Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,346
- 9,888
Kifo cha CCM ni katiba mpya..na wanalijua hilo ndo maana wanang'ang'ana. Lakin haisaidii.. baada ya alichotufanya mwendazake,hadi wale wahafidhina wamekuja kuona katiba mpya haihepukiki ili kuja kudhibiti mwingine kichaa kuliko huyu mwendazake