Anna Abdalah: Makanisa yamekuwa mengi

Anna Abdalah: Makanisa yamekuwa mengi

Status
Not open for further replies.
Mwambie aende akamuulize baba yake Moh wapi alilipata jina la Abdallah. Akisha pata jibu amuulize Allah wapi alipo Moh. Then she can talk her bogus and diabolic words. Pathetic Anna.
Aliyesema makanisa ni mengi ni mkiristo mwenzenu,mbona mwashambulia uislam?
 
Huyu MAMA yuko katika siasa toka niko vidudu na leo nina wajukuu bado yumo!

Wee acha tu huyu mama kateuliwa toka ukuu wa chuo cha mapishi pale Buhare Musoma na kupewa ukuu wa wilaya Magu mie nikiwa form one na leo mie nimezeeka bado anacheza ndani ya siasa.
Sijui kwa kuvunja ndoa ya mama Msekwa amekuwa na chuki na makanisa? namshangaa sana!
Kanisa limenifanya niwe one of the good guy on the planet. Kama si hivyo ningelikuwa hooligan. Kila atakayelipinga kanisa anaanzisha ugomvi nami. Samahanini sana!
 
Nimeshawahi hadisiwa na Babu yangu sasa hivi ni marehemu! Enzi hizo huyu mama alishawahi kugowambanisha marehemu Mzee Rashid Mfaume Kawawa na Pius Msekwa kidogo zipigwe kavukavu kisa alikua anate***! na wote wawili! Aliyekuja kuwasulihisha ni marehemu Baba wa Taifa mzee Julius Nyerere, akawaita wote watatu, Anna Abdala, Kawawa na Msekwa, Anna Abdala akaulizwa kati ya hawa mabwana wawili ni yupi unamtaka? Anna Abdala akasema namtaka Msekwa, Kawawa akasema namwachia Mungu!

Baada ya hiyo story naomba kujua umri wa kustaafu ni miaka mingapi?
 
viongozi kwa kutumia akili yao ndogo na mawazo finyu huweza kusababisha machafuko kwa wananchi.


"A CLEVER PERSON SOLVES A PROBLEM A WISE PERSON AVOID IT" ALBERT EINSTEN.
 
umefanya wapi utafiti kuwa makanisa ni mengi na misikiti ni michache.?

Mengi
 
Udini gani sasa unaomsumbua Anna Abdallah??
.
Hujui Shetwani naye ana DINI?
1. Ya Shetwani inaruhusu kuiba. Hili limsaidia kurudi madarakani.
2. ................. inaruhusu uongo hili atalitumia kuwadanganya wapigakura.
3................... inaruhusu RUSHWA imepokea na kutoa mara nyingi hivy kukemewa makanisanina misikitini kila sehemu inamuuma.
4..................inawatesa watu ili wamwabudu yeye. Makanisa na misikiti vikitoa misaada na elimu ya kujikimu kwa watu mungu wake (Shetwani atakosa wafuasi).
5............

Still loading
 
si aende wizara ya mambo ya ndani akawaambie wasitishe kugawa usajili,

Oooooppps wizara ya mambo ya ndani ilishaingizwa kwenye game hili siku nyingi kwani hujui? kwani ni siri?? usajiri wa dini na ngo za kidini sasa hivi ni issue kubwa sana kwa dini moja lakini kwa nyingine unakimbia kweli kweli.... watu kunyamaza sio kwamba hawaoni kinachoendelea huko jikoni. Wizara hii imekuza sana mgogoro wa kidini!
 
nimeshawahi hadisiwa na babu yangu sasa hivi ni marehemu! Enzi hizo huyu mama alishawahi kugowambanisha marehemu mzee rashid mfaume kawawa na pius msekwa kidogo zipigwe kavukavu kisa alikua anate***! Na wote wawili! Aliyekuja kuwasulihisha ni marehemu baba wa taifa mzee julius nyerere, akawaita wote watatu, anna abdala, kawawa na msekwa, anna abdala akaulizwa kati ya hawa mabwana wawili ni yupi unamtaka? Anna abdala akasema namtaka msekwa, kawawa akasema namwachia mungu!

Baada ya hiyo story naomba kujua umri wa kustaafu ni miaka mingapi?

mkuu umenichekesha sana siyo siri
 
Kama ilivyo kwa Lipumba neno mgombea Urais ni kama sehemu ya ubini wake, the same to this Idiot Anna Abdalah ambaye neno Mbunge ni kama sehemu ya ubini wake, madaraka yamelevya na Menopause inamsumbuwa pia.
 
Kwani wa dini nyingine hawavai nguo zao,ambazo ni vi skirt vifupi na vi blauzi na kichwa wazi.si ndio nguo zao.hata kwenye nyumba za ibada zao,wanaingia nazo?
 
Oooooppps wizara ya mambo ya ndani ilishaingizwa kwenye game hili siku nyingi kwani hujui? kwani ni siri?? usajiri wa dini na ngo za kidini sasa hivi ni issue kubwa sana kwa dini moja lakini kwa nyingine unakimbia kweli kweli.... watu kunyamaza sio kwamba hawaoni kinachoendelea huko jikoni. Wizara hii imekuza sana mgogoro wa kidini!
da, mkuu mimi sina ufahamu juu ya hili jambo, ila ni vema kama ukanipa nami nikajua, na ni dini gani inayopewa kipaumbele hapo wizarani kwenye usajili kuliko nyingine?
 
