Anna Abdalah: Makanisa yamekuwa mengi

Anna Abdalah: Makanisa yamekuwa mengi

Status
Not open for further replies.
Leo nilimsikiliza bungeni huyu mama akitoa wimbo mpya. Kwamba makanisa yamekuwa mengi na nadhani kwa kauli yake hiyo anahitaji yapunguzwe, sijui kiasi gani anajua mwenyewe. Jamani, kila siku tunaomba viongozi wetu hawa wa weigh out kauli zao kabla ya kuzitoa.

Hivi ngoja nimuulize tena mama Anna Abdalah, mbona sijawahi kusikia akilalamika kuwa vituo vya polisi vimekuwa vingi? Hivi anajua kazi za makanisa? Naona sasa anataka kuleta hoja kuwe na makanisa mangapi nchini??

Mama Anna kwa hili ulichemka kabisaaaaaa na tukisema ni udini unakusumbua utakataa? najua utakataa kwa kigezo cha majina yako lakini rohoni umejaza udini.
:angry:
Hivi mnajua mtu anavyo zeeka na ubongo wake huwa unasinyaa.?
 
Kashfa ipo wapi. Mimi nimeuliza swali wewe unaliita kashfa. Mimi ninacho taka kufahamu ni kivipi Baba yake Moh aitwe Abdallah wakati Moh was the first Muslim?

Simjui Moh ni nani lakini Uislam upo hata Adam kaukuta hapa duniani! Do not confuse Quran and Islam!! Muslims believes in INJILI,ZABURI,TAURATI and QURAN.
 
Leo nilimsikiliza bungeni huyu mama akitoa wimbo mpya. Kwamba makanisa yamekuwa mengi na nadhani kwa kauli yake hiyo anahitaji yapunguzwe, sijui kiasi gani anajua mwenyewe. Jamani, kila siku tunaomba viongozi wetu hawa wa weigh out kauli zao kabla ya kuzitoa.

Hivi ngoja nimuulize tena mama Anna Abdalah, mbona sijawahi kusikia akilalamika kuwa vituo vya polisi vimekuwa vingi? Hivi anajua kazi za makanisa? Naona sasa anataka kuleta hoja kuwe na makanisa mangapi nchini??

Mama Anna kwa hili ulichemka kabisaaaaaa na tukisema ni udini unakusumbua utakataa? najua utakataa kwa kigezo cha majina yako lakini rohoni umejaza udini.
:angry:

huyu mama ni mnazi tu wala sijawahi kumsikia ameongea neno la maana yaani huyu hata nikisikia anaongea nabadilisha channel amekua kiongozi lakini hakuna mahali hata pamoja wanamuezi ni mambo ya kizamani yasiyo na kichwa wala miguu
 
Udini gani sasa unaomsumbua Anna Abdallah??
Anna Abdallah si muislam ni mkristo,japo nakubaliana nae kuwa hoja yake ya kusema makanisa yapo mengi ni ya kipuuzi,tunataka idadi ya makanisa na misikiti iwe mingi ili watu wazid kumjua mungu na idadi ya vituo vya polisi ipungue kabisa na magereza wafungwa wawe wachache...
kumbe wadini ni waislaam ee??
 
Mwambie aende akamuulize baba yake Moh wapi alilipata jina la Abdallah. Akisha pata jibu amuulize Allah wapi alipo Moh. Then she can talk her bogus and diabolic words. Pathetic Anna.

wewe ni mbu...ru..la kweli kweli..umeandika ujinga hata hujijui
 
Kamanda usibabaishwe na kauli hizi za magamba kwani hawana jipya.
Leo nilimsikiliza bungeni huyu mama akitoa wimbo mpya. Kwamba makanisa yamekuwa mengi na nadhani kwa kauli yake hiyo anahitaji yapunguzwe, sijui kiasi gani anajua mwenyewe. Jamani, kila siku tunaomba viongozi wetu hawa wa weigh out kauli zao kabla ya kuzitoa.Hivi ngoja nimuulize tena mama Anna Abdalah, mbona sijawahi kusikia akilalamika kuwa vituo vya polisi vimekuwa vingi? Hivi anajua kazi za makanisa? Naona sasa anataka kuleta hoja kuwe na makanisa mangapi nchini?? Mama Anna kwa hili ulichemka kabisaaaaaa na tukisema ni udini unakusumbua utakataa? najua utakataa kwa kigezo cha majina yako lakini rohoni umejaza udini.:angry:
 
...Kwa wale tunaomjua huyu mama na historia yake wala hatushangai hoja zake mbovu mbovu bungeni...Huyu mama bado anatibu majeraha ya kisaikolojia aliyopata miaka mingi nyuma pale alipobakwa kule Shinyanga....na ndio sababu mnayemfatilia mtaona kuwa ana chuku kubwa dhidi ya wanaume huyu mama......Mama huyu ana permanent psychological scar inayomfanya awe kama yuko kwenye denial muda wote....hili limeonekana muda wote hata kwenye utendaji wake...hajawahi kuwa na furaha ya ndoa...na ndio sababu sishangai yeye kuongea upuuzi huu...wakati tayari yeye anaishi na mume wa uzeeni...mzee Pius Msekwa....Msekwa namjua na tunasali pamoja kanisa la RC upanga na huyu mama anakujaga kanisani....sasa anazunguza upuuzi gani huu?....
 
