Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 62,037
- 38,404
Kadiri ya uelewa wangu Mkuu kyumana, CHADEMA wanapaswa kutoa taarifa kwa Spika wa Bunge.Halafu Ofisi ya Spika itamuarifu Mwenyekiti wa NEC kuwa kuna jimbo liko wazi kw hatua za kiuchaguzi kama inawezekana. Kuna tetesi kuwa kinasubiriwa kikao cha CC ya CHADEMA cha Mei mwaka huu ili ki-note na halafu taarifa kamili ya kikatiba itolewe kwa Spika
kwa cheo alichokuwa nacho zitto
cc aina mamlaka ya kumvua uanachama ni Baraza kuu tunalisubiria kwa ham tuwavue nguo uwanja ule ule
kafulila stadium