Is Abdallah a Christian Name? I don't think so. Since Moh was the first Muslim in Arabia, where did his father get the name Abdallah?
Hata katika biblia ya kiarabu,mungu pia anaitwa Allah,na hata waarabu wakristo mungu wanamwita Allah,utofauti wa uitaji Allah kwa waislamu na wakristo waatabu,ni kutamka,wao wanasema Allah,kama ilivyoandikwa,kwa waislamu,ina tamkwa Agwah.
 
Kwa kiasi fulani nakubaliana na huyu mama.
Nyumba za kuabudia zimekuwa zikijengwa ovyo bila mpangilo maalum, alafu unakuta wanapiga miziki sijui nini siku nzima. Yaani zimekuwa kero kwa kweli.
Mi nafikiri sheria ya ku regulate nyumba za ibada zitungwe. Yes tunataka Uhuru wa kuabudu, lakini basi tusibughuziane.

yaani mara nyingine unakuta kanisa ndani lina watu 2, lakini wamefungulia maspika mpaka mtaa wa tatu huko, ina bore sana

Mimi binafsi huwa Napata maudhi sana huku mitaani kwani usiku tunashindwa kulala yaani wote tunalazimishwa kuamka saa kumi na nusu alfajili kwa makelele ya "swala!!! swala!!! swala!!! amka, amka, kitanda chako ndilo kaburi lako, amka kumekucha!!!......" na pia zile za saaa mbili kasoro usiku. Watu tunapiga Safari lager zetu unasikia wallau wakibaru walahu wakibaru.

Kwani muda wa wa kuamka na kwenda kusali nania asiyeujua hadi kupigiana makelele na kutuharibia usingizi wetu.

Yaani natamani serikali wangelitunga sheria kuzuia matumizi ya spikas.


MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
Kiongozi kama huyu ana mawazo ya kizamani sana. Bado anaamini Dar ina maji mengi kwa kuchungilia Bomba la maji bila kuangalia wangapi wako nyuma yake wakitaka maji hayo hayo. Nguo ya ndani huvaliwa na mtu mmoja mhusika zikiwa nyingi zitamfanya mvaaji azone kero lakini kila kukicha waumini wanazaliwa kanisa la 1961 haliwezi kutosha mamilioni ya waumini tuliopo.
 
Ila bar, makasino na wamesahau kuwa wao ndio wanaoprodece form IV waliofeli kibao wapo mitaani ajira hamna kila kama mtambo vile unafyatua tu waliofel!!
Hivyo vyote havionekan bali makanisa!??
 
Is Abdallah a Christian Name? I don't think so. Since Moh was the first Muslim in Arabia, where did his father get the name Abdallah?

Kwani wewe mfia dini bado upo??
hawa ndio wale wale wakienda uarabuni wakamkuta padria ua askofu wa kiarabu anaitwa abdallah anakataa na kurusha ngumi kwa kujua huyo atakua ni muislam na yeye kapigwa changa la macho,huku ni kukosa exposure na uelewa tuuh,inasikitisha sana kwa kweli...
 
Leo nilimsikiliza bungeni huyu mama akitoa wimbo mpya. Kwamba makanisa yamekuwa mengi na nadhani kwa kauli yake hiyo anahitaji yapunguzwe, sijui kiasi gani anajua mwenyewe. Jamani, kila siku tunaomba viongozi wetu hawa wa weigh out kauli zao kabla ya kuzitoa.Hivi ngoja nimuulize tena mama Anna Abdalah, mbona sijawahi kusikia akilalamika kuwa vituo vya polisi vimekuwa vingi? Hivi anajua kazi za makanisa? Naona sasa anataka kuleta hoja kuwe na makanisa mangapi nchini?? Mama Anna kwa hili ulichemka kabisaaaaaa na tukisema ni udini unakusumbua utakataa? najua utakataa kwa kigezo cha majina yako lakini rohoni umejaza udini.:angry:
Hivi Mama Ana Abdallah ni dini gani? huyu si ni mke wa Mzee Pius Msekwa? ambae ni Mkatoliki? kuhusu kauli ya Mama namuunga mkono kwani TZ Makanisa yanaota kama uyoga! kila mtu anataka kujenga Kanisa ili afaidike na sadaka za Waumini mfano mwangalie Askofu Kakobe na wachungaji wengine wanavyokusanya pesa za waumini kila Jumapili na Jumamosi! hizi pesa zinaenda wapi? zinakaguliwa na wahasibu? Wa TZ hatuna budi kubadilika na Serikali ni lazima ichukue uamuzi mgumu kuhusu ujengaji holela wa Makanisa nchini!Watu hujenga kutokana na mahitaji! sasa leo si dhani kama waumini wamekosa Makanisa ya kuabudia mpaka tunatumia nguvu na fedha za Waumini bure kujengea Makanisa! utakuta kanisa liko tupu! halafu unajenga lingine aingie nani humo? MaMama Ana Abdallah nakuunga mkono na kuwaomba Wabunge wote wasio wadini wamuunge mkono!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom