Anne Makinda anunua nyumba kwa Tsh. Milioni 900, Dar

Sasa mtu alikua mfanyakazi wa serikali tena wa ngazi za juu kwa miaka mingi pesa hizo hakosi
Kwenye nafasi alizoshika karibia kila kitu alikua anahudumiwa na serikali
Mbona walim mtaani huku wanapostaaf na wao wanaporomosha mijengo hamsemi 😃😃😃 au makinda inashtua kidogo 900 paref hahahaa
 
Nafikiri CHADEMA mnahubiri ubepari (every body for himself/herself amnd God for all), na ubepari ni uwanja wazi na uwanja wa fujo. Hakuna cha kuachiana. Kuachiana kwani kimekuwa chaku;la cha familia. You are either in or out. You cannot pick and choose. Ubapari haumjui kijana wala mzee. Ubepari haufuata heshima ya umri katika kutafuta mali. Awe mzee au kijana, wote wan haki kutafuta. Alafu wewe mtoto wa juxzi unataka upewe uenyekiti au ujumbe wa bodi kwa uzoefu upi ulionao. Saasana sana unachojuwa wewe ni kutukana kwa kujificha. Ukiwe kwenye keyboard wewe fundi saana na mjuaji wa kila kitu, lakini think of "real life"! Usauli wenyewe ukliitwa unatetemeka tangu mwanzo wa usaili mpaka mweisho. Ukiikosa kazi, unadai wamependelea. Mimi naona uiendelee na ushujaa wako humu JF.
Niite nifanye interview Mkuu ksk

Niondoe na kwenye Hiko Chama ulichokitaja
 
Wizi unauita ni maarifa!? 😳😳😳
Kwa sababu nahisi zilikokwapuliwa ni kwenye minyororo ya akaunti za Mafisadi nahisi huko kuna Pengo la hayo Matrioni

Ni maarifa ndio kumnyang'anya Fisadi
 
Angalia picha ya kuchanganya udongo wa muungano nasikia yeye ndo kashika vifaa. Kama alikwisha ingia kwenye connection kipindi hicho mpaka leo ana connection unategemea akose mamilioni? Mi naliona kama mfano wa kuigwa tujifunze kuwekeza badala ya kuendekeza anasa la sivyo tutawapachika watu dhambi wasizokuwa nazo. Na angekuwa kabila fulani uzi ungesema Makinda ana akili ya kutafuta pesa.
Mkuu:
Yupo wapi hapo tuonyeshe tafadhali.

348b5569-9c7c-400a-9c02-c0596fadcfc2-1.jpeg
 
Unamjua vizuri? una hakika na hili unalomsemea?? Mama Makinda ana mtoto (Binti wa Kumzaa mmoja ) na pia anakaa na watoto wa dada na wadogo zake.Binti ake Jina lake linaanzia na J Spika mimi namfahamu toka Tunakaa nae maeneo ya Seaview Upanga akiwa Waziri wa Wizara ya Wanawake na Watoto.Those Days watoto waliokuwa kwake We where friends and mara nyingi tulikuwa tunashinda kwake during the weekends watching Movies and Recorded CNN news Bulletins from VHS Tapes borrowed at EMPIRE MOVIE THEATER VIDEO LIBRARY Karibu na Mavuno House Posta mpya
Watu wengine hovyo sana wanaamini wasivyoviona. Kidoti si sehem ya hii familia?
 
Hamjambo ndugu zangu?

Speaker mstaafu bi Anna Makinda amenunua nyumba hapa Mbezi Makonde yenye thamani ya tsh 900 ml.
Hiyo imekuja siku cheche baada ya mama huyo kukamilisha ujenzi wa ukumbi wake wenye thamani ya mabilion maeneo hayo hayo karibu na ukumbi wa RED HALL

Huyu alikuwa mtumishi wetu pesa kaipata wapii?
Ni kweli ufisadi umeisha Tanzania?

Nitawasilisha.
acha wivu wa kike , na ww nunua. Au ndo wamwonea wivu spika mstaafu!!!?
 
Tutumie akili angalau kidogo ,unamshangaa mtu aliyetumikia nafasi za juu serikalini kununua nyumba ya m900?yaani unaona ni nyingi sana?
 
Hamjambo ndugu zangu?

