Anguko la Mabenki nchini? CRDB yapata hasara ya Sh. Bilioni 2

Anguko la Mabenki nchini? CRDB yapata hasara ya Sh. Bilioni 2

Tanzania bana.

Kila mtu ni mjuzi wa uchumi mpaka wengine wanapinga hata kinachoongewa na wataalam wa uchumi ambao wanafahamika kitaaluma.

Wale walisema half knowledge is worse than ignorance hawakukosea.
Msemaji ukweli,

Naamini wewe ni mtu smart sana kulingana na baadhi ya post zako uzitoazo humu! Katika hili umechemka. Wachumi wanaofahamika kitaaluma wakisema kitu haina maana hio ndio best option. Usiamini kila hoja kinzani ni mbovu. Be objective!! Economists agree to disagree!

Kuna tatizo kubwa katika 'interpretations' za economic indicators na impacts zake kwenye macroeconomic level katika nchi yetu. Mfano [HASHTAG]#Richard[/HASHTAG] amesema saaana kuhusu namna crdb ilivokuwa ikitumiwa na mafisadi....hio ni very week assesment na labda factor hio twaweza kuichukulia kama z-factor!!! Not sooo strong kuconvice kuwa hasara kwa crdb inatokana na hio!!

Kwanini kabla hatujafikiri hivo tusiwe objective na kutoa vipaumbele kwa factors kubwa zinazostimukate uchumi kama INVESTMENT, MONEY IN CIRCULATION, MONEY SUPPLY AND MONEY DEMAND, na zingine.....

Tukumbuke ukuaji wa uchumi ulikuwa chini sana mwezi ulopita (around 5) kwa mujibu wa BOT. JE HILI HALIWEZI LIKALETA NEGATIVE IMPACT KWA COMMERCIAL BANKS? kama economic growth imepungua means investment/saving imepungua means biashara with comercial banks pungua pia as a result banks zitapata hadara!!! Huu ni uchumi wa form 5. Hauhitaji utaalamu.

Leo crdb wamerelease statement yao wakiwa na loss tunasingizia walikuwa wanafanya biashara na mafisadi!!!! Vipi kesho pia banks zingine wakirelease nao wakawa na loss je? Tutasemaje? Just thinking loud..

Wengi wenu humu wanajadili hooovyo tu!!

Na hawa wachumi wabobezi ndo walidanganya ongezeko la VAT watalipa banks!!! Atar tupu

Lets think like real Economists!
 
Problem is,
Income ya benki imeongezeka, money in circulation, money supply zote juu.
GDP imeongezeka (8%).
Kila factor unayofikiria wewe, ipo poa. Unless ulazimishe.

But expenditure imeongezeka. Hilo ndilo tatizo. Unless utuambie otherwise na ulete vielelezo.
 
Kama mabenki yalikuwa yanaendeshwa kwa ujanjaujanja kutegemea pesa za ufisadi bora yafe tu hakuna namna. Ninaamini baada ya miaka miwili nchi itakuwa katika mstari wake.
 
Taasisi bhana wakiwa wana submit report zitakazotumika na m amlaka za kodi wanaonyesha wanapata hasara au faida kiduchu, lakini hao hao wakiwa wanataka mikopo wanaonyesha wanapata faida kubwa, ukitaka mwanao awe jizi la kutupwa mruhusu abobee kwenye hii kada
We nadhani hua hautembelei benki yoyote nchini; financial statement za mabenki yote nchini hua zipo tu kwenye notice boards zao, wala hua sio suala la siri; usilinganishe yaliotekea sehemu zingine (kama migodi ya barrack/acacia) na mabenki.
 
Hii mada ni nzuri ila tuwaachie watu wenye uelewa wa mambo ya uchumi na fedha. Wanapoingia watu wenye vielement ya siasa wanatuaribia. LAKI si pesa plz achaa siasa kwenye mambo yanayohusu mustakabali wa uchumi wetu.
 
