Anguko la Wema Sepetu

Maisha yana kupanda weee then yaka shukaa weeeeeeee yakanda kidooooogo then ukafa basi unakuwa RIP kama Warumi
 
Simjui huyo Wema unayemsema lakini kama ni huyo hapo kwenye picha mimi naona ako poa tu. After all mwenyewe anaoneka yupo happy kabisa bidada wa watu.

Anayeteseka - definitely - ni wewe hapo ambaye hadi umekuja huku JF kumfungulia uzi!
Mchangueni ndugu yenu anunue gari siyo analialia mitandaoni kisa kaambiwa ukweli.
 
Mimi hakuna msemo naouheshimu kama ule wa "kuishi kwingi kuona mengi". Kwakweli mpaka tuzeeke tutakua tumeona mengi sana.
 
Wazungu sijui wapoje!nimekutana na mmoja mitaa ya Kino kambeba mtoto wa mbuzi halafu anaongea nae kama mtu. Mi nikaona duh ona sasa?
 
View attachment 1821696
Ila anatia aibu Jaman, kutoka kuwa First class, A-List super star hadi kuangukia pua, Wema ndo kawa wa kutangaza matangazo ya waganga jamani? Like seriously? Ina maana hata Hamisa Mobetto kampiku akili? Mwenzie yuko anafanya ma deal makubwa na kina Rick Ross, makampuni ya maana hapa Tz , shoga yenu yuko busy na matangazo ya waganga na nguvu za kiume, what a shame , hayo madawa ya kulevya anayotumia yanampeleka pabaya, nasikia anatafuta pesa ya kodi masikini .

Yaani Wema sasa hivi yuko level moja na kina Lokole na Carry mastory wanashindana matangazo ya elfu 20.

Yani linajishushia hadhi sana, with more than 8million followers, watu kibao wa maana wanamfollow halafu anachafua page yake na matangazo ya kipumbavu shame on her, ndo mambo anayomshauri Martin Kadinda Hayo mxeeiw, yani mpaka diva atakuja kumpiku wemaView attachment 1818589
Diamond amsaidie bas japo kigari cha kutembelea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom