CCM ibadilike

CCM ibadilike

Andromeda Galaxy

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2025
Posts
7,848
Reaction score
12,231
Mambo yamebadilika, dunia imebadilika karne hii tuliyopo ni karne ya teknolojia na mabadiliko, watu wengi hivi sasa ni waelewa, teknolojia imerahisisha upatikanaji wa habari hasa zile habari ngumu, kuishi katika zama za uchawa na upotoshaji hakutaisaidia CCM sanasana itaipeleka shimoni.

Ni wazi chama hiki kimechokwa na umma wa watanzania, mbinu zake ovu za utekaji na uuaji zimeshafahamika na wengi na zimejenga chuki na uhasama baina ya wananchi na serikali yake, ni wazi chama hiki na serikali yake inabidi vibadilike kuanzia mtazamo, na miongozo yake.

Mimi si mtabiri lakini kama chama hiki kitaendelea na mbinu zake hizi haramu basi anguko lake haliko mbali ni suala la muda tu, tukio la tamasha la wasanii limedhihirisha wazi chama hiki kimechokwa na kinaitaji kubadilika ni hayo tu.
 
Mambo yamebadilika, dunia imebadilika karne hii tuliyopo ni karne ya teknolojia na mabadiliko, watu wengi hivi sasa ni waelewa, teknolojia imerahisisha upatikanaji wa habari hasa zile habari ngumu, kuishi katika zama za uchawa na upotoshaji hakutaisaidia CCM sanasana itaipeleka shimoni, ni wazi chama hiki kimechokwa na umma wa watanzania, mbinu zake ovu za utekaji na uuaji zimeshafahamika na wengi na zimejenga chuki na uhasama baina ya wananchi na serikali yake, ni wazi chama hiki na serikali yake inabidi vibadilike kuanzia mtazamo, na miongozo yake, mimi si mtabiri lakini kama chama hiki kitaendelea na mbinu zake hizi haramu basi anguko lake haliko mbali ni suala la muda tu, tukio la tamasha la wasanii limedhihirisha wazi chama hiki kimechokwa na kinaitaji kubadilika ni hayo tu.
Tumshukuru Mungu kwa kuwapa akili wale waliobuni hili Tamasha ili ndani ya tamasha hilo watu watoe Nyong'o zao na mlengwa azione
 
Ukweli hawana jipya
wanananchi wamewachoka

anguko la utawala lipo karibu kwa sababu ya matendo ya utekaji, wizi wa kura, kuua watu, ufisadi
CCM sasa hivi wameigeuza nchi yetu kama mashamba yao ya kurithi.

Kila kiongozi anayepata nafasi anapiga za kutosha maana anajua kuwa hakuna atakaye muuliza maana wrote ni wezi
 
Mambo yamebadilika, dunia imebadilika karne hii tuliyopo ni karne ya teknolojia na mabadiliko, watu wengi hivi sasa ni waelewa, teknolojia imerahisisha upatikanaji wa habari hasa zile habari ngumu, kuishi katika zama za uchawa na upotoshaji hakutaisaidia CCM sanasana itaipeleka shimoni.

Ni wazi chama hiki kimechokwa na umma wa watanzania, mbinu zake ovu za utekaji na uuaji zimeshafahamika na wengi na zimejenga chuki na uhasama baina ya wananchi na serikali yake, ni wazi chama hiki na serikali yake inabidi vibadilike kuanzia mtazamo, na miongozo yake.

Mimi si mtabiri lakini kama chama hiki kitaendelea na mbinu zake hizi haramu basi anguko lake haliko mbali ni suala la muda tu, tukio la tamasha la wasanii limedhihirisha wazi chama hiki kimechokwa na kinaitaji kubadilika ni hayo tu.
Wenyewe wanajigamba wanadola!
 
CCM haiwezi kubadilika kama think tanks wake ni hawa
WhatsApp Image 2026-05-07 at 15.36.24.jpg
FB_IMG_1765650116396.jpg
 
Back
Top Bottom