Anguko la CCM halizuiliki na linakaribia

Maadui bado wapo. Ujinga kama wa kwako, maradhi na umaskini wa akili kama wa kwako, wa kiuchumi na kijamii.

Kwa hiyo CCM bado ina safari ndefu mno kumaliza majukumu yake.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Lakini Rais anapotoka hadharani ma kusema mimi ni Jiwe kweli kweli anaregemea mapokeo ya Raia wake yatakuwaje. Kwa kifupi uchaguzi unapofanyiwa figisu na wapinzani kukosa uwakilishi ni kujenga uhasama katika jamii.
Hii post si ni ya dk kadhaa zilizopita? Jiwe anahusika vipi tena? Ebu tusongeni mbele sasa, muiache roho yake iendelee na mambo ya huko iliko, khaaa!

Wamesema wamempata aliye chaguo la Mungu wao na wao pia, tuanze kusoma maushauri ya jinsi ya kuitoa nchi ilipo, iende mbele.
 
Nimeahidi siku CCM ikifa au hata kuondolewa tu madarakani, ni lazima nifanye karamu nyumbani kwangu.

Kwa sababu mpaka kesho naamini, baada ya kifo cha ccm, nchi yetu itapiga hatua kubwa sana ya kimaendeleo.

Kwa hali ilivyo sasa, ni Wana ccm wachache pekee ndiyo wanao ifaidi keki ya Taifa vilivyo!
Kila mtu anapenda hilo litokee bro, ila tahadhari kidogo, usiweke matumaini sana kwenye mabadiliko. Malawi, Zambia na Kenya waliviondoa madarakani vyama vilivyopigania uhuru, lakini hawajasogea sana kimaendeleao. Malawi na Zambia ndio kwanza wamewapa wachina kuendesha nchi. Kenya ndio hakusomeki kwa ufisadi. Kikubwa tutakuwa tumebadili walaji tu, ila shida zitakuwa palepale. Kikubwa tuombee tu smooth transition.
 
Nami nitakuunga mkono kwa sababu CCM imefanya Wachaga ndo wanaofaidi nchi huku mamilioni ya Watanzania wakiwa ni watazamaji tu.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Kila mtu anapenda hilo litokee bro, ila tahadhari kidogo, usiweke matumaini sana kwenye mabadiliko. Malawi, Zambia na Kenya waliviondoa madarakani vyama vilivyopigania uhuru, lakini hawajasogea sana kimaendeleao. Malawi na Zambia ndio kwanza wamewapa wachina kuendesha nchi. Kenya ndio hakusomeki kwa ufisadi. Kikubwa tutakuwa tumebadili walaji tu, ila shida zitakuwa palepale. Kikubwa tuombee tu smooth transition.
Kawaida chama kikiondoka madarakani ni muda wa kujipanga upya kukabiliana na uchaguzi unaofuata. Kwa chama chenye wafia tumbo, kinapotoka madarakani ni muda wa watu fulani kujiunga na chama tawala.
 
kuna constructive critism upinzani wa Tanzania haujafikia huko wao ni kuporomosha matusi tu raisi unakuta hawamwiti mheshimiwa raisi wanamwita Jiwe hivi hata ungekuwa wewe ungewasikiliza?
Jinga ww, siyeye mwenyewe ndio alijiita kuwa yeye ni JIWE hajaribiwi.
 
Kuna constructive critism upinzani wa Tanzania haujafikia huko wao ni kuporomosha matusi tu raisi unakuta hawamwiti mheshimiwa raisi wanamwita Jiwe hivi hata ungekuwa wewe ungewasikiliza?
Kama mwenyewe anajiita Jiwe ulitaka aitweje na wengine?

Anajiita kichaa wengine wakimuita kichaa kosa like wapi?

Msipende kutetea upumbavu ambao ulifikia kiwango cha juu hadi Mungu akaona aingilie kati kuokoa taifa lake.

Awamu ya tano na ccm walivyoiharibu nchi hii ni kwa kiwango cha juu kutomea toka taifa hili liasisiwe, bahati mbaya kuna watu kama nyie ujinga mnalazimisha kuwa ni legacy
 
Ila mm niseme kweli hiki chama changu pendwa kilishaanguka toka muda ila tunatumia dola kubaki madarakani tu,, si unaona wenyeviti, madiwani,, na wabunge si tuliwapitisha kwa mbeleko
Haswa,kwaiyo ili CCM ianguke kwanza dola ya nchi isambaratike,nasijui mwakagani dola ya itasambaratika.
 
Hakuna upinzani wa kweli Tanzania wa kuitoa CCM madarakani.

Mbowe, Zitto, Lipumba, Mrema, Dovutwa sijui nani wote ni wachumia tumbo.
 
kuna constructive critism upinzani wa Tanzania haujafikia huko wao ni kuporomosha matusi tu raisi unakuta hawamwiti mheshimiwa raisi wanamwita Jiwe hivi hata ungekuwa wewe ungewasikiliza?
Naona mahaba uliyokuwa nayo kwa Mwendazake yanakutesa sana mpaka umesahau kama Mwendazake alijiita mwenyewe jiwe. Halafu umesahau yeye ndiye alikuwa mstari wa mbele kuwaita watu wapumbavu, mara vibaraka waliotumwa na Mabeberu. Wengine aliwaambia wabaki na mavi yao nyumbani ili wasilipie sh.500 huduma ya choo.

