Anna Kilango atiwa mbaroni kwa tuhuma za kutoa rushwa

hawa watu wapumbavu sana,utaendaje kutoa rushwa wrewe mwenyewe personal,like an idiot?.
sijui kwanini hawamwigi lowasa,kama unataka kutoa rushwa tumia wapambe daaaamn....

Ww si bure lazima utakuwa nyumba ndogo ya lowasa maana hiyo siri ya ndani umeijuaje?
 

Ukiona manyoya ujue kesha liwa huyo!
 
Walimsema Lowasa kuwa anatoa Rushwa, Lowasa wa watu hajawahi kamatwa hata siku moja akitoa rushwa...
Mwigulu
Nape
Jairo
Etc wote wamekamatwa hadi sasa
 
dah! CCM inanuka rushwa hakuna msafi, ndio mana walimchafua Eddo wa watu.!
 
Ccm hao wapambe hawaaminiki wakipewa bahasha hawazifikishi inabidi watoaji waende wenyewe mstari wa mbele
 
Mwaka huu bundi kaingia CCM, kila sehemu ni vurumai,huku rushwa,kule kupigana ,hapa kurogana......laana ya watz inawatafuna!

Mkuu tafiti yangu si rasmi nimetembelea vijiji vingi TZ, ukiona mganga au mtuhumiwa wa uchawi wengi wao ni wanachama wa CCM kwann?

Kuna awamu ilikuwepo wenye vipara ilikuwa dili, ikaja ingine kuchuna ngozi, sasa wenye albinism wako hatarini. Naogopa awamu ijayo isije ikaingia na wenye vitambi nao dili hawaaminiki hawa, wana laana hawa, jamani si utani wachawi hawa! Ohooo miye na kitambi changu nshaanza kwenda gym na kanisani kwa ulinzi
 
Walimsema Lowasa kuwa anatoa Rushwa, Lowasa wa watu hajawahi kamatwa hata siku moja akitoa rushwa...
Mwigulu
Nape
Jairo
Etc wote wamekamatwa hadi sasa

Kutokukamatwa haimaanishi kuwa hatoi rushwa mkuu. Anaweza kuwa kawanunua wao kwanza kabla ya kuwanunua wapiga kura. Yote yapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…