Anonymous hackers ni watu gani?

Anonymous hackers ni watu gani?

we-are-anonymous-we-are-legion-we-fight-corruption-we-24376973.png

Ananoymous hackers ni kundi la watu wasiojulikana ambao wanapatikana maeneo mbalimbali duniani wanaoungana na kupigana na uonevu mbalimbali duniani. Silaha yao kubwa ni internet.

Washazi-attack serikali mbalimbali kama za Israel, Usa, Uganda, Tunisia, Iraq etc pia mashirika mbalimbali kama Visa, Paypal, Master card etc, pia website mbalimbali kama zinazoonesha ngono za watoto na copyright agencies.

Kifupi jamaa wanajua na ni hatari. Wanaweza kupromise wiki ijayo tutafanya attack website xxxx na wakafanikiwa, hata mjilinde vipi!
Mkuu, wanaweza wakaingia ktk system za Bank na kufanya transactions? Kuingia ktk system za vyuo na kuvuruga data za chuo n.k?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ndio wanaweza na wameshafanya. wameshack Bank of America, Benki kuu ya Ugiriki etc.

sema sio watu wanaotafuta hela kwa kuiba bank, watachukua tu data na kuziweka hadharani.
 
Mkuu, wanaweza wakaingia ktk system za Bank na kufanya transactions? Kuingia ktk system za vyuo na kuvuruga data za chuo n.k?

Sent using Jamii Forums mobile app
Lengo kubwa la Anonymous sio kuharibu bali ni kuisaidia jamii kwa kuibui madudu yanayofichwa na taasisi nyeti nyeti duniani.

Hivyo hata waki hack bank sio kwa nia yakuiba pesa hapana kuna kitu cha manufaa kwa jamii wanakifanya.

Ni watu wanaojielewa na wana misingi na taratibu zao.
 
Ahsante saaana Mkuu.
 
Kwa kifupi anonymous ni kundi la wachochezi(activists) ambalo limebase kwenye maswala ya mtandao..
wao hutumia technology ya internet kufanya kazi zao. Njia kubwa wanayotumia ni ku Hack media(including social media na vituo vya TV) hence wanajiita hacktivists ambalo ni neno lililotokana na maneno mawili-hack na activist..jina Vigilantes wamelipata kutokana na ukweli kwamba,anonymous ni jeshi la kujitolea.
hawana kiongozi.na member wa anonymous anaweza kutoka sehemu yoyote.

We are Anonymous.
We are Legion.
We do not forgive.
We do not forget.
Expect us.
 
"We are Human, no Nationality"
 
Activists siyo wachochezi na haina maana ya wachochezi bali ni wanaharakati. Hiyo ndiyo tafsiri sahihi ya activist (mwanaharakati)
 
Kwahiyo sio watu wabaya ?
 
Anonymous ni jina tu ambalo hackers wanaweza kulitumia kufanyia shughuli zao. Sio organization ni kama movement au wana harakati na hakuna uongozi ila kwenye media ukisoma habari kama "anonymous wamehack website flani" unaweza kujua kwamba ni organization ila kuihalisia inaweza kuwa mtu yoyote amehack iyo website na kaamua kujiita anonymous. Hata ww unaweza kuvaa izo mask na kujiita anonymous
 
Back
Top Bottom