Au mwenzetu Mwendazake yeye alikuwa na haki ya kutukana wengine simply kwakuwa yeye alikuwa boss. Au?
 
Wakuitoa ccm wenyewe ndio hawa wanaodemka kumsifia Samia humu?
 
Ndiyo, atakuwa anaitwa mwendawazimu kama moja ya majina yake kama alisema yeye ni mwendawazimu.
kujiita haikupi mandate ya wewe kumwita mheshimiwa raisi hivyo mfano umemtibua mzazi wako akasema mimi mwendawazimu nikilianzisha hapa mtahama nyumba utakuwa una mu adderess baba yako kama mwendawazimu? kuwa ohhh wewe mwendawazimu nipe hela ya ada ya chuo nadaiwa? sababu mwenyewe alijiita mwendawazimu?
 
CCM kama ilivyo kwa waasisi wake TANU na ASP vilianzishwa ili kupigania uhuru wa mtu mweusi kutoka katika mikono ya weupe wachache. Ili kufanikisha hili ililazimu kuwaunganisha wananchi kwa njia mbali mbalimbali ikiwemo propaganda, viongozi wa jadi, viongozi wa dini nk.

Baada ya uhuru, lengo lilikua kusaidia nchi nyingine za Afrika kupata Uhuru. Vyama rafiki kama Frelimo, Swapo, ANC nk vilijiunga na sisi. Adui bado alikua ni Kaburu na Beberu. Kwa nia njema kutokana na uchaguzi wa nchi zetu, viongozi wetu waliamua kufuata mfumo wa Kijamaa ili kugawa kilichopo kwa watu wote sawa. Siasa za kijamaa zilitufanya kuwa wahanga wa Vita Baridi kwani tulikuwa upande wa Urusi na China. Mabeberu walituona ni tishio.

Nyakati zinebadilika, sasa hivi tunapigania mabadiliko ya kiuchumi na maisha bora. Mass Media imeleta mabadiliko makubwa. Vijijini watu wanafahamu kuwa wanaweza kuishi kwa umeme wa solar na wakavuna maji ya mvua na kuishi maisha bora zaidi. Mpinzani wetu si Kaburu tena bali ni sisi wenyewe tunataka kuishi maisha bora.

Propaganda za kutubagua na viongozi wa upinzani
haziwezekani. Hawa viongozi ni ndugu zetu, tulijua nao, tulisoma nao na wengine ni ninamuonea zetu. Hawa si Makaburu wala si mabeberu. Kama vilivyoanguka vyama vingine vya siasa vilivyopigania uhuru. CCM haipiganii tena ukombozi.
Eti nec Yao haitaki Katiba mpya

Kuna siku yaja ambapo maccm yataililia na kuipigania Katiba Mya kuliko wapinzani, tunasubiri
 
Maendeleo na uhuru.

Bora ukose kimoja kuliko kukosa vyote.

Kila mtu anapenda hilo litokee bro, ila tahadhari kidogo, usiweke matumaini sana kwenye mabadiliko. Malawi, Zambia na Kenya waliviondoa madarakani vyama vilivyopigania uhuru, lakini hawajasogea sana kimaendeleao. Malawi na Zambia ndio kwanza wamewapa wachina kuendesha nchi. Kenya ndio hakusomeki kwa ufisadi. Kikubwa tutakuwa tumebadili walaji tu, ila shida zitakuwa palepale. Kikubwa tuombee tu smooth transition.
 
CCM kama ilivyo kwa waasisi wake TANU na ASP vilianzishwa ili kupigania uhuru wa mtu mweusi kutoka katika mikono ya weupe wachache. Ili kufanikisha hili ililazimu kuwaunganisha wananchi kwa njia mbali mbalimbali ikiwemo propaganda, viongozi wa jadi, viongozi wa dini nk.

Baada ya uhuru, lengo lilikua kusaidia nchi nyingine za Afrika kupata Uhuru. Vyama rafiki kama Frelimo, Swapo, ANC nk vilijiunga na sisi. Adui bado alikua ni Kaburu na Beberu. Kwa nia njema kutokana na uchaguzi wa nchi zetu, viongozi wetu waliamua kufuata mfumo wa Kijamaa ili kugawa kilichopo kwa watu wote sawa. Siasa za kijamaa zilitufanya kuwa wahanga wa Vita Baridi kwani tulikuwa upande wa Urusi na China. Mabeberu walituona ni tishio.

Nyakati zinebadilika, sasa hivi tunapigania mabadiliko ya kiuchumi na maisha bora. Mass Media imeleta mabadiliko makubwa. Vijijini watu wanafahamu kuwa wanaweza kuishi kwa umeme wa solar na wakavuna maji ya mvua na kuishi maisha bora zaidi. Mpinzani wetu si Kaburu tena bali ni sisi wenyewe tunataka kuishi maisha bora.

Propaganda za kutubagua na viongozi wa upinzani
haziwezekani. Hawa viongozi ni ndugu zetu, tulijua nao, tulisoma nao na wengine ni ninamuonea zetu. Hawa si Makaburu wala si mabeberu. Kama vilivyoanguka vyama vingine vya siasa vilivyopigania uhuru. CCM haipiganii tena ukombozi.
Ikifaa CCM basi hata SACCOSS ya Chadema itakufa ingawa kwa sasa inapumilia mashine kule Ilonganzila
 
Kwani hao ccm wanasemaje kuhusu anguko lao linalokuja.
 
Back
Top Bottom