Anguko la CCM ni dhahiri sasa

Anguko la CCM ni dhahiri sasa

CCM bado tupo sana comrade. Huu upinzani wetu wa ACT na CHAUMA bado sana kukomaa kiasi chakua tishio kwa CCM.
Screenshot_20250729-090555~2.png
 
Japo mie sio mfuasi wa chama chochote cha siasa,lakini kwa hizi dalili nazoziona,hiki chama kitaanguka muda wowote kutokea sasa na kuacha ombwe kubwa la uongozi.

Na kwa kuwa upinzani wa nchi hii ni dhaifu sana basi nchi hii itakuwa ni sandakarawe amina,basi yangu macho
Sasa itakuwaje!!, mbona sioni mbadala wa CCM!!?,
 
Japo mie sio mfuasi wa chama chochote cha siasa,lakini kwa hizi dalili nazoziona,hiki chama kitaanguka muda wowote kutokea sasa na kuacha ombwe kubwa la uongozi.

Na kwa kuwa upinzani wa nchi hii ni dhaifu sana basi nchi hii itakuwa ni sandakarawe amina,basi yangu macho
BWANA FISI (HYENA) MARA ZOTE KWA JINSI MIKONO YA MWANADAMU INAVYOFANYA KAZI WAKATI AKITEMBEA,HUFIKIRI ITAANGUKA ILI AILE ASHIBE 😃
 
Vitoto (maana siyo wazee) vya Yohana 8:32 vimepewa homework. This is NOT a drill, soldier!
 
Back
Top Bottom