Angelita

Angelita

Siwezi kukiri kitu ambacho sijafanya.Mie utafiti ni shem tu friend wangu kama ilivyo kwako na angelita

ah wapi..sasa hapo bado hujaokoka..
shem wako!! mbona unamshikaga shati....
afu sometimes unamlalia begani? nakuonaga ati!!
 
Last edited by a moderator:
ah wapi..sasa hapo bado hujaokoka..
shem wako!! mbona unamshikaga shati....
afu sometimes unamlalia begani? nakuonaga ati!!

Wewe hivi unajua unanisababishia ugomvi atiii???Naona wewe unavyojitetea ati unataka na mie initokee???
 
Back
Top Bottom