Anguko la Mabenki nchini? CRDB yapata hasara ya Sh. Bilioni 2

Anguko la Mabenki nchini? CRDB yapata hasara ya Sh. Bilioni 2

Umeandika ngonjera ndefu ila haina maana. Inaonyesha dhahiri una uelewa Mdogo sana wa mambo ya fedha na uchumi. Mawazo yako yapo ki layman zaidi na siwezi kukulaumu.

Unaposema CRDB inakopesha pesa ya serikali kwa watu na bado serikali ikiomba pesa yake inapewa unajua unachozungumza kweli? Unajua ni mara ngapi CRDB wameshindwa kurudisha pesa waliozopewa na serikali? Au unadhani serikali na CRDB zinafanya transactions za 100mil?

Haya mambo ya uchumi watu kama nyie kaeni pembeni msikilize msilete ujuaji kwenye kila kitu wakati hamjui kitu.
umeandika pumba tupu,sasa wewe unayejifanya mchumi umefafanua nini? hovyo kabisa
 
umeandika pumba tupu,sasa wewe unayejifanya mchumi umefafanua nini? hovyo kabisa
Umeanika upuumbavu wako kwenye hii mada wajuzi wanakuangalia tu. Unatoa hoja nyepesi sana kwenye mambo ya msingi. Kaa kimya hujui maswala ya uchumi na fedha

Bora kukaa kimya kuliko kujidai mjuaji kila mtu ajue ulivyo mtupu kichwani.
 
Kutakuwa na Bankruptcy kwa taasisi nyingi za kifedha, nilienda kutoa pesa kwenye ATM ya bank flan naambiwa kiasi cha pesa za kutoa isizidi laki 4. Ajira ni ngumu hapa mjin taasisi tulizokuwa tunategemea kutoa ajira zinafilisika , wataaza kupunguza wafanyakazi.
 
Lipi mkuu
Kwa elim yangu ya uchumi ndogo niliyonayo COMMERCIAL BANKS nying zimeacha majukum makuu ya taasisi hizi na zimejikuta zinategemewa kubebwa na BOT kwa miaka mingi sasa anachokifanya mjomba MAGU ni kuhakikisha kila taasisi inaplay majukum yake vilivyo...sijui labda unisaidie ni investment gan kubwa zinafanywa na hzi banks zetu zaid ya kutegemea SERVICE COMMISSIONS toka kwa wateja wake na interest za mikopo? jaribu hata kugoogle to functions za COMMERCIAL NA CENTRAL BANK utagundua nin nasema
 
Hizo trilioni tano sasa ziko BOT serikali ikizitaka itaenda kuzichukua bila kutoa riba....Unataka zipelekwe CRDB halafu wakazikope kwa riba kubwa? Kuna mabenki mengi serikali haikuwa inaweka pesa zake huko yako vizuri yanaendelea kufanya biashara halali na wananchi.....CRDB kuna shareholders wameweka fedha zao huko nashangaa wanalilia pesa za serikali.....hii benki ilikuwa inaendeshwa kijanja janja wacha ife
5 tri cash(bot) vs 29 tri expenditure=loan
Ukikua utaacha upuuzi
 
A SEE kuna mmoja humu kasema kuwa hii bank imepunguza wafanyakazi kutoka karibu 2800 mpaka 2400. Yaani hapa unaposema salaries zimeongezeka nami nashtuka kidogo. Hivi inawezekana wanachakachua hesabu kuwanyima stahiki yao ya dividends shareholders wao nini? Hilo swali lako limenishtua hili ongezeko la gharama limetokana na nini?
Huyo jamaa aliyesema wamepunguza wafanyakazi nadhani anaweza aidha akawa ni mlevi au labda sijui kwanini.

Kaangalia idadi ya wafanyakazi wa "The Bank" ambayo ni CRDB Bank per se na wafanyakazi wa "Group".

