Anguko la Rais Magufuli litakuwa na mshindo mkubwa sana

Uchaguzi unakaribia watu hawataki kuvunja katiba wanamsubiri alivunje bunge waanze kumrarua kutoka pande zote.

Sio ndani ya vyombo vya usalama,

Sio ndani ya ccm wala ndani ya upinzani wote watapeleka mashambulizi juu ya hoja za Usalama wa taifa na utekaji wa watu, kuanguka kwa Uchumi, Ajira kwa vijana je amejipanga kuzuia ili gharika? wakina bashite wana msaada wowote?

Eti anakubalika kama anakubalika kwa nini anabana wapinzani ndani ya chama na nje?

Eti anapendwa sasa nawaambia subiri muone anavyopendwa ndani ya systemu ya nchi.

Nashauri aanze kufungasha vilago kwenda chato.
endeleeni kujidanga tukutane oktoba kwenye kapo la kupigia kura ndo utajua kama anakubalika au hakubaliki
 
Wapinzani wapi?? NCCR, UDP n.k zitashiriki na uchaguzi utamalizika na mashindi atatangazwa na vyama vitakavyojitoa vitabaki vila wabunge so no ruzuku. Kudai tume huru ilitakiwa kuanza 2016 sasa una miezi mitano tu mtaweza???? Acheni ramli chonganishi

Unasema miezi mitano, hata wiki mbili tu zinatosha kudai hiyo tume huru ya uchaguzi.
 
Sio rahisi sana kufanya mabadiliko kwenye hii nchi kwa sababu.
1.vyama vya siasa hawawezi wenyewe bila wananchi.
2.wananchi wenyewe wanaona hata kuamka tu ni hisani ya ssm.
3.Wasomi ambao wangeweza kuongoza mabadiliko wanajipendekeza ssm kulinda matumbo yao.
4.Vijana wengi na wananchi kiumjula wako tayari kufatilia yanga,simba na kina diamond uongozi wa nchi hawana muda nao.
5.Elimu ya uraia na mambo mengine ni mdogo kiasi kwamba kuburuzwa na ssm inaonekana ni sawa tu hata uelewa wa mambo ni mdogo ndio maana unaona mtu anauliza jiwe anawapa vyama vya upinzani fedha kama vile ni hisani yake na di hitaji la kikatiba.
6.Kiwango cha ujinga ni kikubwa mno kwenye hii nchi na hili limefanywa makusudi a dumb person can't question anything.
Mengine jazieni wenyewe.
 
Mie nawaambia wapinzani wasikubali kuwaza yale CCM wanataka wawaze, ni kukomaa tuu na Tume huru ya uchaguzi na sio kuwaza mengine.
Kilichopo ni msimamo wa wazi KUANZIA SASA kuwa hakuna Tume huru hakuna uchaguzi.
Full stop!

Sent using Jamii Forums mobile app
Yes! kama tulivofanya kwenye serikali za mitaa.
Shida itakuwa kw Mwenyekiti. Atakubali kweli kuachia ruzuku kwa miaka yote mitano?
 
Yule ni njaa lkn kwa jadi huwa ni jasiri! Kuna outliers katika kila jambo! Waitara is an example in this aspect! Kama Jiwe ambavyo amekuwa outlier kwa kuua watu ambapo wenzake hawakuwahi kufanya hivyo!
Kwa hiyo wale waliouwawa kwa kurushiwa bomu la mkono pale Arusha hawakuwa watu?
Au nyie ndo mlioingia kwenye chama na Lowasa 2015?
Mnatukera saana tuliotoka mbali na hiki chama.
 
Hii inanikumbusha nikiwa mdogo,wakati wa kupigana na vijana wa rika letu,ulikuwa ukipigwa una mwambia mgomvi wako asubiri kesho mkikutana,hapo tiyali pua zinatoa damu,na mdomoni una meno pungufu,unabaki kujifariji,eti anguko la jpm,hivi ni vichekesho,magufuli ni rais wa mioyo ya watu,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo wale waliouwawa kwa kurushiwa bomu la mkono pale Arusha hawakuwa watu?
Au nyie ndo mlioingia kwenye chama na Lowasa 2015?
Mnatukera saana tuliotoka mbali na hiki chama.
Ule ulikuwa ni ugaidi, not state sponsored!
 
Hii inanikumbusha nikiwa mdogo,wakati wa kupigana na vijana wa rika letu,ulikuwa ukipigwa una mwambia mgomvi wako asubiri kesho mkikutana,hapo tiyali pua zinatoa damu,na mdomoni una meno pungufu,unabaki kujifariji,eti anguko la jpm,hivi ni vichekesho,magufuli ni rais wa mioyo ya watu,

Sent using Jamii Forums mobile app
Rais wa moyo wako na familia yako....!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchaguzi unakaribia watu hawataki kuvunja katiba wanamsubiri alivunje bunge waanze kumrarua kutoka pande zote.

Sio ndani ya vyombo vya usalama,

Sio ndani ya ccm wala ndani ya upinzani wote watapeleka mashambulizi juu ya hoja za Usalama wa taifa na utekaji wa watu, kuanguka kwa Uchumi, Ajira kwa vijana je amejipanga kuzuia ili gharika? wakina bashite wana msaada wowote?

Eti anakubalika kama anakubalika kwa nini anabana wapinzani ndani ya chama na nje?

Eti anapendwa sasa nawaambia subiri muone anavyopendwa ndani ya systemu ya nchi.

Nashauri aanze kufungasha vilago kwenda chato.
wapinzani acheni kutumiwa na mabeberu
 
Back
Top Bottom