Anonymous hackers ni watu gani?

Anonymous hackers ni watu gani?

Mockingbird

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2018
Posts
434
Reaction score
1,043
Habari,

Naomba kuuliza hawa watu wanaovaa mask za mtu anayetabasamu ni wakina nani?
Wanajihusisha na nini?
Malengo yao ni nini?

Thanks..
 
we-are-anonymous-we-are-legion-we-fight-corruption-we-24376973.png


Ananoymous hackers ni kundi la watu wasiojulikana ambao wanapatikana maeneo mbalimbali duniani wanaoungana na kupigana na uonevu mbalimbali duniani. Silaha yao kubwa ni internet.

Washazi-attack serikali mbalimbali kama za Israel, Usa, Uganda, Tunisia, Iraq etc pia mashirika mbalimbali kama Visa, Paypal, Master card etc, pia website mbalimbali kama zinazoonesha ngono za watoto na copyright agencies.

Kifupi jamaa wanajua na ni hatari. Wanaweza kupromise wiki ijayo tutafanya attack website xxxx na wakafanikiwa, hata mjilinde vipi!
 
we-are-anonymous-we-are-legion-we-fight-corruption-we-24376973.png


ananoymous ni kundi la watu wasiojulikana ambao wanapatikana maeneo mbalimbali duniani wanaoungana na kupigana na uonevu mbalimbali duniani. silaha yao kubwa ni internet.

washazi attack serikali mbalimbali kama za Israel, Usa, Uganda, Tunisia, Iraq etc pia mashirika mbalimbali kama Visa, Paypal, Master card etc, pia website mbalimbali kama zinazoonesha ngono za watoto na copyright agencies.

kifupi jamaa wanajua na ni hatari, wanaweza kupromise wiki ijayo tutafanya attack website xxxx na wakafanikiwa, hata mjilinde vipi.
kwa faida ipi sasa wanafanya hivyo?
Naomba kujua history yao kidogo...
 
Ni kikundi cha vigilantes wa mtandaoni ambao huwa wana hack katika servers za watu ambao wanahisi hawasimamii misingi ya haki katika nyanja mbali mbali katika jamii!

Kuelezea kwa kiswahili kidogo imenipa ugumu. Ila kwa lugha nyepesi naweza kusema hao ni 'internet vigilantes"
 
we-are-anonymous-we-are-legion-we-fight-corruption-we-24376973.png


ananoymous ni kundi la watu wasiojulikana ambao wanapatikana maeneo mbalimbali duniani wanaoungana na kupigana na uonevu mbalimbali duniani. silaha yao kubwa ni internet.

washazi attack serikali mbalimbali kama za Israel, Usa, Uganda, Tunisia, Iraq etc pia mashirika mbalimbali kama Visa, Paypal, Master card etc, pia website mbalimbali kama zinazoonesha ngono za watoto na copyright agencies.

kifupi jamaa wanajua na ni hatari, wanaweza kupromise wiki ijayo tutafanya attack website xxxx na wakafanikiwa, hata mjilinde vipi.
Basi hawa jamaa ni jau
 
Sio hao mkuu, wenyewe huvaa masweta na mask. Ningependa kufaham history yao walikoanza walipo na wanakoelekea..
malengo yao nn hasa
Nawafahamu vizuri mkuu wanavaa Mask the Guy Fawkes.....
Wanasema wao ni Internet Vigilantes lakini siyo Vigilantes wale ni State Sponsored Hackers who are working for the Big Brother. Threshold ya mashambulio yao dhidi ya Serikali mbali mbali duniani siyo ya vikundi vya wahuni tu, wale ni lazima wana mkono wa Taifa kubwa. Watu wa kawaida wanaweza kufanya mashambulio ya mtandao lakini kwa kiwango cha Anonymous Hackers ni dhahiri its the BIG BROTHER.
 
Nawafahamu vizuri mkuu wanavaa Mask the Guy Fawkes.....
Wanasema wao ni Internet Vigilantes lakini siyo Vigilantes wale ni State Sponsored Hackers who are working for the Big Brother. Threshold ya mashambulio yao dhidi ya Serikali mbali mbali duniani siyo ya vikundi vya wahuni tu, wale ni lazima wana mkono wa Taifa kubwa.....
Mkuu naomba uingie deep zaid tafadhari nijue japo abc kuhusu hwa watu..
big brother ni nani?
 
Back
Top Bottom