Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 14,703
- 7,907
Hajulikani kama ni POPO au NDEGE mtoto aitwe ANNA baba ABDALLAH....
Jina sio dini,wapo zakaria waislamu,na wapo wa kiristo,wapo Yusuph waislamu,na wapo wakiristo,wapo Adamu waislamu na wapo Adam wakristo nk