Anna Abdalah: Makanisa yamekuwa mengi

Anna Abdalah: Makanisa yamekuwa mengi

Status
Not open for further replies.
Mwambie aende akamuulize baba yake Moh wapi alilipata jina la Abdallah. Akisha pata jibu amuulize Allah wapi alipo Moh. Then she can talk her bogus and diabolic words. Pathetic Anna.

Huyu mama ni Mkristo so wala usitoke povu nakuanza kukashifu dini za watu!!
 
Kwani wewe mfia dini bado upo??
hawa ndio wale wale wakienda uarabuni wakamkuta padria ua askofu wa kiarabu anaitwa abdallah anakataa na kurusha ngumi kwa kujua huyo atakua ni muislam na yeye kapigwa changa la macho,huku ni kukosa exposure na uelewa tuuh,inasikitisha sana kwa kweli...

Yeah_sio lazima aende Uarabuni mkuu,..aende Mbeya kwa Wanyakyusa atakutana na akina Mohamed,Omari,Juma,Abdallah and the like.......haya mambo yanahitaji uelewa ili kujiridhisha kabla ya kurusha mawe mkuu.
 
Leo nilimsikiliza bungeni huyu mama akitoa wimbo mpya. Kwamba makanisa yamekuwa mengi na nadhani kwa kauli yake hiyo anahitaji yapunguzwe, sijui kiasi gani anajua mwenyewe. Jamani, kila siku tunaomba viongozi wetu hawa wa weigh out kauli zao kabla ya kuzitoa.

Hivi ngoja nimuulize tena mama Anna Abdalah, mbona sijawahi kusikia akilalamika kuwa vituo vya polisi vimekuwa vingi? Hivi anajua kazi za makanisa? Naona sasa anataka kuleta hoja kuwe na makanisa mangapi nchini??

Mama Anna kwa hili ulichemka kabisaaaaaa na tukisema ni udini unakusumbua utakataa? najua utakataa kwa kigezo cha majina yako lakini rohoni umejaza udini.
:angry:

Mkumbusheni miaka ile alipo kuwa Mkuu wa Wilaya kule mkoa wa Mwanza!
 
Hapo ndio ushahidi tosha kwamba Wakristo ni wavumilivu sana hata mimi nachukizwa sana na tabia hiyo ila sina la kufanya, pata picha kama nyimbo za kaswida zingekuwa zinapigwa bar.....

Jibu unalo nadhani unafahamu dhahiri shahiri ni nini kingefuata, na hapo ndipo unapopata tofauti kubwa iliyopo kati ya wafuasi wa SAW na Jesus.

Now you are exagurating,
The difference is that you hate our muhammady while on the contrary we love both of them Muhammady s.a.w and jesus peace be upon him...
hii mada ni ya kindugu sana,punguza mihemko,we are brothers...
 
Yeah_sio lazima aende Uarabuni mkuu,..aende Mbeya kwa Wanyakyusa atakutana na akina Mohamed,Omari,Juma,Abdallah and the like.......haya mambo yanahitaji uelewa ili kujiridhisha kabla ya kurusha mawe mkuu.

Sure kbs,Sure..
 
Huyu mama ana historia nyingi sana katika nchi hii! Alishawahi kua mkuu wa mkoa fulani hapa Tz, akaleta kiherehere sana kwa wanamkoa! Nasikia alipokwenda kulala jioni kuamka asubuhi akajikuta amelala juu ya mti! akamtumia marehemu mzee Nyerere (Telex enzi hizo)! kua anaomba ahamishwe haraka sana!
 
Mimi binafsi huwa Napata maudhi sana huku mitaani kwani usiku tunashindwa kulala yaani wote tunalazimishwa kuamka saa kumi na nusu alfajili kwa makelele ya "swala!!! swala!!! swala!!! amka, amka, kitanda chako ndilo kaburi lako, amka kumekucha!!!......" na pia zile za saaa mbili kasoro usiku. Watu tunapiga Safari lager zetu unasikia wallau wakibaru walahu wakibaru.

Kwani muda wa wa kuamka na kwenda kusali nania asiyeujua hadi kupigiana makelele na kutuharibia usingizi wetu.