CRDB Plc as a group ina subsidiaries tatu. "The Bank", "Burundi S.A" na " MSCL (Microfinance)"

Hili ongezeko la gharama ni uhamishaji wa hela toka mikononi mwa shareholders hasa wadogo, na kupeleka kwa CEOs na wakuu wengine.

Banks nchi yeyote ile, tactics zao ni the same. The cycle is the same ... make a lot of money in a fishy way and get bailed out by the government. Or, get money from the government straight, and make a lot of money from it.

Either way, it's the regular taxpayer who always keeps the Banks floating. The game is too old, I hope jamaa watawaregulate more.
 
Tunajenga Tanzania moja lakini serikali inagombania fito,eti inasema benki zilikuwa zinatumia fedha za serikali kukopesha wananchi na kupata faida.

Ebbo!!, sasa na bakhresa,mengi,mohamed dewji na matajiri wengine wanaoweka fedha benki nao wazitoe kwa hoja kwamba benki huwa wanatumia hela zao kukopesha?

je wakishakopesha, serikali ikienda kuangalia balansi,au ikienda kuzichukua huwa inaambiwa "fedha zenu hazipo,tumezikopesha"....si huwa wanazikuta!!tena zikiwa na riba!!

je wanaokopa ni akina nani? si hawa akina hawa,asha,mwajuma,abdallah,masanja.....watanzania wenzetu ili wakaanzishe biashara zao ndogo ndogo wajikomboe na umasikini!,

sasa serikali imeona hawa watanzania.wanakopa fedha benki wanazifaidi(na inaamini eti zinazokopwa ni za serikali tu),ikaamua izitoe,sasa inamkomoa nani? inazikomoa benki au wafanyabiashara wadogo na wa kati ambao sasa hawapati mikopo na wanalia hali ngumu!

halafu unapokusanya pesa na kwenda "kuzificha" benki kuu unazuia mzunguko,benki kuu itayahifadhi malundo kwa malundo ya pesa tu,haiwezi kwenda tandale kumkopesha mama ntilie,haiwezi kwenda mtaa wa kongo kumkopesha mjasiliamali,

kwa maana nyingine,"unakomba"hela zoote za nchi,"unazificha,halafu unataka watu wafanyeje? manake huku ni kuficha hela.

kingine,hiyo CRDB ni benki ya nani?si ni benki ya mtanzania? kama kwa.miaka zaidi ya 20wameonyesha uaminifu kwa kutopoteza hata senti ya umma iliyohifadhiwa pale,kwa nini wewe ukae mwezi tu serikalini eti uwazidi akili mwinyi,mkapa na kikwete!!

tunagombania fito,na kwa kuwa tunagombania fito,hakika nyumba haitaisha,ukishika fito unanyanganywa,na mimk ukishika fito nakunyanganya......tutagombana weee mwishowe akija aliyetupa kazi (mtanzania)kutaka akabidhiwe nyumba,tutakoma 2020
Mkuu kwa hivo ulikuwa unafurahia serikali inaweka fedha zake bank binafsi kisha wanapata faida ndogo kisha wanaenda kukopa hizo fedha hizo hizo kwa riba kubwa sana kuliko wao wanayopata toka ktk hizo bank? Maneno mengii lakini .....
Mh. Rais anawashauri na ndio waliomshauri hatua hizi zilizochukuliwa, acheni kuamini kwamba hafuati ushauri.
 
Team mbona kwenye website ya Dar es salaam stock of exchange (DSE.CO.TZ) wanaonyesha CRDB wametengeneza faida ya 27b kwa Q ya pili June 2016.Tumuamini nani..Hii nchi bwana.

Please see the attachment
 

Attachments

Basi nimekufananisha maana ID hii tumewahi jadili nayo mambo haya kwa kina sana!!

Anyway uchumi wetu unayumba kutokana na govt kupunguza sana matumizi coz chumi changa kama zetu zinahitaji sana kuwa boosted na govt expenditure kama serikali haitumii basi mzunguko unadorora na kuziathiri pia benki...

