Anne Kilango asoma biblia kuhalalisha rais kuunda tume ya katiba

timbilimu

JF-Expert Member
Sep 2, 2010
4,823
2,000
RA aliku sahihi alipodai wapinga ufisadi ndani ya CCM ilikua ni chuki ya kukosa vyeo na madaraka! Maana hapa ndipo mahali pake kuhakikisha tunapata Katiba nzuri lakini wapi sikia maneno yao. Akina Sitta wao wako kimya kabisa.
 

mwaJ

JF-Expert Member
Sep 27, 2007
4,074
1,195
Huyu AKM ni kigeugeu sana! Kaona ngoma ya ufisadi imemshinda sasa kaungana nao waziwazi kulazimisha dhuluma!
 

seniorita

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
674
0
The Biblle speaks about "righteousness, justice with regard to leaders......read this in the light of JK's leadership and see if he does as the Holy Word says:
1Give the king your justice, O God,
and your righteousness to a king's son.
2May he judge your people with righteousness,
and your poor with justice.
3May the mountains yield prosperity for the people,
and the hills, in righteousness.
4May he defend the cause of the poor of the people,
give deliverance to the needy,
and crush the oppressor.
"Give the king your justice, O God,
and your righteousness to a king's son.
May he judge your people with righteousness,
and your poor with justice.
May the mountains yield prosperity for the people,
and the hills, in righteousness.
May he defend the cause of the poor of the people,
give deliverance to the needy,
and crush the oppressor.
...............................

"For he delivers the needy when they call,
the poor and those who have no helper.
He has pity on the weak and the needy,
and saves the lives of the needy.
From oppression and violence he redeems their life;
and precious is their blood in his sight." (excerpt from Psalm 72).

IS this what those in power do? If so then definitely they deserve our obedience....that is what was expected of "those in power"...but for us, our blood is their joy....
 

Magwira

JF-Expert Member
Nov 14, 2011
337
225
Ndg. Zangu mcmamo wa Malecela ndani ya CCM ndo mawazo ya huyu mama mnafik.Hana uwezo wa kuwarubni na kuwapmbaza tena Watanganyika.Kilago cha Malecela hak2fai.
 

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,484
2,000
Biblia ukiisoma hovyo unakuwa mweu na kupotosha jamii.
Ajaribu kufuatilia maana ya hayo maandiko kwa hadhara ya wakati huo na hao viongozi walipatikanaje enzi izo!
Bible commentaries zitamsaidia kudadavua ilo andiko otherwise aache kuupotosha umma.
 

LEGE

JF-Expert Member
Oct 14, 2011
5,114
2,000
Mi naona kabla hamjabeba thambi ya kumlaumu huyu mkaa**haba.Maana na mim nipo njian kumtukana kabla cjamalizia tusi langu naomba yeyote anayeweza fanya mpango wa CV yake a2pie jamvin 2naweza 2kam2kana kumbe ana haki ya kufanya hayo kichwani mwake mkawa hamnazo.

CV yake ikiwekwa jamvin mod mjiandae kunipiga ban.
 

Shine

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
11,486
2,000
Kwanini atumie biblia kwenye unafiki na ukandamizaji? Ila kwenye ufisadi hataki kuijua kabisa
 

Sungurampole

JF-Expert Member
Nov 17, 2007
985
195
Kwanini atumie biblia kwenye unafiki na ukandamizaji? Ila kwenye ufisadi hataki kuijua kabisa

Kama tungeifuata bibilia kwa makengeza kiasi hicho sijui dunia hii ingekua wapi , kwani kila kiongozi angepeta na kwa maana hiyo duniani viongizi wote wangesafishwa na kusingekuwa na anayestahili kuitwa mbaya.

Angeendelea kusoma angegundua Mungu bibilia ilivyojaa vita vya watu kupambana na viongozi wabaya

Sii kweli kuwa mamlaka zote zatoka kwa Mungu nyingine zimetoka kwa NEC ya Makame
 

ma2ngwa

Member
Sep 5, 2011
54
70
Hamna cha kumjadili huyu mama ameshapoteza mvuto kwa umma,nu kweli anatafuta sehem ya kuegemea!!oportunist!!!!!shame on her!!!
 

Nicksixyo

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
949
500
Akome kama alivyokoma kunyonya titi la ***** kugusa Biblia maana wachungaji na maaskofu wakigusa siasa zao wanaambiwa wanaingilia yasiyowahusu.Anamaradhi ya sehemu zilizofichama nguoni..!
 

KASHOROBANA

JF-Expert Member
Jul 30, 2011
3,244
1,500
Hata ukimuuliza huo mstari unapatikana kitabu gani katika biblia hawezi kukuambia, amekariri tu tiini mamlaka, huyo sio bure kuna kitu anakitafuta[/QUOTEBWANA AYA MAMBO TUNAPOYAHUSIANISHA NA VITABU VYA MUNGU WAKATI MOYONI WAJUA NI USANII INA NIPA TABU SANA, LAKINI TUTAFIKA TU
 

Junioroby

Member
Nov 24, 2010
48
70
Kila mtu anaweza kutoa mawazo yake ni dhahiri hili halikua la wananchi wakewalio mchugua na wenye akili timamu bali ni lake lilio ujaza moyo wenye kutamani madaraka. Moyo huu ni wa wenye kujikomba kwa wakubwa ili upewe vyeo
 

Nico1

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
807
250
huyu si ndiye aliye mwambia mb mwenzake kwamba hana shida ya kuhongwa chai vp leo hii ameionja na akahisi kwamba ina utamu ndani yake.aaaaah! ama kweli mnafiki ajifichi.
 

CHIPANJE

JF-Expert Member
May 1, 2011
314
195
Huyo mama asitupe shida,sioni kama ni mpiganaji wa kweli zaid ya visa alivyokua navyo juu ya mumewe kunyan'ganywa jimbo Mtera.

Amejifunzia wap Bible yeye,hv hata kama mamlaka ni ya kishenz tuyatatii?
 

BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,526
2,000
hana lolote huyo angekua anaijua biblia asingemkimbia mme wake na kwenda kwa malecela kisa mgombea urais mtarajiwa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom