Sabalkheri wanaJF na Alhamisi njema kwenu nyote na popote pale mlipo pembe ya dunia hii.
Sasa leo hebu tulonge kidogo ki-nadharia tete. Nimekaa kwa muda mrefu sana sasa nikijiuliza juu ya swali hili bila kupata jibu la uhakika.
Tuseme ingetokea mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA ndo angeibuka mshindi wa kinyang'anyiro cha urais mwaka jana.
Halafu baada ya kuanza kazi akafanya mengi kama aliyoyafanya rais wetu wa sasa MTUKUFU Dkt. John Pombe Joseph Magufuli...
Yaani akapiga marufuku safari za hovyo hovyo za nje ya nchi, akaagiza baadhi ya sikukuu za kitaifa tubadili namna tunavyozisherehekea kitaifa, akawa ni mtu wa kukaa nchini muda mwingi na kutuma wawakilishi pale inapobidi, akatumbua majipu hadharani na faraghani, akanunua ndege mpya kwa lengo la kufufua shirika letu la ndege, na kadhalika na kadhalika.
Swali ibuka ni je, watu wanaompinga rais Magufuli sasa hivi, pia wangempinga Lowassa kama angekuwa ndo yeye anayafanya hayo anayoyafanya Magufuli?
Au wangemmiminia sifa kemkem na kusema kwamba acha awanyooshe maana walikuwa wamezoea?
Kwanni unaamua kufanya anticipation sio uhalisia unafkiri uko utopia hapa ama?? anyway i believe lowassa alishinda hivyo angekuwa na ridha ya wananchi kuna sera za kibabe kma hizi za kuminya demokrasia asingezifanya coz angeamini yupo pale kwa ridhaa ya wananchi sio polisi au lubuva. Naamini magufuli anafanya kazi kwa pressure ya kumeet objectives coz anajua uchaguzi ulivyokuwa mgumu kwake so hataki kuhangaika tena vile 2020 na anajua expectation za watu zipo juu sana hivyo akishindwa kuzimeet 2020 watamfanyia kampeni zake kuwa ngumu sana na nsio maana anafanya sera anazojiskia ili mradi afikie objectives zake ingawa hataki kujua impact zake kwenye jamii. so its better tusifanye anticipation ila labda tungefanya directory goverment kama ya ufaransa 1790 uongozi wa zamu hapo ndo tungejua mbivu na mbichi kma lowassa angeweza kusurpass the leadership of magufuli or not ila nachokiona hapa ni umbea tu wa kubashiri kitu tusichokuwa na uhakika nacho.Sabalkheri wanaJF na Alhamisi njema kwenu nyote na popote pale mlipo pembe ya dunia hii.
Sasa leo hebu tulonge kidogo ki-nadharia tete. Nimekaa kwa muda mrefu sana sasa nikijiuliza juu ya swali hili bila kupata jibu la uhakika.
Tuseme ingetokea mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA ndo angeibuka mshindi wa kinyang'anyiro cha urais mwaka jana.
Halafu baada ya kuanza kazi akafanya mengi kama aliyoyafanya rais wetu wa sasa MTUKUFU Dkt. John Pombe Joseph Magufuli...
Yaani akapiga marufuku safari za hovyo hovyo za nje ya nchi, akaagiza baadhi ya sikukuu za kitaifa tubadili namna tunavyozisherehekea kitaifa, akawa ni mtu wa kukaa nchini muda mwingi na kutuma wawakilishi pale inapobidi, akatumbua majipu hadharani na faraghani, akanunua ndege mpya kwa lengo la kufufua shirika letu la ndege, na kadhalika na kadhalika.
Swali ibuka ni je, watu wanaompinga rais Magufuli sasa hivi, pia wangempinga Lowassa kama angekuwa ndo yeye anayafanya hayo anayoyafanya Magufuli?
Au wangemmiminia sifa kemkem na kusema kwamba acha awanyooshe maana walikuwa wamezoea?
Na Je wanao msifia JPM wangemsifia na Lowassa ?Sabalkheri wanaJF na Alhamisi njema kwenu nyote na popote pale mlipo pembe ya dunia hii.
Sasa leo hebu tulonge kidogo ki-nadharia tete. Nimekaa kwa muda mrefu sana sasa nikijiuliza juu ya swali hili bila kupata jibu la uhakika.
Tuseme ingetokea mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA ndo angeibuka mshindi wa kinyang'anyiro cha urais mwaka jana.
Halafu baada ya kuanza kazi akafanya mengi kama aliyoyafanya rais wetu wa sasa MTUKUFU Dkt. John Pombe Joseph Magufuli...
Yaani akapiga marufuku safari za hovyo hovyo za nje ya nchi, akaagiza baadhi ya sikukuu za kitaifa tubadili namna tunavyozisherehekea kitaifa, akawa ni mtu wa kukaa nchini muda mwingi na kutuma wawakilishi pale inapobidi, akatumbua majipu hadharani na faraghani, akanunua ndege mpya kwa lengo la kufufua shirika letu la ndege, na kadhalika na kadhalika.
