Anna Makinda: Natambua Zitto Kabwe bado ni mbunge

Anna Makinda: Natambua Zitto Kabwe bado ni mbunge

Hata wangerudia uchaguzi Zitto akagombea kwa chama kingine mbona angeshinda kwa kishindo
 
Je kwanini Chadema hawajapeleka hizo taarifa hadi sasa?

Chadema ina taratibu zake; haipangiwi majukumu na magamba.

Pili, kwa ufupi ni kwamba ikipelekwa barua atajiona mshindi. Mwache aendelee kuishi kwa hofu ndani ya Ubunge kwa hisani ya Chadema hadi ajione mpu-mbavu. Unacheza na ma-intelectuals waliojazana hapo Ufipa wewe!

Ndio anauwawa kisaikolojia hivyo; itafika mahali akiona rangi kama za Chadema atakuwa anapiga mayowe na kukimbia kama mwendawazimu. Adhabu kali kabisa kuliko kuandikiwa hicho kibarua ambacho magamba wanaweza kupiga nacho danadana kumlinda mtu wao. Mwacheni hivyo hivyo!
 
Akili ndogo kuongoza akili kubwa ndio hii.chadema waandike barua ipi wakati hawana hukumu ya maamuzi ya mahakama.Chama kuongozwa na Wahuni ni Shiiidah
 
Lisu kakurupuka tu, sijuu shera hizo kasomea wapi!

Chadema ina taratibu zake; haipangiwi majukumu na magamba.

Pili, kwa ufupi ni kwamba ikipelekwa barua atajiona mshindi. Mwache aendelee kuishi kwa hofu ndani ya Ubunge kwa hisani ya Chadema hadi ajione mpu-mbavu. Unacheza na ma-intelectuals waliojazana hapo Ufipa wewe!

Ndio anauwawa kisaikolojia hivyo; itafika mahali akiona rangi kama za Chadema atakuwa anapiga mayowe na kukimbia kama mwendawazimu. Adhabu kali kabisa kuliko kuandikiwa hicho kibarua ambacho magamba wanaweza kupiga nacho danadana kumlinda mtu wao. Mwacheni hivyo hivyo!
 
Je kwanini Chadema hawajapeleka hizo taarifa hadi sasa?

nia ya cdm sio kumnyima zitto ugali wa ubunge bali ni kumweka kando na masuala ya chama
hapa cdm wanaweza wasipeleke taarifa rasmi kwa spika na nec na kumwacha ZZK akiwa mbunge bila kuingilia au kuongelea jambo lolote la cdm
 
Hakuna haja ya kuandika barua yeye mwenyewe ajipime kufuatana na katiba, asiwe ruba anajua kuwa tumemkataa kama chama, lakini anaweza kupiga dana dana amalizie kiinua mgogo chake.
 
shalet

Mkuu ni sawa wala usiwe na wasiwasi barua itaenda
 
Last edited by a moderator:
Hakuna haja ya kuandika barua yeye mwenyewe ajipime kufuatana na katiba, asiwe ruba anajua kuwa tumemkataa kama chama, lakini anaweza kupiga dana dana amalizie kiinua mgogo chake.

Sure, this is the best approach Chadema can do! Wamwache hivyo hivyo; ni adhabu tosha.
 
Najiuliza kama nchi hii siku moja inaweza kuvamiwa lakini wakuu wakaendelea kusema "tunasubiri barua rasmi" ili kupeleka majeshi!
 
Watazungusha zungusha mambo weeeee, lakini ukweli ni kwamba ZZK sio mwanachama tena wa CHADEMA na kwa maana hiyo siyo mbunge tena
 
Pamoja na kumchukia zito binafsi naona suala hili linahitaji busara zaidi, ni vema kwa chama kumuachia zito amalizie kipindi chake cha ubunge ndipo mambo mengine yafuate!
 
mkuu ni sawa wala usiwe na wasiwasi barua itaenda

Itaenda na viambatanisho vip.Jalada la kesi lipo kwa Msajili wa mahakama kuu.Hakuna taarifa yoyote kutoka mahakama kuu.lisu kawatangazieni kushinda kesi.kamuulizeni kwanin haandiki barua
 
Nilitegemea yafuatayo kufanywa na Chadema.
Kumwandikia Zitto barua ya kuvuliwa uanachama.
Kulitaarifu bunge kuwa Zitto kaondoleewa uanachama.
Afu mengine yatafata.
Ila waliongea kwenye radio tu, yakawa yameishia hapo

Mwezi mei baada ya vikao vya chama atapewa barua...sasahivi ilibidi ifanywe hivyo kuweka clear kwa jamii kwamba jamaa amejifukuzisha
 
Nilitegemea yafuatayo kufanywa na Chadema.
Kumwandikia Zitto barua ya kuvuliwa uanachama.
Kulitaarifu bunge kuwa Zitto kaondoleewa uanachama.
Afu mengine yatafata.
Ila waliongea kwenye radio tu, yakawa yameishia hapo
acha zitto aenderee kuhangaika kama kifaranga aliyeachwa na mama yake. apengwe danadana mpaka akome. ila mwisho wa siku maamuzi ya chadema yanajulikana na niswala la katiba na kanuni za chama.
 
Back
Top Bottom