kopites
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 9,724
- 12,114
Lowasa angekua rais ekimu ingekua bure mpk chuo kikuu,haya malakamiko ya watu kukosa mikopo eti kubana matumizi yasingekuwepo,ajira kwa vijana angelivalia njuga swala hili,sio huyu sera yake ni kutumbua hakuna analofanya ni kuongea sana na kufoko foka tu!..mzee lowasa ana hekima na busara