Usilazimishe kila mtu aamini unachokoiamini, tunataka viongozi na si washabiki wasiokuwa tayari kujisimamia, mwache asimamie anachokiamini na zaidi asimamie maslahi ya Taifa na Jimbo lake na si hoja ya zito ingawa kwa jinsi ninavyoona hoja hii inamashiko sana ingawa si lazima kila mmoja aamini sawa na mimi.