Nimemsikia Magufuli akijisifu kuwapa kazi nyingi TBA za serikali hii pia inaua uchumi coz TBA ni serikali so serikali inazungusha pesa mfukoni kwake badala ya kuwapa kazi makampuni watakaolipa kodi na kuajiri vijana wengi zaidi!

Hii ya CRDB kutoka kupata faida ya 30 billion mpaka hasara ya 2 billion ni msiba!! Hii si figisu ni kitu dhahiri kwani benki zote transactions zake pamoja na mitiririko yote ya fedha zao zipo monitored na BoT ni vigumu kudanganya!!

Jambo lingine lilichangia kuanguka huku ni hofu za wateja dhidi ya serikali!! Serikali ya JPM imeonesha dhahiri kutotabirika!! Hakuna mwekezaji au tajiri yeyote anayeweza wekeza pesa zake kusikotabirika!! So wengi waliondoa fedha zao benki ili kuondokana na hofu dhidi ya serikali isiyotabirika so benki zinakosa amana na mitaji....

Kingine ni madeni yasiyolipika kama vile mikopo ya watumishi hewa.... madeni ya biashara zilizoanguka kama hoteli n.k n.k

Katika ishu JPM anahitaji kuwa serious ni uchumi!! Hayo mengine anayohangaika nayo yatampotezea muda tu huku nchi ikielekea ilipo Zimbabwe... ni suala la muda tu utatuambia!!

CC Kobello Pohamba Richard
Umeandka kwa msukumo mpaka wafananisha kuja kuwa kama zimbabwe umeharbu utu wako,ufaham wako unatupa hofu.
 
Basi yale maneno ya Kimei kuwa nchi ina hali mbaya ni ya kweli
 
Kama wamepata hasara wanawaambia share holders hiyo hasara imetokana na nini? Bank zote zilikuwa zinafanya biashara na pesa za watu (mashirika ya umma nk.) Wacha waisome number wafanye shughuli za ki-bank sio kukaa na kungoja baraka ya kuwaibia walipa kodi. They need to change how they operate.

Akili za ukada hizi! Endelea. Nikufahamishe jambo ambalo pengine hukuwa unalifahamu. Twiga Bank ilikuwa kwa kiwango kikubwa kama benk ya serikali tukizungumzia umiliki. Hili lilikuwa halisemwi wazi. Kitendo cha benki hiyo kufilisika ni suala nyeti kuliko unavyodhania. Iulize sasa serikali yako nini kimetokea.
Kama wamepata hasara wanawaambia share holders hiyo hasara imetokana na nini? Bank zote zilikuwa zinafanya biashara na pesa za watu (mashirika ya umma nk.) Wacha waisome number wafanye shughuli za ki-bank sio kukaa na kungoja baraka ya kuwaibia walipa kodi. They need to change how they operate.
 
Hawa jamaa si ndo walikua wana account za taasisi kibao za serikali na walikua wanashkilia pesa nyingi sana za Serikali?

Mini naona baada ya mkuu kusema pesa zote ziwe zinaenda hazina bila kulala kwenye account ya benki ingine watakua walikosa mtaji wa kutosha kuendesha shughuli zao. Halaf hilo janga (naliita janga maana walipoteza wateja wakubwa mno) limewakuta huku wakiwa wanaanzisha Micro-Finance kibao karibu kila mtaa.
 
Baada ya kupitia hayo mahesabu ni kweli faida ya benki hiyo imeteremka has ukilinganishwa na kipindi kama hicho mwaka jana ila hiyo loss ni kwamba waliprovide tax kuwa 4 billion kwa quater hii maana yake kuwa walitegemea wangekuwa na profit ya kama 12 billion hivi lakini wameangukia profit ya 2.1 billion hii ndio faida kabla ya tax sasa kwa kuwa walishaestimate kitu wanachoenda kukifanya ni kufanya ammendment ya tax estimates TRA na wanapeleka kidogo na faida inakuwa fresh kwa vyovyote mazingira yamebadilika na lazima biashara zipadilike.



ACH=full said:
426878[/ATTACH]
 
Back
Top Bottom