Anne makinda ni mwanamke?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anne makinda ni mwanamke??

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by BASIASI, Nov 11, 2010.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #1
  Nov 11, 2010
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,109
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Nimesikia wapuuzi wa ccm wakiongea tunaitaji bunge la spika mwanamke,...kiila nikiangalia najiuliza huyu kweli ni mwanamke??kwa waliokuwa wakifwatilia bunge waliona mambo aliokuwa akifanya mpaka kutukana wazee wetu na kuwalazimisha waketi kama wajuu zake kama vile we panya nakwambia kaa chini utaki...nimekaa nikajiuliza huyu mama ameolewa??najua wapo waliooana wenyewe kwa wenyewe ilinigarimu kuamini huyu mtu ni mwanamke jinsi alivyokuwa akijibu wabunge na mwaka huu atarajie matusi ya nguoni kwa vijana wa mjini kama si kuimbwa kwenye nyimbo kwa upuuzi anaotaka kuendelea nao.....labda maniasaidie jamani ni mwanamke mwanamume
   
 2. d

  dotto JF-Expert Member

  #2
  Nov 11, 2010
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Bunge lililopita alikuwa mama mwenye hasira muda wote! Sidhani kama anafaa. hana busara. hana lugha laini yenye akili. Ni mkali for nothing. ngoja tuone.
   
 3. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #3
  Nov 11, 2010
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Hajaolewa...
   
 4. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #4
  Nov 11, 2010
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Tumuunganishie Slaa ili aweze kumwambukiza busara na slaa aweze kuongoza bunge kwa mlango wa nyuma
   
 5. K

  Kiti JF-Expert Member

  #5
  Nov 11, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 228
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ana Mtoto?
   
 6. Tonge

  Tonge JF-Expert Member

  #6
  Nov 11, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Huyu ni KIKONGWE kama NGOMBALE, nani amuoe huyu KICHAA, mwanamke gani hana hata kauli nzuri yuko kama frustrated hivi aua MENOPAUSE inamsumbua? Safari hii atapata MP upyaaaaa tena infront of other wabunge.
   
 7. B

  Baba Ubaya Senior Member

  #7
  Nov 11, 2010
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 127
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Huyu mama hafai bunge lilopita alikua na kauli chafu hasa kwa wabunge wa upinzani atawekwa kulinda maslai ya chama
   
 8. M

  MBWEHA Member

  #8
  Nov 11, 2010
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyu mama hajolewa hivyo basi akijikia kuwa na mwanaume ndo hapo anapokuwa mkali kweli kwa sababu usiku habembelezwi, we fanya utafiti wale walioolewa na wale wasioolewa kauli zao, nyie acheni nyege mbaya sana hata kushikwa tu hashikwi, huyu anamfaa kingunge lakini si DR (PHD)
   
 9. Kishongo

  Kishongo JF-Expert Member

  #9
  Nov 11, 2010
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Una lengo la kumchakachulia Slaa mke mwingine?
   
 10. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #10
  Nov 11, 2010
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Kuolewa ni fani. Amuoe nani kisilani huyo? Kinachoniuma zaidi, lile vazi la spika halimkai vizuri. Akili zake "SHAKE WELL".
   
 11. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #11
  Nov 11, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,337
  Likes Received: 19,508
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 12. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #12
  Nov 11, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,337
  Likes Received: 19,508
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 13. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #13
  Nov 11, 2010
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  kwani anamke? Huyu makinda hajawahi kutongozwa atamkubali na hakutakuwa na mwanaume wakujitokeza hata kudai kuwa alikuwa boy friend wake. Nia ni kupambana na mafisadi kwa mbinu zote .
   
 14. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #14
  Nov 11, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,337
  Likes Received: 19,508
  Trophy Points: 280
  unataka kumuoa??
  [​IMG]
   
 15. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #15
  Nov 11, 2010
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  mh namuogopa!
   
 16. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #16
  Nov 11, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,337
  Likes Received: 19,508
  Trophy Points: 280

  [​IMG]
   
 17. akashube

  akashube JF-Expert Member

  #17
  Nov 11, 2010
  Joined: Dec 24, 2009
  Messages: 411
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Wewe unakoenda utafika sasa hivi..shauri yako..yaani unazunguka kumbe unataka kuuliza kama Jakaya ni nani vile....kwamba inawezekanaje mwanaume akawa 'beautiful' badala ya handsome!!!!

  'jamani mafisadi ntawakamata nyie!!...we haya tu..nyie nichezeeni tu mwaya...hi hi hi..yaani mnaiba hela za EPA..hi hi hi hi...ho ho ho..nyie mwaya.. mweh!!...ari zaidi..hi hi hi, nguvu zaidi..hi hi hi..na hi hi...jamani mwaya acheni ufisadi mweh!!! hi hi hi..'

  usiulize jinsi tafadhali!!!!
   
 18. S

  SUWI JF-Expert Member

  #18
  Nov 11, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 548
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Nop!! Hana mvuto atamtia kichefu*2 Slaa wetu...:nono:
   
 19. akashube

  akashube JF-Expert Member

  #19
  Nov 11, 2010
  Joined: Dec 24, 2009
  Messages: 411
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Jike la mbegu.
   
 20. S

  SUWI JF-Expert Member

  #20
  Nov 11, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 548
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Plastic:hippie:
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...