Angelita

Angelita

Hapa kweli amekosea kiwatengu Mimi nilijua wifi anataarifa tangu kipindi kile ulichonifuma humu ndani.

Taarifa wapi hakuniambia aliifunikafunika tu akidhani ntasahau kumbe mi liroho linaniuma afu anakuja kutonesha kidonda tena.
 
Last edited by a moderator:
my love..hebu chukulia huu uzi kama ni kweli kabisa na nilichokiandika juu ya angelita my friend nakimaanisha..

hapo kwenye ten tu!! ndiyo chumvi ila kwingine kote ni ukweli..

Ntajitahidi kuamini hny
 
Last edited by a moderator:
Umenifanya nitabasamu tangu nilipoamka, nakujikuta nikirudisha kumbukumbu zangu nyuma urafiki wetu ulipoanza.

Ahsante kwa kuwa rafiki yangu, namshukuru Mungu kwa hilo, namuomba azidi kuudumisha hadi ufikie kwa familia zetu siku moja.

This is not easy at all, by the way hongera kwa kuwa rafiki wa mume wangu.
 
Back
Top Bottom