...Na huyo wa pili, yeye hakutaka 'longo-longo'..!!
Aliporomosha live 'sera' za CCM bungeni....!!!
Alitumia lile neno la ki-ingereza linaloanzia na 'F'..!!
Spika wa bunge na Mamndenyi wakajifanya kama vile hawajasikia...!!
Kwani chama kimeanguka?
Kushindwa uchaguzi ni kuanguka?
Nakumbuka uchaguzi wa madiwani Arusha.
Huyo wa pili kuna tetesi kuwa ni ahh sijui wanaitaje vile? Yaani mtu ambaye eeh! Kama kule Mombasa wanaita eeh! Aaa! Nimesahau tena, ila yule wa Uganda kapiga marufuku nini vile?
Sent from my iPad using JamiiForums
Salaam, Picha yako kama ni yako unaonyesha u mwana mama, nijibu sababu ya CCM kumteka na kumpeleka ofisi za CCM na kumtesa na kumdhalilisha, kumpora simu mbili na fedha Paund 500 na Tsh 300,000.00 ikiwa siku moja kabla ya Uchaguzi, lengo lilikuwa nini kama sio kuwapoteza tension Chadema wamfikirie Mh Rose Kamili wawape nafasi nyinyi wenye tume ya Uchaguzi, Jeshi la Polisi na Green Guard nafasi ya kujipangia matokeo? (2) Kama Mwanamke, niambie ungejisikiaje kama yale yaliyompata Mama Rose Kamili yangekupata wewe au Mama yako Mzazi??
Nilikuwa sijui kumbe Kalenga ni Waislam.Pekundu, CCM mnatumia propaganda za udini ili mkamate kura za waislam hahaha, waislam mtatumiwa miaka yote
Mamndenyi kudhalilisha kundi kubwa la akina mama, ninyi wanawake ndiyo wenye kuathirika zaidi na mfumo wa utawala wa CCM, kama wewe ni mama mwenye mtoto bila shaka umekwisha jione adha kubwa inayowakumba wajawazito wanapokwenda kujifungua, kuanzia unapopokelewa lazima uende na nyembe, beseni, gloves nk, ukifika labor una ombwa rushwa ya kuhudumiwa vizuri na wodini ndipo mnapolazwa mpaka chini! Hii ipo Tanzania nchi iliyo barikiwa na rasilimali nyingi za kila aina. Serikali inawasamehe kodi wanyonyaji lakini wewe rofa kajamba nani unatozwa kodi na kuombwa rushwa bila sababu za msingi.
Leo unashabikia mawakala (CCM) wa mabepari bila aibu! Mtoto wako unapoenda kumuandikisha darasa la kwanza, unadaiwa mlolongo wa michango ambayo inaliwa na hakuna wa kumuwajibisha mwenzake-wote wezi! Wanawake mmefanya suala la mahusiano kama sehemu ya kujipatia kipato kwa sababu hali ya maisha ni ngumu kuliko kawaida. Wanaume mmetufanya ATM mashine ili muweze kujikimu kimaisha. Hali hii imesababishwa na CCM lakini hujui.
Acha kuaibisha wanawake wenzako wanaokumbana na kibano cha CCM kila kukicha, badilika na ujitambue ili tuweke watu wanao weza kusimamia vizuri rasilimali za nchi kwa manufaa ya wananchi wote.
Kila mtu akiandika kinyume Na CHADEMA Mnamuita buku7.Humjui huyo kama ni mwanachama wenu
Anguko la CHADEMA unalipimaje? kwa kushidwa ujaguzi karenga au?
Baada ya chadema kufa what next
huna jipya hebu kalale na mpenzi wako huko ndiyo nini hiyo?