Akili za ukada hizi! Endelea. Nikufahamishe jambo ambalo pengine hukuwa unalifahamu. Twiga Bank ilikuwa kwa kiwango kikubwa kama benk ya serikali tukizungumzia umiliki. Hili lilikuwa halisemwi wazi. Kitendo cha benki hiyo kufilisika ni suala nyeti kuliko unavyodhania. Iulize sasa serikali yako nini kimetokea.
Hata mimi nilikuwa nafahamu hivyo,sasa nashangaa kusikia benki ya serikali inarudi serikalini,kivipi?!ilikodishwa au?
 
Kwa miaka mingi CRDB ilikuwa ikifanya biashara na serikali na hivyo kuwa na fedha za kiinimacho kwamba inafanya biashara safi na faidi inapatikana kila mwaka.

Na hata kupanua shughuli zake hadi Rwanda ni katika kuufahamisha umma kwamba ni benki inayoweza kuaminiwa.

Lakini nyuma ya pazia kulikuwa na ubadhirifu mkuwa na ufisadi kati ya wafanyakazi wa CRDB pamoja na wale watumishi waso waaminifu wa serikali.

Walichokuwa wakifanya ni kucheza na zile amana za serikali na pia baadhi ya wafanyakazi wa benki hiyo wakitumika kidhinisha mikopo hewa ya hadi milioni 300 ilhali thamani halisi ya mkopo au nyumba ni milioni 100-150

Hapo ndipo utaalam wa Dr Charles Kimei ambae ni mchumi wa kuaminiwa kupewa vyombo vya Fedha , unapoleta mashaka makubwa.
Sijawahi kusikia CRDB ikiwa na operations Rwanda na kimsingi hazipo. Ungefanya utafiti kidogo.
 
Problem is,
Income ya benki imeongezeka, money in circulation, money supply zote juu.
GDP imeongezeka (8%).
Kila factor unayofikiria wewe, ipo poa. Unless ulazimishe.

But expenditure imeongezeka. Hilo ndilo tatizo. Unless utuambie otherwise na ulete vielelezo.
Good!

Na hapo ndipo tatizo lilipo kwa wengi walio upande wako!!! So koz hivo Vitu vyote viko sawa ina maana ni kweli crdb ilikuwa inafanya kaz na pesa za kifisadi? Huwez conclude kama layman hivo kwenye uchumi.

Umeongelea rise nyingi kwenye indicators kama income ya bank... Kwanini hujaongelea economic growth kuwa at around 5 last month na around 6 (not sure) this month? Coz economic growth ndo inareflect hio Bank business interms of investments na New/existing business inpact on banks?
 
Basi nimekufananisha maana ID hii tumewahi jadili nayo mambo haya kwa kina sana!!

Anyway uchumi wetu unayumba kutokana na govt kupunguza sana matumizi coz chumi changa kama zetu zinahitaji sana kuwa boosted na govt expenditure kama serikali haitumii basi mzunguko unadorora na kuziathiri pia benki...

Nimemsikia Magufuli akijisifu kuwapa kazi nyingi TBA za serikali hii pia inaua uchumi coz TBA ni serikali so serikali inazungusha pesa mfukoni kwake badala ya kuwapa kazi makampuni watakaolipa kodi na kuajiri vijana wengi zaidi!

Hii ya CRDB kutoka kupata faida ya 30 billion mpaka hasara ya 2 billion ni msiba!! Hii si figisu ni kitu dhahiri kwani benki zote transactions zake pamoja na mitiririko yote ya fedha zao zipo monitored na BoT ni vigumu kudanganya!!

Jambo lingine lilichangia kuanguka huku ni hofu za wateja dhidi ya serikali!! Serikali ya JPM imeonesha dhahiri kutotabirika!! Hakuna mwekezaji au tajiri yeyote anayeweza wekeza pesa zake kusikotabirika!! So wengi waliondoa fedha zao benki ili kuondokana na hofu dhidi ya serikali isiyotabirika so benki zinakosa amana na mitaji....

Kingine ni madeni yasiyolipika kama vile mikopo ya watumishi hewa.... madeni ya biashara zilizoanguka kama hoteli n.k n.k

Katika ishu JPM anahitaji kuwa serious ni uchumi!! Hayo mengine anayohangaika nayo yatampotezea muda tu huku nchi ikielekea ilipo Zimbabwe... ni suala la muda tu utatuambia!!

