wewe si unafanya kwa siri?
umemshikia chini eeh
i will do that, whenever its necessary..
nakupenda!!
hapo ndipo unaponifurahisha zaidi..
haya angeambiwa mwanamke mwingine ungekuta ashaanza kupigana..
ha ha ha ha... wife bana!!
Siyo mbaya ukiweka nguvu yako
Naona umeanza mwaka na mambo mapya
Hii yakutambulisha marafiki wa kike kwa mkeo
nayo yataka moyo ujuwe.
yes my best friend, i thank God for giving me this well understandable woman.
Mke wangu ni muelewa..
tupige ngulilii
Cc; Mamndenyi, Arushaone, kibo10, Mtoto halali na hela.
Baba mi niko vizuri haya mabonde na milima ni mapito tu. Ukisikiliza sana maneno ya watu ndo unaivunja ndoa kabisa
Haha..Shemegiii!!!!!!!!!!
teh teh teh ndio shemegi, niambie.....