Yaani natamani serikali wangelitunga sheria kuzuia matumizi ya spikas.

MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!

Kweli mkuu hili litasaidia sana!Mtaani kwetu kuna kanisa la wapentecoste, yaani ikifika Ijumaa jioni wanatoa spika nje mtaa mzima mnacheza Disco la yesu bila kupumzika mpaka juma pili saa sita usiku!!
 
hii kama ni hoja basi ni ya kitoto kabisa hakuna tofauti na hile ya mbatia kuhusu ringtone.
Pengine ange jkaribu kufikiri kwa upana zaidi kuwa wingi wa makanisa au misikiti unaweza kuwa chanzo cha udini au uchache wa makanisa au misikiti kama unaweza kuwa suluhu ya hili tatizo.
 
Hata katika biblia ya kiarabu,mungu pia anaitwa Allah,na hata waarabu wakristo mungu wanamwita Allah,utofauti wa uitaji Allah kwa waislamu na wakristo waatabu,ni kutamka,wao wanasema Allah,kama ilivyoandikwa,kwa waislamu,ina tamkwa Agwah.

Msaada wa Bure:
ilâha = God, deity, object of worship

allâh = allâh

The word Allah has no tafsir.

Allah is not God
 
Mwambie aende akamuulize baba yake Moh wapi alilipata jina la Abdallah. Akisha pata jibu amuulize Allah wapi alipo Moh. Then she can talk her bogus and diabolic words. Pathetic Anna.
My dear friend! POVU LINAKUTOKA KWA NINI?? What would say again if you think and relax. A great thinkers would not comment like you do! Religious Extremism is very dangerous.... You guys are making this forum to loose his popularity ..
 
Wee acha tu huyu mama kateuliwa toka ukuu wa chuo cha mapishi pale Buhare Musoma na kupewa ukuu wa wilaya Magu mie nikiwa form one na leo mie nimezeeka bado anacheza ndani ya siasa.
Sijui
kwa kuvunja ndoa ya mama Msekwa amekuwa na chuki na makanisa? namshangaa sana!
Kanisa limenifanya niwe one of the good guy on the planet. Kama si hivyo ningelikuwa hooligan. Kila atakayelipinga kanisa anaanzisha ugomvi nami. Samahanini sana!

Kanisa Katoliki liliitangaza ndoa ya mama Msekwa kuwa invalid na hivyo Msekwa ana baraka za Kanisa kumuoa huyu mama, pamoja na mapungufu yake ya kisiasa mnayoyajadili humu.
 
Kwani wewe mfia dini bado upo??
hawa ndio wale wale wakienda uarabuni wakamkuta padria ua askofu wa kiarabu anaitwa abdallah anakataa na kurusha ngumi kwa kujua huyo atakua ni muislam na yeye kapigwa changa la macho,huku ni kukosa exposure na uelewa tuuh,inasikitisha sana kwa kweli...

Hakuna haja ya kutoka povu kijana. If Moh was the first Muslim, where did his father get the name Abdallah?

Maswali ya fikra Ngumu Haya. Kamuulize Allah aje hapa kusaidia kujibu. Ooops, Allah stopped talking after the death of his slave.
 
Now you are exagurating,
The difference is that you hate our muhammady while on the contrary we love both of them Muhammady s.a.w and jesus peace be upon him...
hii mada ni ya kindugu sana,punguza mihemko,we are brothers...

Point of correction please. Always begin Jesus name with capital letter just as you do to Muhammad. The guy is very great!
 
My dear friend! POVU LINAKUTOKA KWA NINI?? What would say again if you think and relax. A great thinkers would not comment like you do! Religious Extremism is very dangerous.... You guys are making this forum to loose his popularity ..

You need Jesus. I can't help you.
 
Huyu mama ni Mkristo so wala usitoke povu nakuanza kukashifu dini za watu!!

Kashfa ipo wapi. Mimi nimeuliza swali wewe unaliita kashfa. Mimi ninacho taka kufahamu ni kivipi Baba yake Moh aitwe Abdallah wakati Moh was the first Muslim?

Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom