Anguko la CCM ni dhahiri sasa

Anguko la CCM ni dhahiri sasa

Japo mie sio mfuasi wa chama chochote cha siasa,lakini kwa hizi dalili nazoziona,hiki chama kitaanguka muda wowote kutokea sasa na kuacha ombwe kubwa la uongozi.

Na kwa kuwa upinzani wa nchi hii ni dhaifu sana basi nchi hii itakuwa ni sandakarawe amina,basi yangu macho
Wewe siyo mfuasi wa chama chochote, lakini unaamini kuwa ni CCM pekee ndio wanaoweza kusimamia maslahi ya nchi hii?

Nikiendelea kueleza zaidi ya hapa utaona kuwa ninakutukana; jambo ambalo nashawishika sana kulifanya nisipojizuia.
 
Nani ali
Japo mie sio mfuasi wa chama chochote cha siasa,lakini kwa hizi dalili nazoziona,hiki chama kitaanguka muda wowote kutokea sasa na kuacha ombwe kubwa la uongozi.

Na kwa kuwa upinzani wa nchi hii ni dhaifu sana basi nchi hii itakuwa ni sandakarawe amina,basi yangu macho
Nani aliyekudanganya kwamba upinzani wa nchi hii ni dhaifu?
 
Japo mie sio mfuasi wa chama chochote cha siasa,lakini kwa hizi dalili nazoziona,hiki chama kitaanguka muda wowote kutokea sasa na kuacha ombwe kubwa la uongozi.

Na kwa kuwa upinzani wa nchi hii ni dhaifu sana basi nchi hii itakuwa ni sandakarawe amina,basi yangu macho
Umpinzani ni wenye nguvu ila ccmna vyombo vya taifa hili vinadogosha uhalisia wakiamini muda upo upande wao na kwa ujinga huo wakatuzamiza kwenye oct 29 na baada na bado wanajitihada ya kuzamisha kabisa taifa hili.
 
Mie masaula ya dola na vyombo vyake sijui sana,lakini udhaifu wa upinzani naujua kwani si watu ni hawa hawa ambao wengine wapo ccm? Au upinzani una toleo jipya la binadamu?
 
Na iwe hivyo haimaanishi nina upande,jitahidibkuwa na ubongo unaochambua mambo kwa ufasaha,acha pupa,papara na upofu
Mimi niwe na papara; halafu wewe itakuwaje?
Hebu rudi kwenye mada yako, hiyo mistari miwili tu uliyoandika hapo uone ni jinsi gani akili yako isivyofanya kazi sawasawa>

Au hata hili unataka nikuchambulie ndipo uweze kuelewa ulichoandika mwenyewe?
 
Mie masaula ya dola na vyombo vyake sijui sana,lakini udhaifu wa upinzani naujua kwani si watu ni hawa hawa ambao wengine wapo ccm? Au upinzani una toleo jipya la binadamu?
Unachangia fikra za namna hii, halafu unajiona mwenyewe kwamba unaelewa unachochangia?

Ninachokubaliana na wewe hapa ni hilo jambo moja tu la kuiona CCM kuwa imefika mwisho wake. Tumshukuru Samia na watu wa aina yako mliotufikisha hapa.

Tanzania mpya yenye matumaini makubwa itazaliwa baada ya kuondoa hizi takataka mlizoziingiza ndani ya taifa hili.

kama wewe matumaini yako ni kwa watu kama Samia; huwezi kuona taifa lenye matumaini makubwa mbele yake bila ya Samia na kundi zima lililomsaidia kuvuruga nchi hii.
 
Back
Top Bottom