kisaikolojia.

Wapo wanaoehangilia leo lakini wanasahau kuwa kichaa hana rafiki, kuna siku tutalia sote.
Bams mkuu tunatokaje kwenye hili giza ?

Jamaa anataka kututumbukiza shimoni..

Tufanyeje mkuu..
 
inteluginccia koko ya chadema isiyojua
Diwani yupi au mbunge yupi atahama oya oya oya mzushi at work hamjui yenu ndio mtayajua ya CCM?
Comredi Pole Pole jamani saidia kutoa orodha ya wabunge na madiwani waliohama
 
Mfa maji haishi kutapatapa....washaona wameelemewa na wanamwenda kushindwa wameanza kuleta visingizio.

JPM kwa Tanzania mpya....kubalini tu maana hata upinzani umeshawashinda mnapumulia mashine,mlizoea hoja za ufisadi,rushwa etc. ambazo serikali ya awamu ya 5 inazishughulikia effectively sasa kwa sababu ya akili ndogo mmejikuta hamna jipya tena,poor you. .

Nchi inasonga,watanzania wanampenda Rais na serikali yake,mnasambaza chuki mnafeli basi mpo mpo tu mmepanic.
 
Back
Top Bottom