Anguko sasa ni dhahiri

Government and oppositions ...ni lazima wote wawe na busara katika issue kubwa za kitaifa

Sio habari za kunyimana mikono,ukuta au habari za kutokujalibiwa na kutishana sie hatujazoea...
The stronger ones are the 0ne to lead n take positive actions
 
 
Nimekuelewa hapa mtu ukiona ni sawa katika speech hizi ni lazima mfumo wako wa kufikiri utakua umeolewa ama umefungwa,hivyo hauna haki ya kufikiri na kuchambua jema na baya,,,nikipata mda nitatengeneza uzi kuonesha tofauti ya speech na mazingira yake,mfano kuna speech anatoa amiri jeshi mkuu nchi ikiwa hali tete kiusalama,ina misingi yake ili kumotivate wapambanaji,hakika ina maneno ya kuchochea uzalendo wa kuifia nchi, Je matukio yanayoendelea yanaendana na hotuba zinazotolewa na viongozi?
 
Raha ya bavicha ni kuona serikali ikishindwa kila kitu.

Sasa Mungu anazidi kuwaumbua mshindwe na mlegee kabisa
 
Maskani wanasemaga tumeingia choo cha kike au tumeingia chaka. Kazi tunayo kwakweli. Sasa hivi sio kumuombea yeye kwa Mungu bali tujiombee wenyewe kwa Mungu atuvushe na hili janga salama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…