Angelita

Angelita

kiwatengu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
19,493
Reaction score
18,387
Oh!i miss you!

Urafiki wetu umeanza zamani mimi sitasahau. Mdada mstarabu, leo nimekuja hapa nikutambulishe rasmi kwa mke wangu!!
shansarie my wife angelita is my friend We've known each other since we were ten, together we've climb hills and tree.

Hongera sana kwa stage uliofikia,hongera sana pia kwa kuwa mzuri.

Pokea salamu.
 
Huyu anjelita ninaekuja kuambiwa saizi eti mmejuana since when?
Afu nisimjue nakuja kumjulia jf kweli ????????

Babylove...si bora nimekwambia sasa hivi? What if kama akija kututembelea, nimekuambia ili isiwe shida onwards
 
Umenifanya nitabasamu tangu nilipoamka, nakujikuta nikirudisha kumbukumbu zangu nyuma urafiki wetu ulipoanza.

Ahsante kwa kuwa rafiki yangu, namshukuru Mungu kwa hilo, namuomba azidi kuudumisha hadi ufikie kwa familia zetu siku moja.
 
waoh.. May God bless our friendship!!
 
Back
Top Bottom