Anna Abdalah: Makanisa yamekuwa mengi

Anna Abdalah: Makanisa yamekuwa mengi

Status
Not open for further replies.
Huyu MAMA yuko katika siasa toka niko vidudu na leo nina wajukuu bado yumo!

Ni dalili za kuchoka bibi wa watu maskini. Hivi kwanini kusiwe na age limit kwenye ubunge pia? Akili ya bibi yetu naona imechoka kweli kwani kila kitu siku hizi kimekuwa kingi kuanzia baa, madanguro, pubs, guest houses na vingine vyote, hayo hayamsumbui isipokuwa makanisa tu? Anahitaji msamaha mkubwa sana bibi anna abdala.
 


Hakuna haja ya kutoka povu kijana. If Moh was the first Muslim, where did his father get the name Abdallah?

Maswali ya fikra Ngumu Haya. Kamuulize Allah aje hapa kusaidia kujibu. Ooops, Allah stopped talking after the death of his slave.


You have lost your mind bwana mdogo,
Name Allah si geni katika jamii ile,Allah is just Arabic name which means God,even christians Arabs use the word Allah in their daily prayers,go and open arabic bible and see by yourslf,,

Anyway hapa si kwenye malumbano haya,tukutane kule kwenye jukwaa la dini...
 
Nakubaliana na Mama Ana. Makanisa sasa utitiri. Wengi wa wachungaji ni matapeli, wezi na hata majambazi na wote hukwepa 'misalaba'. Wanafiki wakubwa!
 
Leo nilimsikiliza bungeni huyu mama akitoa wimbo mpya. Kwamba makanisa yamekuwa mengi na nadhani kwa kauli yake hiyo anahitaji yapunguzwe, sijui kiasi gani anajua mwenyewe. Jamani, kila siku tunaomba viongozi wetu hawa wa weigh out kauli zao kabla ya kuzitoa.


Kwanini unajenga hoja kutoka katika kudhania kwako? njoo na hoja ya alichokisema kuhusu wingi wa makanisa.
 
kwani misikiti ipo mingapi mama ABDALAAHAH ALLAH?

Sasa hapa ALLAH ameingiaje we paka mweusi? Halafu tukizungumza udini tunasema muasisi ni Kikwete wakati udini uko kwenye akili zenu all the time!
 
,[/QUOTE]Tatizo la huyu mama amekuwa kwenye siasa tangu uhuru nanafkiri akili zake zimekuwa mgando.Vijana wa sasa wanatoa upambuzi jinzi ya kukabili tatizo hila yeye anabwatuka tu.Kutokana na mfumo ulivyo ulimwenguni huwezi kusitisha ongezeko la makanisa au misikiti ila ni ktafuta njia muafaka wa kusitisha migongano.Mwaka 1971 huyu mama alikuwa mkuu wa mKOA kILIMANJARO WAKATI NIKO FOMU ONE ,nimemaliza vyuo vikuu ni mestaafu lakni yeye bado yuko Ikulu,kweli mabadiliko na mageuzi yanatakiwa.Kwa muundo wa sasa vijana ni taifa la leo sio kesho.Jimboni kwake kuna migogoro ya gesi na korosho aende huko akawashauri wananchi wasilime korosho.😛ray2:Viongozi wa siasa hasa Mtwara wasione vyama vya upinzani ni adui wao , tatizo ni umimi ambao wamejijengea na kuwaacha wanakusini maskini wa kutupwa.Si fitina kusini wameenda shule na wana nafasi nzuri Tz na kimataifa tatizo wamewakimbia watu wao mpaka wakawa machinga .Ni aibu tupu.We mama kakae na wajukuu huko Masasi ama sivyo utadhalilishwa na wajukuu wako
 
Heri Masheik wanaishi maisha ya kawaida na uchaji (si wote wengine walawiti) kuliko wachungaji eti walokole tukutanao disco!!
 
Unapozungumzia masuala ya dini na Imani lazima uwe na hekima ya ki-Mungu...otherwise unaweza kudhani unatatua tatizo kumbe ndio unaliongezea nguvu....
Wabunge wetu wajifunze kuyajadili haya mambo kwa vikao vyao vya ndani....!
 
Mama kachemka mbaya, itamgharimu. Mimi sijui viongozi wetu wamepata shida gani recently, ni kama vile wana maneno yote isipokuwa mazuri. Kila anayetiririka hamalizi salama, lazima aongee shudu. I dont doubt their sanity, but I doubt their whereabouts. Jana Dr. Nchimbi ameongea mashudu, juzi Lukuvi kaongea nyanya, juzi kati tena Mwanasheria mkuu wa serikali kaongea mbovu, Mizengo Pinda .... sijui kuna kaupepo gani kanapita, sijui. Mimi nafkiri tuanze rasmi kuwaombea hawa ndugu, I dont believe if they do that with their own sanity, something is wrong somewhere
 
Mwambie aende akamuulize baba yake Moh wapi alilipata jina la Abdallah. Akisha pata jibu amuulize Allah wapi alipo Moh. Then she can talk her bogus and diabolic words. Pathetic Anna.
My dear friend! POVU LINAKUTOKA KWA NINI?? What would say again if you think and relax. A great thinkers would not comment like you do! Religious Extremism is very dangerous.... You guys are making this forum to loose his popularity ..
 
You have lost your mind bwana mdogo,
Name Allah si geni katika jamii ile,Allah is just Arabic name which means God,even christians Arabs use the word Allah in their daily prayers,go and open arabic bible and see by yourslf,,

Anyway hapa si kwenye malumbano haya,tukutane kule kwenye jukwaa la dini...


Ustaadhi Ubwabwa hujui Kiingereza wewe andika Kiarabu ama Kiswahili utasomeka. Kiingereza maandishi yako yanaelekea kushoto
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom