Haitawezekana kuwa na chama imara cha upinzani wala demokrasia ya kweli nchini Tanzania bila CCM kufa kwanza.Hata wewe uliyeandika haya na sijui kwa faida ya nani unajua misukosuko iliyoipata CAF,NCCR na sasa Chadema-Walalahoi wengine hatujui ni kwann mnawapa misukosuko mingi wale wanaonekana kuungwa mkono na watanzania walala hoi.Assalamu Alaikum wana Bodi wote.
Hii kwa ajili ya watu wote wenye mapenzi mema na demokrasia ya hapa nyumbani.
CHADEMA kilikuwa na muonekano wa kuweza hata kuiongoza dola.Tatizo ni nini kimetokea kwa hawa watani zangu hadi kufikia hali hii.
Je, ni kwa ajili ya kuendesha chama kama kikundi cha dini?
Je, ni kwa ajili ya kumtosa yule mheshimiwa dogo wa kule kigoma?
Je, ni kwa ajili ya viongozi kungangania madarakani?
Au walijisahau wapi?
Najua kabisa watani zangu matusi ndiyo jadi yenu lakini ukweli utaendelea kusimama;
Nawasilisha.
Assalamu Alaikum wana Bodi wote.
Hii kwa ajili ya watu wote wenye mapenzi mema na demokrasia ya hapa nyumbani.
CHADEMA kilikuwa na muonekano wa kuweza hata kuiongoza dola.Tatizo ni nini kimetokea kwa hawa watani zangu hadi kufikia hali hii.
Je, ni kwa ajili ya kuendesha chama kama kikundi cha dini?
Je, ni kwa ajili ya kumtosa yule mheshimiwa dogo wa kule kigoma?
Je, ni kwa ajili ya viongozi kungangania madarakani?
Au walijisahau wapi?
Najua kabisa watani zangu matusi ndiyo jadi yenu lakini ukweli utaendelea kusimama;
Nawasilisha.
Hongera sana mama kwa kupata nafasi ya kusomeshwa na ccm na hatimaye kupatiwa kazi nzuri.Siku hizi mambo yamebadilika sana.Miaka yetu ahadi moja ya mwana Tanu ilikuwa ni mtu kujielimisha kwa kadri ya uwezo wake na kutumia elifu yake kwa faida ya wote.Leo hii Wewe umesomeshwa na ccm unakula bata,unapata first class social services na unawaaminisha wanajamii forum kuwa wanawake wote wa Tanzania Mpo ccm,ccm imewafanyia mengi,imewasomesha na kuwapa kazi nzuri ikiwa na maana kuwa wale wanaolala watatu watatu kwenye kitanda kimoja au kugalagala chini pale wodi za uzazi either ni wanaume au ni wanawake wa nchi jirani.hongera mama-keep it upacha uongo bana wanawake wenyewe ndio sisi tuko ccm, na ccm imetufanyia mengi..mfano mimi imenisomesha, imenipa kazi na tena nzuri tu, sasa kwanini niichukie ccm..nyie chadema ndio mmesaidia nini kazi kuembeza chopa tu huku watu mnaowahutubia hawana we unafikiri hiyo chopa ndio utawavuta?
Nadhani tatizo ni ushoga ndani ya chama. Kuna kiongozi mmoja wa chama na mbunge wa kaskazini picha zake akiwa anaingiliwa kinyume na maumbile ziliwekwa mitandaoni na pia yeye mwenyewe alizigawa kuonesha ufundi wake wa kuingiliwa. Hicho ndicho kinachoiua CDM.
Kwanza nikupongeze kwa uchambuzi wako murua uliondika ni ukweli mtupu, ni kweli anguko la Chadema limetimia.
Kwanza nikupongeze kwa uchambuzi wako murua uliondika ni ukweli mtupu, ni kweli anguko la Chadema limetimia.
Subiri mwakani kwenye uchaguzi mkuu tuwapige 3-0 ndio mtaelewa nini maana ya Peoples power.
yaelekea wewe hakulala nyumbani, asubuhi hii unawashwa na chadema? badala ya kuzungumzia kuhusu katiba mpya na mkanganyiko uliotokea jana wewe uaanza na Chadema. Kwani hawara yako amekuambia nini kuhusu rasilimali za nchi hii zinavyoporwa na Maccm? kweli wewe ni wa mgombani
Kinachowamaliza ndio hiki;
hamjakomaa kisiasa;
hivi unafikiria kuwa naogopa matusi mimi?
Hahahahaaaa.. vipofu bwana, eti uchambuzi murua.. Hii kweli mahaba nitese. Mtasubiri sana hilo anguko na badala yake mtajikuta mnaanguka nyie.
CHADEMA haitaanguka kamwe ni tofauti na vyama vingine vilivyoibuka enzi za nyuma.Misingi tuliyonayo ni thabiti ndo maana wasaliti wanajitoa.Hata ww utakuja umia endapo ikitokea kikaanguka.MUNGU TUSAIDIE.
Huyo k,,, nge anawo uwezo wa kukagua chopa?? Anafahamu nini kuhusu chopper zaidi ya kupandaMamndenyi , Mwanasiasa wa kiingereza anayeitwa Harold Wilson alishawahi kusema, A week is a long time in politics.
CHADEMA walikuwa wanabebwa na siasa za uwongo, majungu na kilaghai ambazo zilikuwa zinatumia lift kuwafikia wananchi huku ukweli ukitumia ngazi.
Kwa sasa ukweli umefika kwa wananchi na matokeo ndiyo haya tunayoshuhudia.
Kuna viongozi wengine waridiriki mpaka kwenda London na kupiga picha mbele ya helikopta na kuudanganya umma kuwa wameenda kununua helikopta katika mwendelezo wao wa siasa za uwongo na ulaghai.
It's time to catch up with reality.
Hebu waulize, hiyo helikopta walinunua?.
Thread yake ilikuwa hii,