Swali ibuka ni je, watu wanaompinga rais Magufuli sasa hivi, pia wangempinga Lowassa kama angekuwa ndo yeye anayafanya hayo anayoyafanya Magufuli?
Au wangemmiminia sifa kemkem na kusema kwamba acha awanyooshe maana walikuwa wamezoea?
Magufuli ni mwalimu na si mhandisi!!! Ukilaza wako una qualify kuwa CCMLowasa angetendaje kama Magufuli? Yaan mwanasanaa atende kama mhandisi,swali la ajabu kabisa vile tu umesema mwenyewe unafikiri kinadharia basi sawa!
Haya Nyani Ngabu hayaoni........... Akili yake inawaza ndege tu kuliko madawakuna binti namfahamu, alijifungua miezi miwili iliyopita kwenye hospitali ya chama ( sory ni ya serikali) akaambiwa chanjo hakuna arudi baada ya wiki, aliporudi akaambiwa chanjo bado hazijaja aache mawasiliano zikija ataaitwa, wiki haijaisha tukazika mtoto.
Si mkuu alisema mahakama ya mafisadi, amshtaki sasaMkuu Nyani Ngabu, wala usipate shida kupata jibu la swali lako? Je Lowasa alipokuwa CCM si walimtangaza kwenye Majukwaa kuwa ni Fisadi? Hawakufanya hivyo? Muulize John Mnyika, Saed Kubenea, Peter Msigwa, Godbless Lema, Tundu Lissu nk.
Je baada ya kuhamia CHADEMA wameendelea kuimba wimbo wa ufisadi? Thubutu! Nadhani mpaka hapo umeshapata jibu la swali lako. Hawa ndio upinzani
Angefanya mambo ya msingi kurudisha madeni ya waliomkopa kuinunua ikulu.Lowassa asingefanya huo upuuzi, angefanya mambo ya msingi!
Haijawahi wekwa hadharani ingawa wanasema inakopiwa.kasome ilani ya uchaguzi wa Chadema, maana Mpaka sasa CCM sijui washafanyia kazi hata moja katika ilani yao.
Nakusapoti mkuu, akina Mwanakijiji hadi wamekosa followers. Kaibuka na zama mpya, kakosa wafuasi. Imebidi akae kimya.Hii thread yako inaonyesha haujui halli halis unaleta mzaha..
Rudi kwenye threads za us election..
I concur with youKiongozi anayefanya siasa halafu anakataza washindani wake wasifanye siasa nitampinga popote alipo bila kujali ni nani.
Kwani hapa uko mkekani au ubaoni??Hiyo ilani ni ile ya mtandaoni?
Wa kijingaaaaaaa.........Tukisema ukweli,
Lowasa asingeweza yafanya haya ambayo Magufuli ameyafanya
Kwanza angeingiza nchi kwenye mgogoro mkubwa wa kiuchumi ( Naamini angekopa saana)
Pili ingemchukua miaka zaidi ya mitatu kulipa fadhila kwa wale waliompiga support hususani za fedha
na kikubwa zaidi rasilimali za nchi zote zingekuwa rehani
Ni mtizamo TU
Ha ha ha kwani hujui? Nipo msituni, ha ha ha.Kwani hapa uko mkekani au ubaoni??
Angehakikisha watoto wanapata mikopo asilimia kubwaKama yepi kwa mfano?
Mahakama ya mafisadi si ipo??? Mpelekeni kama fisadi. Au mnamuogopa???Lowassa ni fisadi au si fisadi?
km maisha yamekua magumu namna hii hyo yote yaliyofanya hayana maana....Sabalkheri wanaJF na Alhamisi njema kwenu nyote na popote pale mlipo pembe ya dunia hii.
Sasa leo hebu tulonge kidogo ki-nadharia tete. Nimekaa kwa muda mrefu sana sasa nikijiuliza juu ya swali hili bila kupata jibu la uhakika.
Tuseme ingetokea mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA ndo angeibuka mshindi wa kinyang'anyiro cha urais mwaka jana.
Halafu baada ya kuanza kazi akafanya mengi kama aliyoyafanya rais wetu wa sasa MTUKUFU Dkt. John Pombe Joseph Magufuli...
Yaani akapiga marufuku safari za hovyo hovyo za nje ya nchi, akaagiza baadhi ya sikukuu za kitaifa tubadili namna tunavyozisherehekea kitaifa, akawa ni mtu wa kukaa nchini muda mwingi na kutuma wawakilishi pale inapobidi, akatumbua majipu hadharani na faraghani, akanunua ndege mpya kwa lengo la kufufua shirika letu la ndege, na kadhalika na kadhalika.
Swali ibuka ni je, watu wanaompinga rais Magufuli sasa hivi, pia wangempinga Lowassa kama angekuwa ndo yeye anayafanya hayo anayoyafanya Magufuli?
Au wangemmiminia sifa kemkem na kusema kwamba acha awanyooshe maana walikuwa wamezoea?
Kashtaki, kwani mahakama inakataza? Au imesema imezidiwa????Kwahiyo mafisadi ni wale waliyoshtakiwa tu kama hujashtakiwa sio fisadi?