CC Kobello Pohamba Richard

Serikali kutotabirika! There you nailed it Lusungo!
Kutotabirika kunaondoa investor confidence. Hakuna mwekezaji yeyote ataweka hela yake mahali pasipoeleweka jinsi gani; au wa muda gani fedha yake na faida pia itarudi.

Najua Juma Ponda Mali ni sifuri kuhusu uchumi. Lakini hata wapambe wake?
 
Hapa kazi tu!

Jamaa anahifadhi fedha za taasisi zake za serikali Benki Kuu ambayo kimsingi haifanyi biashara ya fedha Bali kusimamia monetary policy. Matokeo yake money circulation nchini imedorora, na commercial banks zinalazima kukopa Benki Kuu.

Hii imesababisha interest rates against loans kupanda sana. Wakopaji wanashindwa kukopa, hivyo investments nazo kudorora. Kwa mwenendo huu kwa nini nchi isiingie kwenye recession!

Tuendelee kuimba " Hapa kazi tu" kiushabiki lakini kwa bahati mbaya uchumi haujui "ushabiki"
100%
 
upotoshaji tu......makampuni makubwa huwa yanahifadhi pesa nyingi benki,na bado huwa yanakopa benki!!

huu uchumi mliosomea chini ya miti ya korosho unaligharimu taifa
Kweli kabisa. Sio kwamba umenikopesha fedha niendeleze genge langu ndio iwe ruhusa uje kuchukua bidhaa bure.
 
Nani aliyekwambia CRDB kupata hasara ni anguko la uchumi? na inapo pata faida huo uchumi unakuwa unapaa kiasi gani? wakati yeye anapata faida siku zote kuna wengine nao walikuwa wanapata hasara.... wajitazame upya
 
Bank kubwa Tanzania CRDB bank imepata hasara ya Sh Billion 2 katika hesabu zake za robo mwaka (Quarterly Financial Statements) Suala limenistua sana baada ya kuona Twiga Bancorc ilikua insolvent/ ilifilisika hivi karibuni.

Wajuzi wa mambo naomba mtujuze hii private bank (CRDB) wame conceal profit to avoid Tax liability au kweli wame incur loss naomba TRA walifatilie hili huenda CRDB wame conceal profit for the quarter

Taarifa za fedha zinaonesha kuwa mikopo mingi haijalipwa (underperforming Loans) lakini pia CRDB walikua wana accumulated tax/deni la kodi la muda mrefu.

Mwaka 2015 in 3rd quarter kama hii walipata faida ya Sh. 37.9 Billion after statutory deduction/Tax

Banking and Financial Institution Act ya (2006) Section 32(3) inazitaka Taasisi hizo kuandaa taarifa za fedha.

Waliosoma Uhasibu kidogo mnaweza mkapitia Financial Statements (Balance sheet na Statement of Income Statement)

View attachment 426878

Wala hatuhitaji wajuzi wa mambo, tunataka TISS ije na ubunifu; waanzishe kitengo kinachoshughilikia haya mambo, maana wao wanazo resources za kutosha kugundua kama kuna evasion!!!

Badala yake wamezagaa kila kona kutumika tuu... Twende tu tutafika cha muhimu chapa kazi...yaani [HASHTAG]#hapakazitu[/HASHTAG]
 
Nani aliyekwambia CRDB kupata hasara ni anguko la uchumi? na inapo pata faida huo uchumi unakuwa unapaa kiasi gani? wakati yeye anapata faida siku zote kuna wengine nao walikuwa wanapata hasara.... wajitazame upya
we nawe...CRDB ni indicator tu kuwa tunakoelekea siko kbs kiuchumi. Yaani ww unadhan tunajadil CRDB kama CRDB?.
 
