Angel Benard aolewa mara ya pili

Angel Benard aolewa mara ya pili

Inawezekana kwa sababu yeye sio wa kwanza kufanya hivyo siku hizi makanisa yamekua mengi na wachungaji wanafungisha ndoa TU bila kujali taarifa za ndoa ya kwanza na pia usoni mtu haekwi alama ya kwamba alishaolewa.
 
Habari,

Msanii Angel Bernard ameolewa kwa mara ya pili.

Mara ya kwanza aliolewa na Producer wa Nyimbo za Injili Godsave Sakafu.

View attachment 2611345
Angel akiwa na Godsave Sakafu siku ya Sendoff yake Julai 2015

Picha zake na mume wake mpya hizi hapa:-

Kulikoni wanamuziki wa nyimbo za injili wa kike?



Nikishasikia msanii wa nyimbo za injili cha kwanza kinacchonijia akilini ni malaya wa kanisani. mtanisamehe wapambe wao. Hawa wanawake fuatilia kila mmoja, katika kumi no mmoja au wawili walio salama. wengine ni mwendo wa kugawa papuchi mara kazaa na wanaume tofauti, mara kaachika. Kwa ufupi hakuna ndoa
 
Back
Top Bottom