Anguko la CHADEMA lipo njiani

Tunaomba sherehe yetu sisi vijana kujipongeza na kuwapongeza wanachama ccm.kwa ushindi ambao ni Kawaida yetu tufanyie pale club bi...n
 
Mtaongea sn huku mnaiba rasilimal za watanzani majambawaz wakubwa nyie, mmemaliza tembo wote, watanzani ni maskin wa kutupwa haliyakuwa tanzania ni tajiri huoni hilo, eti mnasifiana kwa utumbo mliotuma hapa,
Ccm inawashabiki washamba sn unajifanya unajua kwl,
Hapo ulipo hata chupi unashindwa kununua ccm yako ndo imekufanya hvy,
Mtatumika mpaka lini? Unapewa sh: buku 7 unauza utu wako,
Sasa ww unatofauti gani na changudoa unauza utu ili upotoshe,
Hapo ulipo unajisuta mwenyewe, ccm ni janga la kitaifa,
Rais wako anaulizwa kwann Tanzania ni maskin wa kutupwa haliyakuwa ni tajiri?
Eti heee hahaa hohoho hata mm cjui rais hajui kwann tanzania ni maskini? Fikiria ndo maana tunazaraulika kila mahali maana hamjitambui kama hvy ww ulivyo,.....
 
Sidhani anguko la chama linaweza kutokeakwa Chadema baada ya kushindwa uchaguzi wa jimbo moja,hebu tujaribu kuangalia kwa kina matokeo ya uchaguzi kabla ya haya hali ilikuaje na tulinganishe na hali ya sasa.Pili yafaa tutambue kuwa katika siasa kuna kushinda na kushindwa hivyo mwenye kutambua hili hawezi kusema kuwa chama fulani ni lazima kishinde sehemu fulani wakati wapiga kura ndio wenye uchaguzi na maamuzi yao yafaa yaheshimiwe hata kama inawezekana hawakipendi chama fulani lakini mtu wake inawezekana wakampenda na kumchagua.
Tukue kifikra wanaJF.
 
TZ kuna vyama vya siasa zaidi ya 20 ila ccm kila wakilala wakiamka wanaiota cdm kila panapotekea uchaguzi vyama zaidi ya vitatu uwania hiyo nafasi ila ccm watawataja cdm tu.na vyama vyote vinataka kuingia ikulu ila ccm midomoni mwao wapo cdm tu.hii maana yake ni kwamba CDM ndo inawapa tumbo joto watake wasitake.eti cdm wasipoelewana ccm wanajifanya kutaka waelewane(toka lini mpinzani wako ukamtakia mema???????kama simba na yanga)
 
Kwanza nikupongeze kwa uchambuzi wako murua uliondika ni ukweli mtupu, ni kweli anguko la Chadema limetimia.

Chama hakiwezi kufa kwa mawazo yenu finyu kwanza ndo kinaanza kuenea hadi vijijini kama kalenga ambako walikuwa hawatujui.kama hida yako ZZK mfuate tu akupakue na wakati mwenzako kwa$a$a anapakuliwa na mwigulu nchemba kamarubuni kuharibu chama hadi hatua ya kumcameroon do jamaaa noma $ana nando maana hata akienda bungeni $iku hizi amebaki kuwa bundi tu.
 
CDM haifi ngo la msingi wajipange upya. Sisi wanachama tuko imara uongozi ndio haujakaa sawa! Viongozi wanafikiria kwamba wao kuwa frontline ndio dalili za kushinda chaguzi? A big NO. Viongozi wawathamini viongozi na wananchama walio chini yao wawape nyenzo watashangaa jinsi ambavyo chama kitaibuka upya.
 
Yuda iskariote alikuwa mwanafunzi wa masihi lakini vipande 30 vya pesa vilimtoa denda
 
huyo wa kwanza hapo anaporomosha matusi

...Na huyo wa pili, yeye hakutaka 'longo-longo'..!!
Aliporomosha live 'sera' za CCM bungeni....!!!
Alitumia lile neno la ki-ingereza linaloanzia na 'F'..!!
Spika wa bunge na Mamndenyi wakajifanya kama vile hawajasikia...!!
 
Last edited by a moderator:
Wewe mwanamke si utafute bwana akuoe kuliko kila saa kushinda hapa na habari za chadema na udini?
 

Pekundu, CCM mnatumia propaganda za udini ili mkamate kura za waislam hahaha, waislam mtatumiwa miaka yote
 

Wa migombani hawana akili ndogo kiasi hicho!!! Huyu atakuwa ameahidiwa viti maalum
 
aliyekuambia wote tunajua salamu ya kigaidi ni ninani wengine hatuna dini hapo ndipo uwezo wako wa kufikiri ulipoishia majanga
 
niulize swali moja tu! chadema hiyo ilishawahi kushika dola? na imeangukaje?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…