Anguko la CHADEMA lipo njiani

Chris Lukosi hebu tukumbushe wanabodi, hii helkopta iliishia wapi? Godbless J Lema alitutapeli?
 
Last edited by a moderator:
Ccm bwana hao waokota makopo barabarani si ndo sera yenu,Sera yenu ya kujiajiri kuna mamantilie waokota makopo na bodaboda
Kamanda naona matokeo Kalenga yamekufanya umekuwa kama chizi unaropoka ovyo tu.
 
Acheni kuwadanganya watanzania kwa uchaguzi wa jimbo moja tena jimbo lenyewe watu bado wamelala usingizi. watu hadi leo wanajua Nyerere ndio raisi wa Tanzania!!!! Mimi ninachojua ni kwamba CCM pamoja na wizi wa kura pia inatumia umasikini na ujinga wa watanzania walio wengi kama mtaji wao wa kisiasa wa kuendelea kuwanyonya wanyonge na masikini wa nchi hii. ukitaka kujua ukweli kuhusu hili angalia ni majimbo mangapi ya miji mikubwa ambayo ccm wameshinda chaguzi!!! hapa kitu cha msingi ni kuwapa elimu ya uraia na kujitambua hawa wenzetu watanzania masikini wa vijijini ili wajue haki zao na namna ya kuzidai na pia namna ya kutumia sanduku la kura kama njia pekee ya kukataa unyanyasaji wa watawala dhalimu na sio wanasiasa kutumia uelewa finyu wa wananchi na kuwapa vitisho eti kama wakichagua chama cha upinzani hawatakuwa na maendeleo na pia watawaletea vita!!!!useless!!! watu hapa wanaangalia nchi za ulaya na America wanawaonea wivu kwa maendeleo yao na kwenda kuwanyooshea vibakuli kuomba misaada bila kuangalia hawa watu pamoja na kukosa rasilimali tulizonazo sisi wamefikaje pale walipo??!! Ninyi mnaojiita mashabiki wa ccm wala msijisifu kwa kushinda uchaguzi sijui Kalenga fikirieni ni namna gani mnawaondoa hawa watanzania kwenye lindi la umasikini na sio kutumia fedha za maendeleo kutumia mbinu chafu za kushinda uchaguzi ili muendelee kuwaibia watanzania. FULL STOP!!!!!!!!!!!!!
 
chama wanakuita, sijui utakuwa wapi mida hii.
Mamndenyi
Nipo jukwaani nasoma uchambuzi yakinifu ulioutoa; ulichokisema ndio ukweli watani wako jadi hoja wameishiwa wamebakia kutoa kebehi na matusi; yote hayo ni kuchanganyikiwa; kama wanasubiri ukombozi watafute nabii mwingine wa kumuabudu babu ni uzao wa CCM makapi tuliyoyàtupa wenyewe jalalani hayatuumizi kichwa!
 
Last edited by a moderator:
Wengi tulijua mwisho wa CHADEMA utatimia, ila hatukujua kuwa itakuwa mapema hivi.
 
Hatutaki waanguke tunataka wawe wazalendo na kutii mamlaka mambo yao ya kihuni waachane nayo

Mkuu MNAMBOWA
tunataka upinzani imara wenye kuleta ushindani wa nguvu kwa hali hii ya Chadema hakuna hata haja ya kuwasumbua wapiga kura!
 
Last edited by a moderator:
kiwososa acha kabisa kutatusi watanzania; futa usemi hapo kwenye redi ndo tuendelee:


 
Last edited by a moderator:
Waambie hawa madogo ukweli;
naona bado wamelala usingizi wa pono.

 
Unasema chalinze walikoweka mtu asiyejua kusoma wala kuandika;
hivi hawa chadema sijui hata ni nani aliyewaroga, looooh.

Mpwa naona Kalenga kura hazikutosha...ngoja tusubri Chalinze labda mnaweza kumuangusha Prince!!
 
tafadhali rekebisha kauli yako. chadema haijawahi kuwa na muonekano wa kutawala nchi hata siku moja. labda muonekano wa kuivuruga nchi.

 
Watanzania hatutaki chopa tunataka chama makini na viongozi makini uhuni uhuni wao na usanii wao wapeleke huko arusha na moshi shwaini kabisa chadema.
 
Leomimi kweli una hasira;
daaah, wamekusikia;

Watanzania hatutaki chopa tunataka chama makini na viongozi makini uhuni uhuni wao na usanii wao wapeleke huko arusha na moshi shwaini kabisa chadema.
 
Last edited by a moderator:
Daaah,
Umemaliza kila kitu;
mmmmh sina usemi.

Watanzania hatutaki chopa tunataka chama makini na viongozi makini uhuni uhuni wao na usanii wao wapeleke huko arusha na moshi shwaini kabisa chadema.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…