Anguko la CHADEMA lipo njiani

 

wewe ndo utakufa uiache chadema
 
Baada ya kuwasoma wachangiaji na mtoa mada, wala sijaona sababu ni kwanini watu wanafurahia chama kama CHADEMA kupita katika kipindi kama hicho cha mpito zaidi ya ushabiki wa kisiasa na ushamba wa kila mmoja aonekane ameandika JF!
 
Wahenga husema siku za mwizi ni arobain na baadae jamii itakuumbua ndicho kilicho ipata chagadema.
 
zamani ulikuwa analyst wa kiukweli lakini sasa naona you do not task your head.Think great you will get the truth. wanao ipenda chama ni vijana between 18 and 40. na wengi wao hasa walio na umri wa miaka 18,19 20,21,22,na 23 hawamo kwenye daftari la wapiga kura. HAWA WATAKAPO KUWA WAMEANDIKISHWA,NDIO UKWELI UTAUJUA. KAUNDI HILI WAWEZA KUFIKIA NUSU YA WAPIOGA KURA WOTE.
 

Km sababu zenu ndo hizi....daima MaCCM yatatafuna nchi mpaka basi....kumbuka hata vijana ambao watakao andikishwa wote c CHADEMA,wengne ni vyama vingne,Alafu kwa nini mtegemee hasa vijana wenye upeo mdogo na wanaokula kunya kulala bure kwa wazazi wao?
 

Unathibitisha ujinga au niseme waweza kuwa na tope kichwani mwako! Hakuna hata hoja jinga kubwa!
 

wewe acha unafiki wako hapa tangu lini wewe uliwahi kuyaona mafanikio ya chadema? endelea tu kujifanya shekh Yahya na wengi sana wameitabiria chadema mabaya lakini kwa wenye akili wanajua jinsi chadema inavyojijenga tangia 2010 kura zake kila sehemu zinaongezeka kutoka kwenye kitongoji mpaka ubunge hakuna uchaguzi hata mmoja tngu 2010 cdm imepunguza kura zake hivi maana ya kukua ni kuongeza au kupunguza yaani ccm ambayo kura zake zinapungua unaona inakua na sisi tunaongeza tunasinyaa? kweli wewe unatumia ma------ kufikiri
 
Mtoa mada kwanza nikupongeze kwa mada ila umekuja na kauli yenye hitimisho (conclusion) hapohapo ndani unauliza maswali.ujibiwe lipi wakati heading umeweka conclusion? Chagua heading nzuri inayoruhusu mjadala.rudi kajipange vinginevyo habar yako ni illusion nakushaur kapate hata ka certificate ka uandishi wa habar.nakutakia cku njema mtani wa chadema.
 
MKUU WENYELE
kumbuka hata vijana nao ni sehemu ya wapiga kura kwa shart la kufikia umri wa kuandikikishwa kupiga kura. rudia uone ulivyoandika kumjibu mtoa hoja mwenzako.kula na kulala kwa wazaz ni kigezo cha kutokupiga kura.are you sure for this? tengua kauli mkuu unatudharau vijana kisa tunakuka kwa wazazi.KUPIGA KURA NI HAKI YETU YA MSINGI!!!vinginevyo una kasoro kwenye reasoning. ni muonekano wako mkuu siyo law/rule.samahan kama nimekukwaza.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…