Anguko la CCM ni dhahiri sasa

Anguko la CCM ni dhahiri sasa

Japo mie sio mfuasi wa chama chochote cha siasa,lakini kwa hizi dalili nazoziona,hiki chama kitaanguka muda wowote kutokea sasa na kuacha ombwe kubwa la uongozi.

Na kwa kuwa upinzani wa nchi hii ni dhaifu sana basi nchi hii itakuwa ni sandakarawe amina,basi yangu macho
Ni kweli upinzani wa nchi hii ni dhaifu maana wanaingia kwenye chaguzi na sera, wakati ccm wanaingia kwenye chaguzi na bunduki.
 
Ni kweli upinzani wa nchi hii ni dhaifu maana wanaingia kwenye chaguzi na sera, wakati ccm wanaingia kwenye chaguzi na bunduki.
Sio hivyo viongozi wao wengi ni dhaifu wana maovu mengi tu mitaani na wala si kweli wapo kwa ajili ya sera mbadala bali wapo kwa ajili ya kushibisha matumbontao na kwakuwa wana njaa kali wivu wao nutakuwavwa hatari watakapoingia madarakani
 
Hebu wataje hao viongozi na maovu yao.
Hapana,sio madhumuni ya uzi huu kutaja watu,lakini fahamu hawa viongozi wa hivi vyama tunaishi nao mitaani,tumeoa pamoja,tunafanya biashara nao na tunashirikiana kwa mengi tunawajua uzuri na ubaya wao
 
Bila ushabiki wowote,
naomba kuuliza, hivi kwa upande wa upinzani, kuna wanasayansi na wahandisi watakaokuwa mawaziri wa viwanda, afya, ujenzi, sayansi na teknolojia, na kada zote zinazohusiana na haya ?
 
Ukitafakari kwa umakini chama walau kiliacha siasa za kiinimacho chenye ushindani mwaka 2015.

Chaguzi zilikuwa walau na nusu ushindani nusu wizi. Imani na nguvu ya wadanganyika kujitokeza kupiga Kura ilikuwepo. Walau wajumbe shindani walipatikana kwa ngazi hadi za Jimbo.

Baada ya 2015, nadhani tafakuri za woga ziliwaingia watawala. Ikawaona yafaaa na suluhu pekee kwayo kubakia kilingeni ni kuachana na siasa za khanga na ukijani.

Na ikawa muhali kwao kutumia jembe na nyundo kwenye vichwa vya watu, naam, tumeingia Zama za siasa za rangi nyekundu, ushindi sasa ni kuwa mumiani mnywa damu.

Ubaya wa kanuni za kimaumbile ukipiga nyundo msumari, kuutoa ama ubomoe au uung'oe. Maumivu tunayopitia ni sehemu tu ya ncha ya upanga.
 
Kwakweli hali ni mbaya kwenye hiki chama. Ngoja arudi toka huko ulaya mashariki, atayakuta tu ambayo hakuyategemea.
Bwahabwahabwahabwahaaaa! Akili za nyumbu bwana, kutwa ni ku-air out ndoto zao za kishetani tu. Pumzikeni ndg, zangu; aliyepewa na Mungu ndo kapewa.
 
Japo mie sio mfuasi wa chama chochote cha siasa,lakini kwa hizi dalili nazoziona,hiki chama kitaanguka muda wowote kutokea sasa na kuacha ombwe kubwa la uongozi.

Na kwa kuwa upinzani wa nchi hii ni dhaifu sana basi nchi hii itakuwa ni sandakarawe amina,basi yangu macho
Upinzani no dhaifu, je CCM inewahije kuwa imara kutawala na nchi ikawa haina matatizo? Utawala wote tangu vyama vingi umekuwa wa kulazimisha. Ukiona Upinzani dhaifu ujue basi Chama kinachotawala ndiyo dhaifu kabisa.
 
Wewe siyo mfuasi wa chama chochote, lakini unaamini kuwa ni CCM pekee ndio wanaoweza kusimamia maslahi ya nchi hii?

Nikiendelea kueleza zaidi ya hapa utaona kuwa ninakutukana; jambo ambalo nashawishika sana kulifanya nisipojizuia.
Kwa akil zako nyingi watu wote wanaokwenda kwenye mikutano ya hadhara ya Chadema au chama kingine chochote basi lazima wawe na imani na hicho chama.

Watu wengine sijui huwa mnajiona mna uspecial gani wakati ni just an average guy like everyone else.
 
Jeshi la polisi usalama na tume ya uchaguzi na mahakama zote zetu harafu sisiemu ife we unaota
CCM waliyo iacha Nyerere, Mwinyi, Mkapa itakufa.
Zitaibuka 'factions' kadhaa zenye nguvu zitakazo pambana Vita kubwa.
Faction mojawapo itaungana na vyama vya wapinzani watachukua nchi.
Hii iatotokea kati ya 2027 hadi 2031.
Tunza hii comment.
 
Bila ushabiki wowote,
naomba kuuliza, hivi kwa upande wa upinzani, kuna wanasayansi na wahandisi watakaokuwa mawaziri wa viwanda, afya, ujenzi, sayansi na teknolojia, na kada zote zinazohusiana na haya ?
Tuna manabii kama lema, watatusaidia kufanya utabiri.
 
Back
Top Bottom