TANZIA Anna Elisha Mghwira afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Mount Meru

Kuweni makini mara ya kwanza alipata Covid ikawa poa lakini safari hii imempeleka. Hivyo msije kujiaminisha sana kwasababu tu ulishapata na kupona huu ugojwa unabadilika na kuwa na nguvu zaidi.
 
Daàaaah inauma Sana. RIP Anna Elisha Mgwira. Juzi Tu umestaafu hata Pensheni hijaanza Kula Leo umekufa. Huu Mwaka unatuliza. Msalimia Tb Joshua huko.
 
Rip MAMA.JAMAN DAH
WENZIO WALIKIMBIA HUO MJI HAUFAI KABISA KWA SASA NA UMRI WETU ULE DAH
RIP MOM
 
Ayubu 1:21
Ayubu 1:21
[21]akasema, Mimi nilitoka tumboni mwa mama yangu nili uchi, nami nitarudi tena huko uchi vilevile; BWANA alitoa, na BWANA ametwaa; jina la BWANA na libarikiwe.
 
Noma sana mkuu... ndio maana nikisikia mtu anapinga chanjo namshangaa sana. Kama mtu anaona yeye yuko fit mass nondo, usiwawekee vikwazo wenzako.
Kwani ninani kawambia kafa kwa covid? Mwaka jana alipokuwa mkuu wa mkoa aliisha wahi kusema aliugua covid akapona,kwa kutumia majani ya miti gani huko Kilimanjaro,Sio kila kifo ni covid jamani, kwani tangu zamani Kabla ya covid,watu walikuwa hawafi?
 
Huyu naye katokea wapi?
 
Arusha. Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa kilimanjaro, Anna mghwira amefariki dunia leo. Alhamisi julai 22, 2021 katika Hospitali ya mount meru mkoani Arusha alikokuwa akipatiwa matibabu.
 
Amefariki mara ngapi leo?

Ilikuwa breaking news mchana

Na wewe unaleta tena? Au mkiwasha simu zenu hamtazami saa?
 
Pole kwa wafiwa pole kwa watanzania kwa kumpoteza mwanamama mjenga hoja pia aliwahi kuwania kiti Cha urais kupitia act wazalendo
 
Vipi ndio umepata data usiku huu nini? Kwa taarifa yako Anna kafariki jana (siyo leo kama ulivyosema) saa 5 asubuhi.
Arusha. Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa kilimanjaro, Anna mghwira amefariki dunia leo. Alhamisi julai 22, 2021 katika Hospitali ya mount meru mkoani Arusha alikokuwa akipatiwa matibabu.
 
RIP Anna!! Umekuwa mwanamke mwenye upendo na hekima nyingi! Mola akupe nafasi stahili peponi because you deserve it! Amen!! You are irreplacable!! Among the very few good politicians!!!
 
Tusicheze na Corona 🙏

F9B8CB6D-622D-4BDD-AA6B-C277432D8AF1.jpeg
 
Kwani ninani kawambia kafa kwa covid? Mwaka jana alipokuwa mkuu wa mkoa aliisha wahi kusema aliugua covid akapona,kwa kutumia majani ya miti gani huko Kilimanjaro,Sio kila kifo ni covid jamani, kwani tangu zamani Kabla ya covid,watu walikuwa hawafi?
Wapi nimesema kafa kwa Covid?
 
Ka mama kalikuwa bomba sana!! hajaacha mtoto wa kike huyu?? mleta mada!! halafu mbona hamuongelei mgane mmemzarau kiasi hiki??mleta mada baba yuko wapi??.....huyo na binti yake yuko wapi?
 
Back
Top Bottom