My dear friend! POVU LINAKUTOKA KWA NINI?? What would say again if you think and relax. A great thinkers would not comment like you do! Religious Extremism is very dangerous.... You guys are making this forum to loose his popularity ..

Well Said,I second you..!
 
Mleta mada amepotosha alichosema mama anne abdalla, alisema kwamba madhehebu yamekuwa mengi kiasi kwamba mengine yamekuwa ya kibiashara hadi yanahubiri mambo yasiyofaa..akasema usajili wa madhehebu ya dini uangaliwe upya, kumezuka makanisa mengi na makundi mengi ya kiislam hadi viongozi wa dini wanaaanza kuhubiri matusi na kuchochea udini, akatoa mfano wa jina lake ambalo ni mchanganyiko wa dini zote mbili kwamba ni ishara ya kutokuwa na udini hapa nchini
 
Kuelewa alichosema ana abdala pitia uzi wa maazimio ya bunge kuhusu tukio la bomu arusha
 
Minafikiri sio makanisa yamekua mengi.makanisa ni yale yale katoliki protestant na pentekoste. Haya pentekoste anatokea mtu anasema yeye ni nabii ananzisha kanisa mtume hivyo hivyo mchungaji hivyo hivyo ndio maana yanaonekana mengi kungekuwepo nautaratibu mzuri wa usajili wa makanisa wala isingekua kero wala yasingeonekana mengi.
 
Haya mambo bwana, sasa ni nani wa kusemea kuwa makanisa mengine ni ya kipuuzi, nani mwenye mamlaka hayo? Hata yakiwa 10,000 so long as yanaeneza dini zao na bila kuvunja sheria za nchi na pia bila ya kukashifu dini zingine, itakuwa poa tu!
 
Acha kamba wewe mfuasi wa Moh, Uislam umeanza miaka 500 baada ya Kristu. Habari za Urongo pereka kwenye mihadhara

Ndiyo maana nakwambia hujui uliongealo! Ni sawa na useme Ukristo umeanza lilipotoka agano jipya!! Wengi mnashindwa kutofautisha Quran na Uislam!Uislam upo kabla ya Quran,That's why Muslims believes in all Holy Books including Agano la kale lakini nakubaliana na wewe kuwa Quran imeanza kushushwa Kipindi cha Prophet Muhammad peace be upon him!! Sikulazimishi ukubaliane na nilisemalo maana labda ulishamezeshwa sumu na viongozi wako wa dini tangu utotoni.
 
Hili nilikuwa silijui. Naomba unifahamishe pole pole kwa evidence hasa kwenye rangi nyekundu.

Wasalaam
 
Ndiyo maana nakwambia hujui uliongealo! Ni sawa na useme Ukristo umeanza lilipotoka agano jipya!! Wengi mnashindwa kutofautisha Quran na Uislam!Uislam upo kabla ya Quran,That's why Muslims believes in all Holy Books including Agano la kale lakini nakubaliana na wewe kuwa Quran imeanza kushushwa Kipindi cha Prophet Muhammad peace be upon him!! Sikulazimishi ukubaliane na nilisemalo maana labda ulishamezeshwa sumu na viongozi wako wa dini tangu utotoni.
Hizi Pumba zako peleka kwenye vijiwe vya gahawa au madrasa unaweza eleweka lakini siyo hapa kwa watu wenye akili nyingi na wanaosoma sana maandiko mbalimbali. sasa sikiliza wewe maamuma....

Muhamad is the founder of Islam, Fact

Baba mzazi na mama mzazi wa Muhamad hawakuwa Waislamu, Fact

Kimsingi hakuna dini ya kikristo bali wafuasi wa kristo na ukristo kimsingi siyo dini, hili linahitaji mtu mwenye akili kulitambuwa na siyo mtu wa Mihadhara.

Wakati wa Yesu Kristo hakukuwa na watu waliokuwa wanaitwa Wakristo.
 
hivi huyu mama mzima kweli?..kuepo na makanisa au miskiti mingi inampunguzia nini yeye....bogus mind.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom