This is not easy at all, by the way hongera kwa kuwa rafiki wa mume wangu.
Ahsante najua imetoka moyoni, naomba unipokee kama mmoja wa wifi zako, japo utambulisho ulichelewa.
Ahsante najua imetoka moyoni, naomba unipokee kama mmoja wa wifi zako, japo utambulisho ulichelewa.
mpenzi shaka ondoa...
unanijua vyema..
mamaafacebook nae alisema atatutembelea..
u see tuna marafiki wengi..
waiting for u, nikutambulishe kwa wife kabisa yani