Speaker mstaafu bi Anna Makinda amenunua nyumba hapa Mbezi Makonde yenye thamani ya tsh 900 ml.
Hiyo imekuja siku cheche baada ya mama huyo kukamilisha ujenzi wa ukumbi wake wenye thamani ya mabilion maeneo hayo hayo karibu na ukumbi wa RED HALL

Huyu alikuwa mtumishi wetu pesa kaipata wapii?
Ni kweli ufisadi umeisha Tanzania?

Nitawasilisha.
haya yote yanakuja leo baada ya yeye kusema "nitakuwa wa mwisho kuamini kama mbowe ni gaidi"

kijana endelea kutumikia tumbo lako bila kujua unaandaa uwezekano wa wewe na kizazi chako kurudi utumwani,na safari wahusika sio waarabu ni weusi wenzio CCM
 
Kuhusu hilo la milioni 900 sina ushahidi nalo.....

Ila.....

Mh.mama Anna Makinda ameanza kuwa mtumishi wa umma toka miaka ya nyuma na MSICHOKIJUA ni kuwa mh.Makinda ni MBANA MATUMIZI KWELIKWELI.....na mwekezaji wa KILIMO ,na vibiashara vingi vidogovidogo toka miaka ya 90......kwa hulka na tabia zake hizo sishangai akiweza kununua NYUMBA YA GHARAMA KUBWA KIDOGO..........

My take:

Tupende kuutafuta ukweli kabla ya KUWACHAFUA WAZEE WETU....WAMELITUMIKIA TAIFA HILI KWA UZALENDO MKUBWA....WAACHWE WAPUMZIKE...

#SiempreJMT
#NchiKwanza
Amekuwa mbunge kwa miaka Arobaini na pia amekuwa spika wa Bunge ana vyeo lukuki pia amekalia vyeo vingi Sana hivyo kwa nafasi alizoshika plus ujasilia Mali alonao hicho kiasi cha kawaifa sana
 
Umbea. Ujumbe wake wa bodi mbalimbali unaweza kumpatia hizo hela. Na ukumbuke huyo ni
Mfanyakazi wa siku nyingi serikalini kwa vyeo vya juu hivyo unaweza kuta alikuwa ana save au kakopa.
kasevu Milion 900? sio kwa mishahara ya bongo labda mkopo
 
Sasa hayo si maisha binafsi,tukianza kufuatilia kila mtu anachonunua itakua taabu.
Hamjambo ndugu zangu?

Speaker mstaafu bi Anna Makinda amenunua nyumba hapa Mbezi Makonde yenye thamani ya tsh 900 ml.
Hiyo imekuja siku cheche baada ya mama huyo kukamilisha ujenzi wa ukumbi wake wenye thamani ya mabilion maeneo hayo hayo karibu na ukumbi wa RED HALL

Huyu alikuwa mtumishi wetu pesa kaipata wapii?
Ni kweli ufisadi umeisha Tanzania?

Nitawasilisha.
 
Huyo mama yupo serikalini tangu enzi ya Kambarage, akose huo mpunga kweli??
 
Assuming amepangiwa kuishi miaka 77 Kama isemavyo BIBLIA , atakaa humo ndani kwa muda gani?
Hiyo hela angewasaidia watoto wanaoteseka kwenye vituo vya kulelea watoto si njia yake ya Mbinguni ingekua tambarare.....
Asking for a friend. Huyu mama ndio mmiliki wa mabasi ya SUPER FEO?
Jana nimeona Super feo mpya zaidi ya sita Miembe sana kibaha
Superfeo yuko Mwamba Omari Msigwa,Felician Msigwa na Msigwa mwingine.Hiyo ya Makinda kumiliki superfeo labda utuletee Memarts tuone share.Superfeo ni brand ya akina Msigwa
 
Hamjambo ndugu zangu?

Speaker mstaafu bi Anna Makinda amenunua nyumba hapa Mbezi Makonde yenye thamani ya tsh 900 ml.
Hiyo imekuja siku cheche baada ya mama huyo kukamilisha ujenzi wa ukumbi wake wenye thamani ya mabilion maeneo hayo hayo karibu na ukumbi wa RED HALL

Huyu alikuwa mtumishi wetu pesa kaipata wapii?
Ni kweli ufisadi umeisha Tanzania?

Nitawasilisha.
Ufisadi Tanzania kuisha ni kama kusema maji yaishe Bahati ya Hindi
 
Back
Top Bottom