William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,588
- 10,376
Mkuu hebu heshima Kidogo Wiliam ametulia sana leo anamwaga data! Chuki na ubinafsi wake hebu weka kando tumjue mama Makinda. William if you opt to ignore haters utasaidia. Unajua mambo ya kifamilia ya huyu mama Spika? naosoma controverse nyingi hapa JF nisaidie kidogo kuweka mistari sahihi
- Well mkuu sidhani kama tukifuatilia ishus za familia za viongozi wetu wote wa taifa kuanzia CCM mpaka Upinzani tutabaki na anybody, ninajua kwamba ana mtoto wa kike Michigan ambaye ameolewa na ana familia yake, otherwise toka amekua kiongozi wa taifa kwa muda mrefu sana sasa sijawahi kumuona au kumsikia na any kashfa, binafsi ninamuheshimu sana maana ni kiongozi anayejiheshimu sana kama anything basi itakua kabla hajawa kiongozi wa taifa ina maana alikuwa na umri mdogo sana! Sijui kama nimekusaidia mkuu!
- Ninaamini for a fact kwamba chaguo la mafisadi lilikuwa Mama Anna Abdallah, Wapinzani wako kwenye good hands kwa uongozi wa huyu mama as long as watakuwa makini kama tunavyotegema na ishus za masilahi ya taifa. Ninajua kwamba huyu mama hapendi sana upuuuzi na uongo uongo au masihara na ni very firm na mwenye msiamo sana, sauti yake ni nzito sana kule CC na inaheshimiwa sana! Ndio maana hata Mama Kilango alirudisha fomu maana asingeweza kusimama na huyu mama, halafu pia elewa kwamba bunge lina tabia ya kuchagua one of their own na mbunge senior ndio maana mafisadi walijaribu kumpitisha Mama Anna Abdallah maana na yeye amekuwa bungeni kwa muda mrefu sana walitegema sana hivyo dhana kumpitisha!
William