Anguko la CCM ni dhahiri sasa

Anguko la CCM ni dhahiri sasa

Kwa akil zako nyingi watu wote wanaokwenda kwenye mikutano ya hadhara ya Chadema au chama kingine chochote basi lazima wawe na imani na hicho chama.

Watu wengine sijui huwa mnajiona mna uspecial gani wakati ni just an average guy like everyone else.
Wewe ndo kiazi zaidi hata kumshinda huyo nililiyemjibu hapo.
Hizi shule mnazosoma na kutoka mkiwa majuha kiasi hiki, mnalipwa huko ili kuwa misukule namna hi

Kwanza ngoja nitazame: unaitwa 'MKANGAFFU'i?

Muda wote ulioanza kuingia JF toka 2020 hadi sasa bado hujajifunza chochote kukusaidia kuondokana na upumbavu wa aina hii?

Huko "kuhudhuria mikutano ya vyama" na nilichojibu mimi hapo vinahusiana vipi?
 
Back
Top Bottom