Nini maana ya anguko chadema amepoteza vit vingapi?ccm lin mmefanya uchaguzi wa mwenyekiti wa chama kidemokrasia acha mbwembwe huna hoja mnatumia ujinga mlioupandikiza kwa watanzania kuwatawala subiri kidg zito c chadema wala jk c ccm achakuchanganya mambo
Assalamu Alaikum wana Bodi wote.
Hii kwa ajili ya watu wote wenye mapenzi mema na demokrasia ya hapa nyumbani.
CHADEMA kilikuwa na muonekano wa kuweza hata kuiongoza dola.Tatizo ni nini kimetokea kwa hawa watani zangu hadi kufikia hali hii.
Je, ni kwa ajili ya kuendesha chama kama kikundi cha dini?
Je, ni kwa ajili ya kumtosa yule mheshimiwa dogo wa kule kigoma?
Je, ni kwa ajili ya viongozi kungangania madarakani?
Au walijisahau wapi?
Najua kabisa watani zangu matusi ndiyo jadi yenu lakini ukweli utaendelea kusimama;
Nawasilisha.
"Nabashiri Chadema kuanguka na kusambaratika kabisa, sababu ni ubaguzi,ubinafsi na ulaghai" Stephen Wassira.
Ben Saanane tena wewe ndo usiseme kabisa;
hivi unaonaje ulivyotelekezwa na hicho chama chako?
Kijana msomi umebaki tu huku wakati wenzio wanakula wakiwa wamelala.
Shauri zako lakini.
wanaokula wakiwa wamelala ni mafisadi, sasa na wewe unataka awe fisadi au mantaka kumnunua?Ben Saanane tena wewe ndo usiseme kabisa;
hivi unaonaje ulivyotelekezwa na hicho chama chako?
Kijana msomi umebaki tu huku wakati wenzio wanakula wakiwa wamelala.
Shauri zako lakini.
ni kweli kwani hata ubunge kule kwao walishindwalema na mbowe wameiua chadema
baada ya kushindwa kazi ya kumlisha sumu zito dr slaa hataki hata kumuona ben saanane
Kazi ya mungu haina makosa
Haya mkuu furahia moyoni mwaka CCM= Chama cha Mapinduzi ila sasa mahasimu utasikia cha Majambazi, Majangili, Mafisadi, Mauaji and the like!!!! Je hii tasiri nying hivi ya CCM ina ukwel ndani yake!!!! Maana kwa hali ilivyo kwa sasa hasa baada ya kifo cha muasisi wa taifa hili tunaona kama kuna kaukweli Mamndenyi.
Tena kimewaganda kweli kweli hawana namna.
Assalamu Alaikum wana Bodi wote.
Hii kwa ajili ya watu wote wenye mapenzi mema na demokrasia ya hapa nyumbani.
CHADEMA kilikuwa na muonekano wa kuweza hata kuiongoza dola.Tatizo ni nini kimetokea kwa hawa watani zangu hadi kufikia hali hii.
Je, ni kwa ajili ya kuendesha chama kama kikundi cha dini?
Je, ni kwa ajili ya kumtosa yule mheshimiwa dogo wa kule kigoma?
Je, ni kwa ajili ya viongozi kungangania madarakani?
Au walijisahau wapi?
Najua kabisa watani zangu matusi ndiyo jadi yenu lakini ukweli utaendelea kusimama;
Nawasilisha.
Nini maana ya anguko chadema amepoteza vit vingapi?ccm lin mmefanya uchaguzi wa mwenyekiti wa chama kidemokrasia acha mbwembwe huna hoja mnatumia ujinga mlioupandikiza kwa watanzania kuwatawala subiri kidg zito c chadema wala jk c ccm achakuchanganya mambo
ni kweli kwani hata ubunge kule kwao walishindwa
ukabilA,,,,majungu na husuda vimekiua chama