Kutakuwa na Bankruptcy kwa taasisi nyingi za kifedha, nilienda kutoa pesa kwenye ATM ya bank flan naambiwa kiasi cha pesa za kutoa isizidi laki 4. Ajira ni ngumu hapa mjin taasisi tulizokuwa tunategemea kutoa ajira zinafilisika , wataaza kupunguza wafanyakazi.
Wewe sasa ndo.unapotea kabisa uwezo wa atm kwa trnsaction moja hauzini noti 40 kupita kwenye dispenser ya noti sasa we unataka 500000 hizo noti zitapita mdomo upi. Kaa kimya au uliza inbox kwanza kable hujaja hiku
 
Kwa elim yangu ya uchumi ndogo niliyonayo COMMERCIAL BANKS nying zimeacha majukum makuu ya taasisi hizi na zimejikuta zinategemewa kubebwa na BOT kwa miaka mingi sasa anachokifanya mjomba MAGU ni kuhakikisha kila taasisi inaplay majukum yake vilivyo...sijui labda unisaidie ni investment gan kubwa zinafanywa na hzi banks zetu zaid ya kutegemea SERVICE COMMISSIONS toka kwa wateja wake na interest za mikopo? jaribu hata kugoogle to functions za COMMERCIAL NA CENTRAL BANK utagundua nin nasema
Hakuna bank hapa nchini ineacha kufanya majukumu yake ya msingi kupokea deposit na kuzitunza na pili kutoa mikopo sasa hizi huduma na nyingine zenye le go la kuinarisha majukumu haya mawili makubwa ndo yanaleta hizo fees inategemea aina ya huduma.
Wakati huo huo be ki inalipa riba kwa deposit na kupokea riba kwa mikopo. Sasa ni majukumu gani ambayo commercial.benk za TZ hayawafanyi?
 
Team mbona kwenye website ya Dar es salaam stock of exchange (DSE.CO.TZ) wanaonyesha CRDB wametengeneza faida ya 27b kwa Q ya pili June 2016.Tumuamini nani..Hii nchi bwana.

Please see the attachment
Hii ni quarter ya ngapi?
 
Mkuu kwa hivo ulikuwa unafurahia serikali inaweka fedha zake bank binafsi kisha wanapata faida ndogo kisha wanaenda kukopa hizo fedha hizo hizo kwa riba kubwa sana kuliko wao wanayopata toka ktk hizo bank? Maneno mengii lakini .....
Mh. Rais anawashauri na ndio waliomshauri hatua hizi zilizochukuliwa, acheni kuamini kwamba hafuati ushauri.
Ingawa mimi siyo mchumi lakini naweza kukusahihisha kidogo.

Kilichokuwa kinafanyika siku kuwa serikali ilikuwa inakwenda kukopa pesa zake. Kama una pesa benki benk za kutosha zioni ni kwa nini ukope. Kama ni kukopa hata pesa uihamishie BOT hakutabadili kitu kwa vile ni ile ile.

Anyway, kilichokuwa kinafanyika serikali huwa inaauction treasury bonds kwa taasisi binafsi. Hizo bonds riba yake ni kubwa. Hivyo, bank zilikuwa zinatumia pesa za wateja including seriakali kununua hizo bond. Maana yake hizo bonds zilikuwa ninanunuliwa na pesa ya serikali wakati faida inakuwa ni ya bank!!
 
Nimekusoma Good People...Sorry nilikosea.Lakini mbona kwenye website ya crdb hii ya kwako hamna?wameweka mwisho 30th June 2016
 
Good!

Na hapo ndipo tatizo lilipo kwa wengi walio upande wako!!! So koz hivo Vitu vyote viko sawa ina maana ni kweli crdb ilikuwa inafanya kaz na pesa za kifisadi? Huwez conclude kama layman hivo kwenye uchumi.

Umeongelea rise nyingi kwenye indicators kama income ya bank... Kwanini hujaongelea economic growth kuwa at around 5 last month na around 6 (not sure) this month? Coz economic growth ndo inareflect hio Bank business interms of investments na New/existing business inpact on banks?
Good watu wengine wa afimiria uchumi unaendana na imani za dini la hasha. Uchumi ni mnyororo sector moja ikilegalega inaangusha na nyingine pia na impact hii itaenda hadi kwenye mapato ya serikali
 
Back
Top Bottom